Ukweli usiopingika Paul Makonda amerudisha heshima ya CCM kwa kila Mtanzania

Kwa hiyo Makonda kupanda Punda Mbwa na Kuku kwenye Mikutano ndio kuifufua ccm? WAJINGA mpo wengi sana

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Umeme umeacha kukatika Hovyo, Nilikuwa simkubali kabisa makonda ila tangu siku kachaguliwa Umeme haukatiki hovyo tena, hali ilishakuwa mbaya sana.
 
Mkuu hata wewe kabisa kwa umahiri na ubobevu wako mambo ya habari unaamini Makonda anatatua matatizo na kero za watanzania kwa njia hii ya show off barabarani?

Kwamba watanzania wasikilizaji masikini akirudi nyumbani kero na changamoto zinazowasibu zinayeyuka?

Kwamba Rais Samia, Makamo wa Rais, Waziri mkuu, Chongolo, mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya walivyo na wanavyo zunguka nchi hii hawasikilizi na kutatua kero za wananchi isipokuwa Makonda??

Mkuu niishie hapo maana unafikirisha!!!
 
OVYO KABISA, HII NI DHARAU, YOU MEAN TEAM ILIYOKUWEPO ILIKUWA HAIFA'S AU ILISHINDWA INCL MWENYEKITI WAKE!, ACHA DHANA MFU, CHAMA KIKO HAI NA IMARA WAKATI WOTE, HUYO NDUGU YUPO HAPO KIMKAKATI,KUNA ZONE FULANI YENYEWE INAPENDA "MOVIE AND ACTIONS!" KANA KWAMBA ACTIONS NDICHO KIPIMO CHA UTENDAJI.
 

Dhalimu alipora uchaguzi wa nchi nzima akajaza wanaccm tu, hao wote hawawezi kuwasikiliza wananchi, wanasubiri huyo mtu muovu asikilize matatizo Yao! Kweli wajinga ndio waliwao.
 
Huyo bro zamani nilimuoverrate, ila alipoingia magufuli madarakani ndio nilijiona mjinga kiasi gani.
 
Kwani chama kinasemaješŸ¤”
 
Kunge kuwa na Uhuru wa mahakama na katiba bora 85% viongozi wa ccm wangekuwa magereza.
 
Huyo bro zamani nilimuoverrate, ila alipoingia magufuli madarakani ndio nilijiona mjinga kiasi gani.
Acha kujichetua. Hujaona matokeo ya migogoro ya ardhi inavyotatuliwa Dodoma?
 
Dhalimu alipora uchaguzi wa nchi nzima akajaza wanaccm tu, hao wote hawawezi kuwasikiliza wananchi, wanasubiri huyo mtu muovu asikilize matatizo Yao! Kweli wajinga ndio waliwao.
Najua machungu ya uchaguzi 2020 hayawezi kuisha maana uliwekeza na kutegemea ushindi.

Lakini positive impact ya anchofanya Makonda inaoenakana.
 
You lack sense
 
Wewe ni mmojawao mapoyoyo na machawa! Unaina anayoyafanya ni sahihi.
Hata mkuu wake hayafanyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…