Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

Kama sio imani hizi za ovyo walizoleta hawa watu weupe mapangoni tungeenda bila tabu maana ndicho ambacho kingekuwa fahari yetu , tumeshindwa kupenda na kukienzi chetu kwa tamaa ya vitu vidogo kama elimu n.k tumepotoka
Elimu kitu kidogo mkuu? naona unafanya utani mkuu.
 
Matendo( kulingana na umri, jinsia na wakati husika ) na miiko yake ndio misingi ya dini za kiafrika , ndio maana nikakwambia wakati ambao hakuna mvua watu wanakwenda mlimani wanafanya tambiko wana mwaga damu mambo saaafi, mambo ya kuvaa mabomu na kupigana mapanga ni miungu wa huko mashariki ya mbali , wanaotegemea watu wauane ili wapate kutajwa
Hujui maana ya misingi au msingi,nakupa maana ya msingi au misingi kisha ujibu swali.

Msingi ni kila jambo ambalo juu yake kunazalikana mengine,yaani kunapatikana matawi.

Mfano wa mti,msingi wa mti kuchipukia ni mzizi kisha shina. Yaani ukikosekana msingi jambo haliwi.

Sasa jibu swali langu kutokana na hiyo maana ya msingi.
 
Ahahahaahah wenzako wana future plan unafikiri ni mambumbu kama wewe !! hivi unafikir walipokuwa wakitangaza imani yao duniani walijua watu kama wewe mtaingia mkenge na kuamini tena mtakuwa wengi sanaaa, hii ni heshima kwa nchi yao na Pesa mnawapelekea , ahahahaahah unafikir kila mtu anawaza leo tu ,Mohammed alikuwa mjanja sana alijua kuna vilaza wataingia mkenga nchi itapata pesa mingi badae, eti ukienda kuhiji unasamehe dhambi unakuwa kama mtoto huu ni mpango mkakati ili mkatalii kwao mpeleke pesa hizo, amka wewe ata hili mpaka upigwe viboko ndio uelewe !!

Ukipata jibu la swali langu nistue,hapa hujajibi kitu chochote sababu huwezi kuthibitisha hilo.

Huwa mnapokosa majibu mnachekesha sana.

Nipo .....
 
Ukipata jibu la swali langu nistue,hapa hujajibi kitu chochote sababu huwezi kuthibitisha hilo.

Huwa mnapokosa majibu mnachekesha sana.

Nipo .....
Ahahahahahaa uwezi Ingiza pua hapa , mmeamini madini ya kigeni kibubusa lazima uingie mitini ahahahaaahhaa, Mohammed alikuwa na future plan kuwa mtaongezeka mtakuwa wengi mtakao muamini hivyo nchi yake itapata jina na pesa za kutosha kila mwaka mkienda kuhiji , sasa wewe kwa akili yako fupi unawaza ya leo tu , watu walipanda mbegu sasa wanavuna pesa za watalii wa kiislamu eti ukienda Maka kuhiji unasamehe dhambi , hizi ni kauli za kula pesa ya watu wasiojielewa kama wewe
 
Hujui maana ya misingi au msingi,nakupa maana ya msingi au misingi kisha ujibu swali.

Msingi ni kila jambo ambalo juu yake kunazalikana mengine,yaani kunapatikana matawi.

Mfano wa mti,msingi wa mti kuchipukia ni mzizi kisha shina. Yaani ukikosekana msingi jambo haliwi.

Sasa jibu swali langu kutokana na hiyo maana ya msingi.
Usilazimishe dini za majahazi ziwe sawa na za mababu zetu uelewi kitu gani !! nimekujibu Dini za asili misingi yake ni Matendo ( kufaatana na umri, jinsia na wakati) pamoja na miiko yake , sasa unalazimisha kitu gani !! au unataka tukahiji tuwaingizie wasaudia pesa , waendelee kununua silaha na kuua watu Yemeni
 
Kitu kidogo sana ndio maana wenzetu wengi waligoma wakabaki kwenye asili yao , sisi tu ndio shida sana
Sijui unaongea nini mkuu,hivi elimu kwako ni nini?

