Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

Unanichosha tu dogo maana umeshaishiwa hoja umebaki kung'ang'ania balehe tu,mie nishaeleza hakuna utofauti wowote kati ya unachokitete(kuoa binti baada ya kubalehe ) wala unachokipinga(kuoa binti kabla ya kubalehe). Maisha ya ndoa ni zaidi kujamiana tu,sasa kama binti asiyebalehe unaona ni mdogo hivyo hawezi kuwa kwenye maisha ya ndoa basi ni ajabu ghafla kwa binti huyo baada ya kubalehe aweze kumudu maisha ya ndoa. Hili haliwezekani kuingia akilini na ndiyo maana kuna matatizo ya mimba za utotoni kama kubalehe tu ndio ushakuwa mtu mzima basi kusingekuwa na hichi kinachoitwa mimba za utotoni.
Ahahahahahaah wewe kweli unatapatapa baada ya kuishiwa utetezi
1. Aliebalehe( huyu ni mtu mzima )
2. Asiebalehe( huyu ni mtoto mdogo)

sasa vipi iwe sawa kumuoa asiebalehe( mtoto mdogo ) na kumuoa aliebalehe( mtu mzima ) !!! unachekesha sana kutetea ndoa ya mtoto mdogo ahahahahaaa
 
Hapa tunajadili DIni za asili za watu wa INDIA , HINDUISM ni dini yao ya asili , hizo ulizotaja kama ni za asili pia ya INDIA hakuna tabu , ila kama Muhindi atajiita Muislamu au Mkristo huyo amepotoka maana dini hizi hawana asili nazo , wapi ujaelewa
Dini ni suala la kiimani na usahihi haupimwi kwa uasili wa kitu kwamba et jambo hili lina asili hapa basi ndio sahihi na ndiyo maana hata huko India ikitoka hinduism kwa waumini wengi inafuata islam na sio dini zao za kihindi sasa huwezi wamepotoka kisa hawajafuata asili.
 
Ahahahahahaah wewe kweli unatapatapa baada ya kuishiwa utetezi
1. Aliebalehe( huyu ni mtu mzima )
2. Asiebalehe( huyu ni mtoto mdogo)
sasa vipi iwe sawa kumuoa asiebalehe( mtoto mdogo ) na kumuoa aliebalehe( mtu mzima ) !!! unachekesha sana kutetea ndoa ya mtoto mdogo ahahahahaaa

NIMEITOA MTANDAONI HII,labda ukisoma hapa ndio utaelewa.
Zipo sababu nyingi na ushahidi mwingi wa kisayansi, unaonyesha kuwa, ndoa na mimba katika umri mdogo wa msichana chini ya umri wa miaka 18 ni hatari kwa afya na mstakabali wa maisha yake na mtoto wake.Wasichana wengi wakati huu licha ya kuanza kupevuka wanakuwa hawajakomaa kiakili na uwezo wao ni duni katika maamuzi juu ya kufaa kwa mtu atakayekuwa mwenzi sahihi wa maisha.

Kimwili pia wasichana katika umri huu wanakuwa hawajawa tayari kuyakabili majukumu ya uzazi na unyumba, nyonga za wasichana wanaoendelea kukuwa mara nyingi huwa changa na finyu kiasi kwamba husababisha matatizo mengi ya uzazi wakati wa kujifungua kwa njia ya kawaida.

Wasichana wengi huchelewa kujifungua au huchukuwa saa nyingi za uchungu kabla ya kujifungua, hali hii inaweza kusababisha kifo cha mama au mtoto au wote wawili kama matibabu ya dharura ya upasuaji kwa ajili ya uzazi hayakufanyika. Idadi kubwa ya akina mama wanaojifungua kwa njia ya upasuji ni wale walio na umri mdogo.

Wasichana wanaopata ujauzito na kujifungua katika umri mdogo wengi wao pia hupata tatizo la fisitula - Vescovaginal fistula (VVF) au Rectovaginal fistula (RVF). Fisitula husababisha msichana kutokwa na haja ndogo au kubwa bila kujizuia. Haja kubwa pia inaweza kumtoka msichana kwa kupitia tupu ya mbele. Tatizo la fistula huharibu sana afya ya mwili na hisia za msichana.

