Ukweli usiopingika Paul Makonda amerudisha heshima ya CCM kwa kila Mtanzania

Sawa kutoa matamko,lakini ipo kwenye "Job Description" yake?That is the main concern.Yeye ni Publicity Secretary wa chama,kwa hiyo hiyo sio kazi yake,amwachie Katibu Mkuu.Kama Samia angetaka Makonda afanye kazi anazofanya sasa,angemteua kuwa Katibu Mkuu,sio Katibu Mwenezi.Tunaomba mtuelewe.

Jamani hivi CCM imejaa mazezeta tupu kwa hiyo commonsense haipo tena?
 
Uenezi ni matangazo?
 
Chama tawala lazima kiwasimamie watendaji wa Serikali
 

Attachments

  • IMG-20231201-WA0089.jpg
    148.7 KB · Views: 1
Sema amerudisha heshima kwenye ukoo wenu.
 
Kwani zile tetesi zilizo muhusisha na bosi wake wa zamani (aliye jiuzulu), zina ukweli?
Kuna habari zingine kwenye baadhi ya mitandao wanasema ni mwingine yule aliekuwa anaimba huku akikimbia na kujirekodi
Wanasema ndio aliekuwa anapika hapo
 
NA HASA HILI SUALA LA KUWANYAMAZISHA CHADEMA YAANI NCHI IMETULIA TULIIIIIII
 
figisu mpka kwa PM aiseeee kweli mwamba karudi
 
Yule Jamaa ana kitu,nadhani ata Deep state wameona,ata yule Sabaya, Polepole,Bashiru,l na Bashe,wanatakiwa CCM iwalinde kwa nguvu sana maana ni vijana ambao wana uwezo wa kuongoza ila kinachotakiwa ni kuwapa tu guidance za hapa na pale.
Hawa wakina January,Nape na Mwigulu walikuwa wanapewa nafasi kwasababu ya visibility tu na propaganda za Godfathers wao lakini hawana impact yoyote zaidi ya uroho wa madaraka.Wamejaribiwa kwenye Uwaziri badala ya kuonesha uwezo wao wanaanza kuleta usanii wa kutamani Urais.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…