Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

Huwezi chomoka ikiwa unakumbatia mfumo wa elimu na historia ile uliyopew ili ushikwe akili
waafrica_tujitambue-20190723-0002.jpeg
waafrica_tujitambue-20190720-0001.jpeg
waafrica_tujitambue-20190719-0001.jpeg
truth_is_our_religion-20190713-0001.jpeg
ukawa_washington-20190709-0018.jpeg
ukawa_washington-20190709-0027.jpeg
ukawa_washington-20190711-0002.jpeg
ukawa_washington-20190709-0020.jpeg
ukawa_washington-20190709-0023.jpeg
ukawa_washington-20190709-0002.jpeg
ukawa_washington-20190708-0001.jpeg
ukawa_washington-20190605-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Tata, hata hao wazungu unaowalaumu walikua na dini zao kama ambavyo wafrika wanavyodai wana dini yao. Lakini swali la kujiuliza: je, ni dini ipi ya wafrika ambayo wafrika wanadai ni yao, ambayo wazungu hawakuwa nayo?
Kwa hakika hakuna dini kwa maana ya Mungu au miungu ambayo wafrika wanasema ni yao ambayo wazungu hawajakuwa nayo. Hakuna!
Kama ni dini za uongo-miungu, wazungu ndiyo wameanza.
Kilichopo leo Afrika, ambacho wafrika wanadai kuwa ni dini yao na kuitumikia ni uongo. Kama ilivyo kwa wafrika nyakati zetu na hata mababu zetu waliotutangulia walikataa ukristo kwa uongo huo wa kuwa tuna dini yetu. Hata wazungu walikataa ukristo kwa madai, dhana na upotofu kama huu huu tulionao Afrika.
Shida kubwa ya Afrika ni elimu. Wafrika hatujawa na elimu. Hatuelewi dini ni nini, inaundwa na mini na ina sifa gani. Lakini pia wafrika siyo tu kwamba hatujaweza kuandika historia ya maisha ya vizazi vyetu, lakini hatuna elimu ya historia ya ulimwengu na mwanadamu.
Sasa kama hatuna tu elimu na uelewa wa jambo dogo la historia ya ulimwengu na maisha ya mwanadamu yalivyoanza itawezekanaje kwa jambo kama dini?
Aliekwambia hatunahistoria ya ulimwengu ni nani?vUlimwengu ni nini? Wewe unatafsiri kila dhana kwa tafsiri ya wazungu.Waafrika ni watu waliokuwa na maarifa mengi,hata maandushi yalianzia afrika,wakaiba wagiriki,waarabu nk.Kisha wanakwambia huna historia.Egypt,Etheopia walikuwa wanamaandishi hat kabla ya ujio wa wazungu.

Soma ndugu, usikariri vitabu vya waarabu na wazungu kisha ukaona unaelimi kuna mengi huyajui na Siku ukiyajua utashangaa.
 
Acha bange basi HINDUISM ni mkusanyiko wa doctrines zote za imani za kihiindi ahahahaaaaa unasikitisha sana , ni sawa na imani zetu makabila yote ya Tanzania tuzikusanye sehemu moja halafu tuzipe jina TWANZA , kama uelewi jambo uwe unauliza wahindi wako toka asili , kuingia kwako mkenge usitafute wenzio
Duh! hivi we dogo unajua kuwa hao wahindi wana imani zengine mbali na hinduism na hiyo dini ya hinduism haipo india tu?
 
Ni ngumu kutetea ndoa hii lazima umwage povu , huyu alieolewa kabla ajabalehe, maana yake ata mwili wake hauko tayari kwa lolote ata akili yake haiko tayari kwa lolote , Swali kwanini akumsubir akue (abalehe ) afanye maamuzi aolewe au asiolewe na babu yule ?kwanini aolewe akiwa ajitambui hapa ndipo kwenye hoja acha kutapa tapa kama kuku mwenye mdondo
Dogo kwanza nakukumbusha tena siko hapa kutetea chochote wala yeyote na ndiyo maana nimekwambia hiyo ndoa ya Muhammad haina tofauti na wewe ambaye unaona sawa binti asiyefika umri wa kuweza kuwa na maamuzi binafsi ili kuweeza kuamua mambo yake. Nimekwambia kubalehe tu hakutoshi mtoto kuwa ndio anaweza kuwa na maamuzi,sasa nakushangaa wewe unayeweza kuoa binti ambaye hajafika umri wa kuweza kuwa na maamuzi et nawe unamshangaa anayeoa binti ambaye hajabalehe!