Tatizo jingine linaloambatana na mimba katika umri mdogo ni pamoja na kutokwa na damu nyingi pale mimba inapoharibika au wakati wa kujifungua. Wasichana wengi hukabiliwa na tatizo hili ikiwa ni pamoja na kupata uambukizo wa bakteria katika njia ya kizazi pamoja na kupata kifafa cha mimba.

Wasichana wadogo mara nyingi huzaa watoto wenye uzito pungufu au njiti, watoto namna hii hukabiliwa na na hatari pamoja na changamoto nyingi za kiafya katika umri wao chini ya miaka mitano. Watoto wengi hupata matatizo ya mtindio wa ubongo na taahira ya akili. Wasichana wengi wanaozaa katika umri mdogo hupata hali ya aibu na hisia ya kudharauliwa mambo ambayo huongeza mzigo kwa wote mama na mtoto.

Wasichana wanao olewa au kupata mimba za utotoni hupeteza fursa na haki ya elimu. Wengi wao hufukuzwa shuleni au wazazi wao hupoteza imani kwao kiasi kwamba, husita kuwaendeleza kimaisha hata baada ya kujifungua, hali hii hufungua mlango kwa msichana kuingia katika umaskini na kuzaa ovyo bila mpangilio. Mzigo huongezeka pale msichana anapolea watoto peke yake kama hakubahatika kuolewa au kama ataachika baada ya kuolewa.

Wasichana wanaoolewa kutokanan na kukosa uwezo wa kukabili matakwa ya unyumba na majukumu yake, wengi hukabiliwa na unyanyasaji, ukatili pamoja na udhalilishaji wa kijinsia ndani ya ndoa. Wengi hupata vipigo vinavyo wasababishia ulemavu wa maisha au vifo.Wengi hutukanwa na kubezwa.Wengi hulazimishwa kuolewa na watu wenye umri mkubwa bila hata kupima damu kwa ajili ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI kabla ya ndoa.

Hali hii huwafanya wasichana wanaoolewa katika umri mdogo kukabiliwa na hatari ya kuambukizwa virusi vya UKIMWI na wengi huwa wajane kabla ya kuwa watu wazima. Wale wanaoachika huwa na uwezekana mkubwa wa kuachika tena pale wanapoolewa kwa mara nyingine. Hii hutokana na athari za kisaikolojia zinazowajengea wasichana hawa doa la kitabia katika jamii na kuwafanya wasione umuhimu wa kudumisha mahusiano ya ndoa kutokana na uzoefu mbaya walioupata katika ndoa za awali.]
 
Unajadili vitu tofauti HINDUISM sio dini mpya INDIA ila ukristo ni dini mpya kwa wazungu , HINDUISM ni imani zile zile walizokuwa wakiishi nazo wahindi wala sio kitu kipya , nimeshakwambia Pakistan na INDIA zimetengana kwa sababu HINDUISM awakutaka kabisa Imani mpya kwenye madaraka , na toka uhuru mpaka leo chama kikuu cha siasa ni Wahindu na viongozi wote wakuu ni Wahindu , sasa unataka watangaze hili ni Taifa la kihindu ili iweje , wakati HINDUISM ndio maisha yao ya kila siku
Ameelewa huyo ila sema kafungwa na mkoloni.
 
Sio kweli kwamba "toka uhuru mpaka leo chama kikuu cha siasa ni Wahindu na viongozi wote wakuu ni Wahindu". Kabla ya Narendra Modi, waziri mkuu alikuwa Manmohan Singh, ambaye si mhindu bali ni mkalasinga (Sikh).

Halafu katiba ya India inatamka wazi kuwa nchi ni secular (haina dini), lakini miaka za mwisho wahindu wameshika madaraka na wanajaribu kugeuza nchi iwe ya kihindu! Pia sio kweli kwamba "Pakistan na INDIA zimetengana kwa sababu HINDUISM awakutaka kabisa Imani mpya kwenye madaraka".