Hao waliyobaki kwenye asili yao ni asili yao ipi? kwamba hawatumii madawa ya kizungu wala tiba za kizungu,hakuna mashule au vp yani sielewi hebu niweke sawa.
 
Ahahahahahaa uwezi Ingiza pua hapa , mmeamini madini ya kigeni kibubusa lazima uingie mitini ahahahaaahhaa, Mohammed alikuwa na future plan kuwa mtaongezeka mtakuwa wengi mtakao muamini hivyo nchi yake itapata jina na pesa za kutosha kila mwaka mkienda kuhiji , sasa wewe kwa akili yako fupi unawaza ya leo tu , watu walipanda mbegu sasa wanavuna pesa za watalii wa kiislamu eti ukienda Maka kuhiji unasamehe dhambi , hizi ni kauli za kula pesa ya watu wasiojielewa kama wewe

Poa.
 
Usilazimishe dini za majahazi ziwe sawa na za mababu zetu uelewi kitu gani !! nimekujibu Dini za asili misingi yake ni Matendo ( kufaatana na umri, jinsia na wakati) pamoja na miiko yake , sasa unalazimisha kitu gani !! au unataka tukahiji tuwaingizie wasaudia pesa , waendelee kununua silaha na kuua watu Yemeni

Kazi kweli nimekupa mpaka maana ya "msingi" bado unashindwa kujibu swali nililokuuliza,ndio maana sijaona ajabu ukaizungumzia hijja kwa mtindo ule.

Naona unabadilisha mada tena umeenda kwenye silaha na kuwauwa wayemeni. Hili linataka mada pweke na wewe huna elimu nalo hili na hao unao chukua habari kwao nao hawajui hakika ya kadhia hiyo.

Swali langu hujalijibu,ukishindwa mara hii ya mwisho na kuja kukupa jibu la misingi ya dini za mababu zako.

Nipo ......
 
Sijui unaongea nini mkuu,hivi elimu kwako ni nini?

Hao waliyobaki kwenye asili yao ni asili yao ipi? kwamba hawatumii madawa ya kizungu wala tiba za kizungu,hakuna mashule au vp yani sielewi hebu niweke sawa.

Hawa kwao elimu kitu kidogo ndio maana wanadanganywa na kuwa wajinga wa kutupwa.
 
Endelea kupuyanga nimekujibu misingi ya dini za asili
1.Matendo (kulingana na umri, jinsia na wakati)
2. Miiko husika ya matendo hayo

Kwasababu umeishiwa la kusema au umekuja na majibu yako unatapata kama kuku mwenye mdondo

Kuhusu Yemen huo ni mfano tu wa matumizi ya pesa zenu tu, nimekwambia Mohammed akuwa mbumbumbu kama wewe alijua wazi itafika muda waumini wa imani yake watakuwa wengi , hivyo wakiwa wengi faida za kitaliii nchini kwake zitakuwa kubwa ,Pesa za kigeni kedekede kutoka kwa watu kama wewe, yaani ukienda Maka unasameha dhambi huko Maka anga lake la dhahabu !!! Shtuka unaibiwa wewe nyie akili zenu zinakwenda likizo ata mambo madogo kama aya amuelewi , Miungu ya magharibi yote imeleta umwagaji mkubwa wa damu kwa sababu imewatoa chambo waumini ahahaha Syria, somalia , Iraq , n.k Miungu gani iyo inatetewa na damu za watu ahahahaa
 
Hawa kwao elimu kitu kidogo ndio maana wanadanganywa na kuwa wajinga wa kutupwa.
Elimu ya kigeni aina thamani kuliko asili yako , yaani unaacha asili ili uamini sijui Yesu ni Mungu ili wakupe elimu ya kigeni !! huu ni uzwazwa , ndivyo wazee wetu walifanyiwa hiki ndio nimemaanisha msitulishe maneno kijana, kweli ujanja ni babu(Mohammed) la miaka 50 kuoa katoto ka miaka 6 (Aisha ) Ahahaahahahahaaahah
 
Sijui unaongea nini mkuu,hivi elimu kwako ni nini?

