Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,585
- 1,546
Wahindu na mabudha si ndio wanaabudu ng"ombe,watu na sanamu.Huoni kwao kukiwa na ushirikina??
Kulala chini ng"ombe akubariki na mguu au kumsujudia mtu hio nayo ni akili??
Dini za asili si ndio zimewafanya baadhi ya waarusha watoboe masikio yao na chuma yakawa mabaya kama ya tembo?
Hivi unajua jamii zote za kiafrika ziliwakeketa watoto wa kike kwa kuufyeka utamu wao.Huo si ushirikina wa dini mbovu za asili.??
Dini mpya zimetutoa kwenye ushirikina mwingi sana,,ile evil forest ya kitabu cha okonkwo unajua ni msitu wa ukweli? Na watu waliopotoka na mizimu walitupa huko mapacha ya watoto?

Kunaukweli unaongea ila amini mzungu alichukua vingine vya kipagani alivyokua navyo akavichanganya na huo ukristo kwa manufaa yake. Na ndio maana sasa hivi anatumia haki za binaadamu kuhalalisha upuuzi wake na kuuchanganya na huo huo ukristo. Kwanza mazungu yameanza kuuacha ukristo umebaki umotivational speaker na sio michongo ya kiroho ya vipofu wanaona na viwete wanaenda. Wahindu ni wapuuzi, Mabudha je?