Mwanzilishi Mahatma Gandhi hakutaka kabisa nchi igawanye (partition), lakini waislamu ndio walikazana kuwa wanataka kujitawala wenyewe kwenye maeneo yenye waislamu wengi, huku wakihofu kuonewa kwa sababu wako wachache na wasingeweza kupata madaraka ukilinganisha na idadi ya wahindu nchi nzima!
 
Mimi nipo huru mkuu sijafungwa na mkoloni wala kufuata imani kimkumkumbo tu kisa et za asili,sio kila kilicho asili ni sahihi.
Kuna kitu cha asili ya Afrika kikakubalika na wazungu? Uzungu ni kuelimika na kustarabika eti? Safi ndg ila mnachangia kuiua Afrika.
 
Sizungumzii wazungu mkuu,halafu tutaua afrika kwa haya masuala ya imani ambayo kila mtu anaweza kuamini aonavyo inafaa na ndiyo maana hata huko India nako kuna imani tofauti tofauti na haiwafanyi wao kutokuwa wahindi.
 
Kwa sasa Afrika ipo zaidi museum na ukienda huko utaambiwa vingi tu. Tamaduni na mila zimekufa, dini ndio hizo nazo mnang'ang'ana zife na lugha pia zitakufa. Tutawaanbia nn vitukuu vyetu? Jina Afrika halifi ila uwaafrika wenyewe utakufa. Angalia hata majina yalivyokabidilika kwa sasa. Utambulisho wa mwafrika ni nn? Rangi tu au?
 
Kwani jamii gani hapa dunia imekuwa hivyo hivyo bila kubadilika? hamueleweki hasa mnachokitaka ni kipi hebu nisaidie kunielezea nielewe ni jamii gani ambayo ipo kama ilivyo haijawahi kubadilika tofauti na sie waafrika.
 
Tuwe watu huru kifikra,tujitmbue,tupendane,
Tuna yetu mazuri mengi sana,tuyathamini,
Lkn pia yapo mema na mazuri ya wenzetu tuyaige na kuyofuta mema yetu,yapo mabaya yetu tuyaue,
Wao walitupandikizia yao tunashindwaje na sisi kuwaambukiza yetu,
Tuanze kwa kuthamini mazuri yetu itafanya na wao wayaige itatuongezea thamani,
Tuache kuchukiana sisi kwa sisi,tuache kuwa vibraka,tuache kuwaumiza wenzetu inatudharilisha sana
Mkuu
Tutakaokuelewa ni wachache sana humu, watu wengi walishafanyiwa kitu ninachookiita " kuuwawa kwa tabia zao halisi" Yaani karibu kila kitu hapa Afrika kimeharibiwa. Angalia maisha yetu, mathalani lugha zetu, mavazi yetu, sayansi yetu, dini zetu, usomaji wetu, majina yetu n.k hadi unajiuliza hivi sisi watu weusi tutaacha alama gani hapa duniani!!!???

Kuna jamaa mmoja nilimponda tukiwa wengi kwa kumwita mtoto wake mchanga jina la kiingereza la ajabu ajabu kisa tu eti ni zuri (si ni la kizungu bwana) nilipomwambia kuwa asiendekeze utumwa wa fikra aliniita mimi mshamba yaani akasema sijaelemika! Nikamtazamaaaa, nikamwambia waziwazi mimi naitwa TATA MKURIA na najisikia fahari kuwaita watoto wangu majina yao kama Bhoke, Ghati,Marwa, Mwita n.k.

Mkuu Frustration hakuna bara linadharauliwa kidini kama Afrika! Yaani ni aibu, halafu waafrika hawa wa sasa tena wasomi wanaendelea kuwatumikia wale jamaa wakidhani wapo sahihi yaani waafrika tumeenda hatua zaidi ya wao kujiona hizi dini zao ni bora sana hadi zinatugombanisha! Zinafanya tuuwane! Ni aibu.