Wewe huna tofauti na ndoa ya muhammad maana ndoa zote zinahusisha mabinti wasiofika umri wa kuwa na maamuzi.
 
Duh! hivi we dogo unajua kuwa hao wahindi wana imani zengine mbali na hinduism na hiyo dini ya hinduism haipo india tu?
Unajua maana ya DOCTRINES mbali mbali za kihindi ? hizo ndio zimezalisha HINDUISM sasa uelewi kitu gani!!, narudia tena HINDUISM hakuna founder( mwanzilishi) wala hakuna mtume( prophet) , hivi ni viiimani( vidini ) vidogo dogo vinavyopatikana INDIA , hili limekwisha
 
Watakaoielewa hii mada wachache sana, wengi wameshalishwa HOFU isiyo na kifani
 
Dogo kwanza nakukumbusha tena siko hapa kutetea chochote wala yeyote na ndiyo maana nimekwambia hiyo ndoa ya Muhammad haina tofauti na wewe ambaye unaona sawa binti asiyefika umri wa kuweza kuwa na maamuzi binafsi ili kuweeza kuamua mambo yake. Nimekwambia kubalehe tu hakutoshi mtoto kuwa ndio anaweza kuwa na maamuzi,sasa nakushangaa wewe unayeweza kuoa binti ambaye hajafika umri wa kuweza kuwa na maamuzi et nawe unamshangaa anayeoa binti ambaye hajabalehe!

Wewe huna tofauti na ndoa ya muhammad maana ndoa zote zinahusisha mabinti wasiofika umri wa kuwa na maamuzi.
Utetee au usitetee , point ya msingi hapa mimi siwezi kuoa mwanamke ambaye akubalehe ilo ulijue kwanza , kwasababu kama ajabalehe unaoa nini kama sio upunguani, Mohammed ameleta tamaa kuoa kabinti ambako akajabalehe ili pia ulijue , naona unaangaika tu , binti anapaswa abalehe kisha ndio aozeshwe , nje ya hapo hiyo ni ndoa ya utotoni aliyofanya Mohammed kwa katoto ambako akajabalehe
 
Hivi kwa nini dini za kiasili za kiafrika zilipondwa na wazungu, lakini wazungu hao hao hawakufaulu kuangamiza dini za kiasia. Hinduism, Buddhism, Taoism, Shinto, nk yanalingana sana na dini ya kiafrika, kwenye kuabudu mizimu na sanamu, na zote zinastawi mpaka leo! Halafu wazungu wenyewe wanahamia dini kama Buddhism kwa kishindo siku hizi. Kwa nini dini za kiafrika zimepuuzwa, lakini dini za kiasia zinapanuka, wakati zote zinashabiana?????
Kitakachotuponza waafrika mpaka kesho ni kuingilika

Huko Asia mzungu haingii ingii kizembe tu
 
Unajua maana ya DOCTRINES mbali mbali za kihindi ? hizo ndio zimezalisha HINDUISM sasa uelewi kitu gani!!, narudia tena HINDUISM hakuna founder( mwanzilishi) wala hakuna mtume( prophet) , hivi ni viiimani( vidini ) vidogo dogo vinavyopatikana INDIA , hili limekwisha
Hujui hata unachoongea hapa hueleweki unachosimamia hapa ni nini? kama hata hamjui hizo imani za afrika zilihoanzia ndio utajua historia za hizo dini zengine.
 
Utetee au usitetee , point ya msingi hapa mimi siwezi kuoa mwanamke ambaye akubalehe ilo ulijue kwanza , kwasababu kama ajabalehe unaoa nini kama sio upunguani, Mohammed ameleta tamaa kuoa kabinti ambako akajabalehe ili pia ulijue , naona unaangaika tu , binti anapaswa abalehe kisha ndio aozeshwe , nje ya hapo hiyo ni ndoa ya utotoni aliyofanya Mohammed kwa katoto ambako akajabalehe
Point ipi sasa hapo? mie point yangu binti anatakiwa afike umri wa kuweza kuwa na maamuzi ndipo aweze kuolewa na sio kubalehe tu,sasa wewe unajisemea tu kuwa huwezi kuoa binti ambaye hajabalehe(kwa sababu hutoweza kumuingilia) ila hujari suala la binti kufika umri wa maamuzi yake binafsi ili kuwezavkuamua kuolewa bali unajari suala la kuweza kumuingilia tu sasa hapa we nae utasemaje huna tamaa maana unashindwa vp kusubiri afike umri wa kuwa na maamuzi ili ndio umuoe?