Hao waliyobaki kwenye asili yao ni asili yao ipi? kwamba hawatumii madawa ya kizungu wala tiba za kizungu,hakuna mashule au vp yani sielewi hebu niweke sawa.
Ujanielewa walipoingia wamisionari ili wakupe elimu yao ya kigeni unafahamu ilikuwa mpaka ubatizwe unalijua hilo ? watu wakabatizwa wakafundishwa Yesu ndio kila kitu imani ikawaingia , wakarithisha vizazi vyao imani hii, wakawa wa kwanza kupinga imani zao za asili sababu ya Yesu waliomuamini ili kupata ELIMU, wenzetu waligoma upuuzi huu ndio maana mpaka leo India kama uamini kwenye HINDUISM uwaziri mkuu utausikia kwa jirani , wanataka mtu atakae linda asili yao, ndio maana walikuwa tayari kugawana nchi na waislamu maana watawaambukiza vijana ujinga ndio ile Pakistan, hivyo basi ELIMU haina shida ila kama watoa elimu watakuja na MASHARTI ambayo yatakuondolea mambo yako ya asili ya kiimani , basi wakataeni na elimu yao waondokenayo , kabla ya hiyo Elimu yao ya kigeni watu waliishi kama kawaida aya wapi ujaelewa
 
Elimu ya kigeni aina thamani kuliko asili yako , yaani unaacha asili ili uamini sijui Yesu ni Mungu ili wakupe elimu ya kigeni !! huu ni uzwazwa , ndivyo wazee wetu walifanyiwa hiki ndio nimemaanisha msitulishe maneno kijana, kweli ujanja ni babu(Mohammed) la miaka 50 kuoa katoto ka miaka 6 (Aisha ) Ahahaahahahahaaahah
Unaona sasa unashangaa babu kuoa kabinti wakati mabibi zetu wameolewa katika umri mdogo(chini ya miaka 18) ambao sasa hivi ukioa binti wa umri huo inahesabika umebaka,inaonesha uzungu umekuingia sana ila hapa unapiga kelele tu.
 
Ujanielewa walipoingia wamisionari ili wakupe elimu yao ya kigeni unafahamu ilikuwa mpaka ubatizwe unalijua hilo ? watu wakabatizwa wakafundishwa Yesu ndio kila kitu imani ikawaingia , wakarithisha vizazi vyao imani hii, wakawa wa kwanza kupinga imani zao za asili sababu ya Yesu waliomuamini ili kupata ELIMU, wenzetu waligoma upuuzi huu ndio maana mpaka leo India kama uamini kwenye HINDUISM uwaziri mkuu utausikia kwa jirani , wanataka mtu atakae linda asili yao, ndio maana walikuwa tayari kugawana nchi na waislamu maana watawaambukiza vijana ujinga ndio ile Pakistan, hivyo basi ELIMU haina shida ila kama watoa elimu watakuja na MASHARTI ambayo yatakuondolea mambo yako ya asili ya kiimani , basi wakataeni na elimu yao waondokenayo , kabla ya hiyo Elimu yao ya kigeni watu waliishi kama kawaida aya wapi ujaelewa
Sasa hawa waislamu ambao nao walisoma zamani unaweza kuniambia elimu yao waliipatia wapi?
 
Unaona sasa unashangaa babu kuoa kabinti wakati mabibi zetu wameolewa katika umri mdogo(chini ya miaka 18) ambao sasa hivi ukioa binti wa umri huo inahesabika umebaka,inaonesha uzungu umekuingia sana ila hapa unapiga kelele tu.

Hana hoja ya kuonyesha ubaya wa hiyo tangu na anza kujadiliana nae kuhusu ndoa hiyo zaidi ya kulalama tu na hatoweza hilo mpaka anakufa.
 