Ukienda mabara mengine, huwaambii kitu kuhusu dini zao! Kama hujui nenda nchi za Ulaya, nenda nchi za Uarabuni, nenda Uhindini, nk. Ila sasa njoo Afrika! Yaani akili zetu ni nyepesi nyepesi mno. Kila kitu kinaaminika kirahisi tu, tumesoma sasa lakini bado tunaendekeza yale yale yaliyotuletea madhila siku za nyuma. Tumelala fofofo tunadhani kila kitu kipo sawa. Yaani hadi nimewakumbuka Prof Ngugi wa Thiong'o na maelekezo yake katika kitabu cha "Decolonizing the Mind" pamoja na Okoth p'Bitek na vile vitabu vyake pendwa (najua wengi mlisoma kile maarufu Song of Lawino na Song of Ocol) hawa waafrika wenzetu wametuandikia tushtuke kidogo lakini bado tupo ziii!

Wale wenzangu wanaopenda dini zetu, tuendelee nazo ingawa tunaitwa washirikina mi nasema ni sawa tu nitaendelea kutambika ila siyo kwa kafara za watu kama hawa washenzi wa baadhi ya dini hizi za kisasa wanavyofanya!

Najua tupo wengi tu ingawa makanisani na misikitini pia tunaingia mara kwa mara ila mioyoni mwetu tunaujua ukweli na pia tumeisha enda wapi na wapi kupata tiba zetu za kujikinga na mabalaa. Ukituona kwa nje tuna heshima lukuki katika jamii ila kiundani tunaamini dini za Kiafrika kimya kimya.

Tata mkuria.
 
Dini ni suala la kiimani na usahihi haupimwi kwa uasili wa kitu kwamba et jambo hili lina asili hapa basi ndio sahihi na ndiyo maana hata huko India ikitoka hinduism kwa waumini wengi inafuata islam na sio dini zao za kihindi sasa huwezi wamepotoka kisa hawajafuata asili.
Mtu anaeacha imani yake ya asili na kufuata imani za kigeni huyo ni mpumbavu, kwenye imani ndipo kwenye uimara , ndio maana 80% ya wahindi ni HINDUISM , hao waislamu na wengine watagombania 20% ,na INDIA wanasonga mbele bila wasiwasi wowote kwa sababu wameshika imani yao ambayo ndio nguzo kwao , wewe endelea kuokoteza
 