Kumuoa binti asiyefika umri wa kufanya maamuzi na ukamsubiri hadi abalehe ndio umuingilie kuna tofauti gani na wewe ambaye unamsubiri binti asiyefika umri wa kufanya maamuzi abalehe tu ili umuoe ukamuingilie? kuna unafuu gani au tofauti gani hapo? kotekote binti anaolewa akiwa hana maamuzi na anaingiliwa akiwa amesha balehe. Kwahiyo dogo huna hoja yote yaleyale tu ila kila mmoja akaamua kwa njia yake.
 
Hujui hata unachoongea hapa hueleweki unachosimamia hapa ni nini? kama hata hamjui hizo imani za afrika zilihoanzia ndio utajua historia za hizo dini zengine.
1. HINDUISM ni dini inayotokana na vidini vidogo vidogo vinavyopatikana INDIA
2. HINDUISM hakuna mwanzilishi (founder )
3. HINDUISM hakuna mtume wala nabii ( prophet)
Kama kuna sehemu ujaelewa sema wacha kulia lia
 
Point ipi sasa hapo? mie point yangu binti anatakiwa afike umri wa kuweza kuwa na maamuzi ndipo aweze kuolewa na sio kubalehe tu,sasa wewe unajisemea tu kuwa huwezi kuoa binti ambaye hajabalehe(kwa sababu hutoweza kumuingilia) ila hujari suala la binti kufika umri wa maamuzi yake binafsi ili kuwezavkuamua kuolewa bali unajari suala la kuweza kumuingilia tu sasa hapa we nae utasemaje huna tamaa maana unashindwa vp kusubiri afike umri wa kuwa na maamuzi ili ndio umuoe?

Kumuoa binti asiyefika umri wa kufanya maamuzi na ukamsubiri hadi abalehe ndio umuingilie kuna tofauti gani na wewe ambaye unamsubiri binti asiyefika umri wa kufanya maamuzi abalehe tu ili umuoe ukamuingilie? kuna unafuu gani au tofauti gani hapo? kotekote binti anaolewa akiwa hana maamuzi na anaingiliwa akiwa amesha balehe. Kwahiyo dogo huna hoja yote yaleyale tu ila kila mmoja akaamua kwa njia yake.
Wewe ruka ruka narudia tena hakuna umri wa kuoa uliopangwa , lakini sifa kuu ya kuoa au kuolewa ni LAZIMA mwanamke au mwanaume yule awe AMEBALEHE, kama mtu ajabalehe huyo afai kuolewa OVER, sasa unapoangaika mimi nakushangaa ahahahahahaahaha, AISHA ameolewa wakati Ajabalehe hivyo Mohammed ameoa katoto kadogo sijui unajitoa ufahamu kwa lipi , narudia tena kubalehe ndio ishara ya kutoka UTOTO kuingia UTU uzima , wapi ujaelewa
 
1. HINDUISM ni dini inayotokana na vidini vidogo vidogo vinavyopatikana INDIA
2. HINDUISM hakuna mwanzilishi (founder )
3. HINDUISM hakuna mtume wala nabii ( prophet)
Kama kuna sehemu ujaelewa sema wacha kulia lia
Sasa nani aliyekuwa anazungumzia habari za founder au mtume? we dogo una matatizo kweli.
 
Wewe ruka ruka narudia tena hakuna umri wa kuoa uliopangwa , lakini sifa kuu ya kuoa au kuolewa ni LAZIMA mwanamke au mwanaume yule awe AMEBALEHE, kama mtu ajabalehe huyo afai kuolewa OVER, sasa unapoangaika mimi nakushangaa ahahahahahaahaha, AISHA ameolewa wakati Ajabalehe hivyo Mohammed ameoa katoto kadogo sijui unajitoa ufahamu kwa lipi , narudia tena kubalehe ndio ishara ya kutoka UTOTO kuingia UTU uzima , wapi ujaelewa
Sijasema kuna umri wa kuoa ila wewe ndio unaleta habari za umri ndiyo maana unasema Muhammad alikuwa mzee kama ungekuwa hujari umri basi uzee wa muhammad isingekuwa hoja hapa kabisa,chengine aliyepanga kuoa binti lazima abalehe ndio aolewe ni nani huyo na kwa sababu zipi amepanga hivyo?