Tatizo la afrika hatukuwa na dini bali tulikuwa na imani tofauti tofauti kutokana na makabila yetu,
 
Elimu ya kigeni aina thamani kuliko asili yako , yaani unaacha asili ili uamini sijui Yesu ni Mungu ili wakupe elimu ya kigeni !! huu ni uzwazwa , ndivyo wazee wetu walifanyiwa hiki ndio nimemaanisha msitulishe maneno kijana,

Elimu maana yake ni kukidiriki kitu kama kilivyo. Hii ndio maana ya elimu,kila elimu ina misingi kumi.

Elimu haina mwenyewe bali elimu ina watu wake ndio maana yeyote anakuwa na elimu.

Uthamani wa jambo haupimwi katika asili,bali katika uhalisia na uhalali wa jambo husika. Kutokana na umuhimu wa elimu huwezi kulinganisha elimu na asili ya mtu.

Nikikuuliza swali hapa wewe asili yako ni nini au wapi,nanga itapaa.Asili bila elimu ni sawa na hakuna.

Nakuja kukwambia sasa msingi wa mababu zako ulikuwa nini ......?!
 
Endelea kupuyanga nimekujibu misingi ya dini za asili
1.Matendo (kulingana na umri, jinsia na wakati)
2. Miiko husika ya matendo hayo

Kwasababu umeishiwa la kusema au umekuja na majibu yako unatapata kama kuku mwenye mdondo

Swali nililo kuuliza umeshindwa kujibu na nikakupa maana ya tamko "msingi" kadhalika ukashindwa kujibu.

Iko hivi,msingi wa mababu zako huko nyuma katika kuabudu miti,wanyama na mfano wake ni UJINGA na HAWAA za nafsi,hayo uliyo yataja ni matokeo ya ujinga na matamani ya nafsi.

Ujinga ni kinyume na elimu,yaani kushindwa kulenga sehemu stahiki. Mpaka kesho ukiwauliza mababu zako kwanini walikuwa wanaabudu miti au mfano wake majibu yake ni ya kusikitisha na upi uhusiano kati ya maombi miti na mfano wake ?

Naomba unithibitishie ya kuwa kweli maombi yao yalikuwa yanajibu kweli,kwa maana waliomba mvua mizimu ikaleta mvua kweli,yaani thibitisha hilo.

Pili,ni zipi sifa za kitu kinacho stahili kuombwa ?

Kuhusu Yemen huo ni mfano tu wa matumizi ya pesa zenu tu, nimekwambia Mohammed akuwa mbumbumbu kama wewe alijua wazi itafika muda waumini wa imani yake watakuwa wengi , hivyo wakiwa wengi faida za kitaliii nchini kwake zitakuwa kubwa ,Pesa za kigeni kedekede kutoka kwa watu kama wewe, yaani ukienda Maka unasameha dhambi huko Maka anga lake la dhahabu !!! Shtuka unaibiwa wewe nyie akili zenu zinakwenda likizo ata mambo madogo kama aya amuelewi , Miungu ya magharibi yote imeleta umwagaji mkubwa wa damu kwa sababu imewatoa chambo waumini ahahaha Syria, somalia , Iraq , n.k Miungu gani iyo inatetew
Nacheka sana,ndio nataka unithibitishie hilo sasa.

Sababu sisi mtume wetu alikuwa haongei kwa matamanio isipokuwa ni ufunuo toka kwa Mola wake,sasa ndio uniambie hili alilionaje maana bishara zote toka kwake tunazo.

Lakini pili,je unajua wanao pigwa kule Yemeni ni kina nani na kwanini wanapigwa ?

Kadhalika unaweza kuniambia au kunipa ubaya wa kitendo cha Wasaudia kuwapiga wale wa Yemeni ?

Mnacho feli nyinyi huko mnakochukua habari za nchi za kiarabu ni kuwa mnasahau ya kuwa migogoro yao imejengeka katika misingi ya dini,yaani kama huujui Uislamu kamwe huwezi kupatia katika kuzungumzia siasa za mashariki ya kati.

Naendelea ........
 
Back
Top Bottom