NIMEITOA MTANDAONI HII,labda ukisoma hapa ndio utaelewa.
Zipo sababu nyingi na ushahidi mwingi wa kisayansi, unaonyesha kuwa, ndoa na mimba katika umri mdogo wa msichana chini ya umri wa miaka 18 ni hatari kwa afya na mstakabali wa maisha yake na mtoto wake.Wasichana wengi wakati huu licha ya kuanza kupevuka wanakuwa hawajakomaa kiakili na uwezo wao ni duni katika maamuzi juu ya kufaa kwa mtu atakayekuwa mwenzi sahihi wa maisha.
Kimwili pia wasichana katika umri huu wanakuwa hawajawa tayari kuyakabili majukumu ya uzazi na unyumba, nyonga za wasichana wanaoendelea kukuwa mara nyingi huwa changa na finyu kiasi kwamba husababisha matatizo mengi ya uzazi wakati wa kujifungua kwa njia ya kawaida.
Wasichana wengi huchelewa kujifungua au huchukuwa saa nyingi za uchungu kabla ya kujifungua, hali hii inaweza kusababisha kifo cha mama au mtoto au wote wawili kama matibabu ya dharura ya upasuaji kwa ajili ya uzazi hayakufanyika. Idadi kubwa ya akina mama wanaojifungua kwa njia ya upasuji ni wale walio na umri mdogo.
Wasichana wanaopata ujauzito na kujifungua katika umri mdogo wengi wao pia hupata tatizo la fisitula - Vescovaginal fistula (VVF) au Rectovaginal fistula (RVF). Fisitula husababisha msichana kutokwa na haja ndogo au kubwa bila kujizuia. Haja kubwa pia inaweza kumtoka msichana kwa kupitia tupu ya mbele. Tatizo la fistula huharibu sana afya ya mwili na hisia za msichana.
Tatizo jingine linaloambatana na mimba katika umri mdogo ni pamoja na kutokwa na damu nyingi pale mimba inapoharibika au wakati wa kujifungua. Wasichana wengi hukabiliwa na tatizo hili ikiwa ni pamoja na kupata uambukizo wa bakteria katika njia ya kizazi pamoja na kupata kifafa cha mimba.
Wasichana wadogo mara nyingi huzaa watoto wenye uzito pungufu au njiti, watoto namna hii hukabiliwa na na hatari pamoja na changamoto nyingi za kiafya katika umri wao chini ya miaka mitano. Watoto wengi hupata matatizo ya mtindio wa ubongo na taahira ya akili. Wasichana wengi wanaozaa katika umri mdogo hupata hali ya aibu na hisia ya kudharauliwa mambo ambayo huongeza mzigo kwa wote mama na mtoto.
Wasichana wanao olewa au kupata mimba za utotoni hupeteza fursa na haki ya elimu. Wengi wao hufukuzwa shuleni au wazazi wao hupoteza imani kwao kiasi kwamba, husita kuwaendeleza kimaisha hata baada ya kujifungua, hali hii hufungua mlango kwa msichana kuingia katika umaskini na kuzaa ovyo bila mpangilio. Mzigo huongezeka pale msichana anapolea watoto peke yake kama hakubahatika kuolewa au kama ataachika baada ya kuolewa.
Wasichana wanaoolewa kutokanan na kukosa uwezo wa kukabili matakwa ya unyumba na majukumu yake, wengi hukabiliwa na unyanyasaji, ukatili pamoja na udhalilishaji wa kijinsia ndani ya ndoa. Wengi hupata vipigo vinavyo wasababishia ulemavu wa maisha au vifo.Wengi hutukanwa na kubezwa.Wengi hulazimishwa kuolewa na watu wenye umri mkubwa bila hata kupima damu kwa ajili ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI kabla ya ndoa.
Hali hii huwafanya wasichana wanaoolewa katika umri mdogo kukabiliwa na hatari ya kuambukizwa virusi vya UKIMWI na wengi huwa wajane kabla ya kuwa watu wazima. Wale wanaoachika huwa na uwezekana mkubwa wa kuachika tena pale wanapoolewa kwa mara nyingine. Hii hutokana na athari za kisaikolojia zinazowajengea wasichana hawa doa la kitabia katika jamii na kuwafanya wasione umuhimu wa kudumisha mahusiano ya ndoa kutokana na uzoefu mbaya walioupata katika ndoa za awali.]

Nimeshakwambia hakuna Umri wa kuoa , anaeolewa ni lazima abalehe hii ndio sifa kuu,hili ujue huyu ni mtu mzima au ni mtoto ni kubalehe kwake tu sio vinginevyo , kuhusu AKILI mtu anaweza kuwa na miaka 40 lakini akili yake ikawa kama mtoto mdogo , hivyo hayo maelezo yako ayana mashiko kwa sababu hapa tunazungumzia mtu mzima na mtoto , na tafsiri ni hizi mtu mzima sharti abalehe na mtoto ni yule asiebalehe , usilete usiyo ulizwa hapa
 
Hahahahaha yani usikute una umri sawa na baba yangu ila unaongea utumbo tu hapa kweli kuna makubwa Jinga.

Labda nikuulize kwanini serikali inakataza kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi ni kwa sababu hawajabalehe?
 
Mtu anaeacha imani yake ya asili na kufuata imani za kigeni huyo ni mpumbavu, kwenye imani ndipo kwenye uimara , ndio maana 80% ya wahindi ni HINDUISM , hao waislamu na wengine watagombania 20% ,na INDIA wanasonga mbele bila wasiwasi wowote kwa sababu wameshika imani yao ambayo ndio nguzo kwao , wewe endelea kuokoteza
Narudia tena kuwa cha asili haina maana ndio ukweli na kama kusonga mbele basi hata hao wazungu wamefuata ukristo hawana asili nayo ila wanasonga mbele bila tabu.
 