Huyo Aisha tunaambiwa alipofika miaka 9 ndio alibalehe,sasa wewe kwa akili zako mtoto wa miaka 9 ndio kaingia utu uzima? ndio maana nakwambia wewe huna hoja,yani miaka 6 kwako wewe ndio utoto ila miaka 9 ndio ghafla kawa mtu mzima! dogo jiangalie wewe.
 
Ahahahahahaha dah jamaa anasikitisha maandiko yanasema Mohammed kamuoa Aisha akiwa na miaka 6 akiwa bado Ajabalehe , sasa mbona unanilaumu mimi, mwanamke ili aolewe ni lazima awe amebalehe kwasababu lengo la ndoa ni kuhifadhi kizazi , sasa unahifadhi vipi kizazi wakati ata huyo mtu mwenyewe via vya uzazi avijakomaa !! ahahahaha Mohammed ameoa katoto kadogo hili alikwepeki ahahaha narudia tena balehe ndio njia ya kuonyesha kuwa mtu ametoka utotoni na kuingia ukubwani , ndio maana kuna hedhi ( tayari mwanamke kujenga kizazi) na manii( tayari mwanaume kujenga kizazi ), kipi ujaelewa
 
Sasa nani aliyekuwa anazungumzia habari za founder au mtume? we dogo una matatizo kweli.
Umeelewa sasa hizo ndio sifa za dini ya kihindu Origin yake , HINDUISM ni dini iliyotokana na vidini vidogo vidogo vinavyopatikana INDIA , kama ujaelewa sema , nimekutajia mtume ili ujue kuwa katika HINDUISM hakuna mtume wala nabii
 
Dini zote kubwa ni za Muafrika kiuhalisia dini nyingi za asia zimecopy mambo ya Misri ya zamani na Misri ya zamani wao wanasema source ya nguvu zao ilitoka kwenye chanzo cha nile na chanzo cha nile mzungu alikuja kukigundua juzi tu hapa kuona kwamba hizo nguvu zimetoka ziwa nyanza wakalibadili na jina kabisa wakaliita victoria huo nao pia ni uchawi lile ziwa lina jina lake lililopewa na mababu zetu na sio majina ya wazungu
 
Ahahahahahaha dah jamaa anasikitisha maandiko yanasema Mohammed kamuoa Aisha akiwa na miaka 6 akiwa bado Ajabalehe , sasa mbona unanilaumu mimi, mwanamke ili aolewe ni lazima awe amebalehe kwasababu lengo la ndoa ni kuhifadhi kizazi , sasa unahifadhi vipi kizazi wakati ata huyo mtu mwenyewe via vya uzazi avijakomaa !! ahahahaha Mohammed ameoa katoto kadogo hili alikwepeki ahahaha narudia tena balehe ndio njia ya kuonyesha kuwa mtu ametoka utotoni na kuingia ukubwani , ndio maana kuna hedhi ( tayari mwanamke kujenga kizazi) na manii( tayari mwanaume kujenga kizazi ), kipi ujaelewa
Ndiyo maana nimekuuliza binti wa miaka tisa ni mtu mzima kwako? maana kwa maelezo ilitakiwa Mhammad amsubiri Aisha abalehe ndio amuoe na Aisha alibalehe alipofika miaka 9,ndio nakuuliza wewe dogo kuwa binti wa miaka 9 ni mtu mzima maana miaka 6 umesema ni katoto kisa hakajabalehe kwahiyo Aisha angeolewa akiwa na miaka tisa ndiyo kwako wewe ungeona ni mtu mzima kwa sababu amebalehe?

Wewe inaelekea hata mimba za utotoni huoni shida kwako.
 
Sio miaka 6 ata angekuwa na miaka 3 kama AMEBALEHE maana yake sio mtoto bali ni Mtu Mzima , hivyo hakuna tatizo lolote kumuoa , kosa alilofanya Mohammed ni kuoa katoto kadogo ambako katu akajabalehe , kwahiyo ile ndoa ya Mohammed ni ndoa ya UTOTONI , narudia tena UKIBALEHE wewe ni mtu mzima , ujaelewa wapi !!
 
Back
Top Bottom