Sio kweli kwamba "toka uhuru mpaka leo chama kikuu cha siasa ni Wahindu na viongozi wote wakuu ni Wahindu". Kabla ya Narendra Modi, waziri mkuu alikuwa Manmohan Singh, ambaye si mhindu bali ni mkalasinga (Sikh). Halafu katiba ya India inatamka wazi kuwa nchi ni secular (haina dini), lakini miaka za mwisho wahindu wameshika madaraka na wanajaribu kugeuza nchi iwe ya kihindu! Pia sio kweli kwamba "Pakistan na INDIA zimetengana kwa sababu HINDUISM awakutaka kabisa Imani mpya kwenye madaraka". Mwanzilishi Mahatma Gandhi hakutaka kabisa nchi igawanye (partition), lakini waislamu ndio walikazana kuwa wanataka kujitawala wenyewe kwenye maeneo yenye waislamu wengi, huku wakihofu kuonewa kwa sababu wako wachache na wasingeweza kupata madaraka ukilinganisha na idadi ya wahindu nchi nzima!
1. Sababu ya kutengana India na Pakistan inabaki pale pale kuwa ni Dini , wahindu na waislamu walishindwa kuishi pamoja , Ata Gandi alikuwa ni Muhindi tena alikuwa mtu kiroho zaidi sio kisiasa , waziri mkuu wa kwanza ni Nehru huyu ni Muhindu

2. Monmohan Singh alikuwa ni SIKH , kweli lakini hii bado ni Imani yao waindi wenyewe imeanzia Punjab hapo hapo india hivyo sio Imani ilioletwa na mgeni yeyote , narudia tena SIKhism ni imani ya asili ya INDIA hakuna tatizo kuwa kiongozi na ndio maana ata wakati wa kutengana 1947 SIKHISM na HINDUISM waliungana pamoja na adui yao alikuwa MUISLAMU , kiufupi walipambana na dini ngeni kutoka nchi ya mbali
 
Hahahahaha yani usikute una umri sawa na baba yangu ila unaongea utumbo tu hapa kweli kuna makubwa Jinga.

Labda nikuulize kwanini serikali inakataza kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi ni kwa sababu hawajabalehe?
Duuh huyu kweli kilaza watu wameanza kuoana hakuna serikali , sera za nchi zinabadilika kila wakati , lakini balehe aiji mara mbili , ukibalehe umebalehe , maana yake umekuwa mtu mzima hivi wewe uelewi kipi , kuna mda serikali itasema mtu mzima anaanzia miaka 30 sasa si hatari, sasa.ngao yako vip iwe serikali , kinachobalehe ni mwili acha blah blaha
 
Narudia kitu kuwa cha asili haina ndio ukweli kama kusonga mbele hao wazungu wamefuata ukristo hawana asili nayo ila wanasonga mbele bila tabu.
Kwani ukristo kaanzisha nani ? kama sio hao hao wazungu , hiki ni chao tu , maelezo yangu nikukuonyesha ata kitu chenu kinamifikisha pazuri mkikithamini , sio ushamba wa kuvamia imani za watu
 
Duuh huyu kweli kilaza watu wameanza kuoana hakuna serikali , sera za nchi zinabadilika kila wakati , lakini balehe aiji mara mbili , ukibalehe umebalehe , maana yake umekuwa mtu mzima hivi wewe uelewi kipi , kuna mda serikali itasema mtu mzima anaanzia miaka 30 sasa si hatari, sasa.ngao yako vip iwe serikali , kinachobalehe ni mwili acha blah blaha
Hujajibu swali nililokuuliza.

Kama balehe ingekuwa ndio utuuzima basi kusingekuwa na kitu kinachoitwa mimba za utotoni ambacho nimekuwekea madhara yake,hayo madhara hapo yanawakuta hao mabinti waliyo balehe.
 
Nimekujibu mtoto hapati mimba , hayo ni mawazo ya wapuuzi sawa na mtu akaamua akasema kuanzia leo hapa Tanzania mpaka ufike miaka 30 ndio unaingia utu uzima , lakini mwili wenyewe unajiswitch kuwa huyu amebalehe anaweza beba mimba , kinyume cha hapo mwili umejiswich huwezi beba mimba over , utu uzima unakaribishwa na mabadiliko ya mwili sio makaratasi serikalini
 
Back
Top Bottom