eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
- Thread starter
- #21
Ndio maana ya neno Isa mkuu japo ni majina ya watuIsa=zeruzeru??
Zeruzeru albino ndio umemaanisha au kuna maana nyingine zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana ya neno Isa mkuu japo ni majina ya watuIsa=zeruzeru??
Zeruzeru albino ndio umemaanisha au kuna maana nyingine zaidi
Wewe na huyo Kipozeo wote mambumbu hamjui kitu, mmedandia treni la waarabu tu mnapelekwa kama ng'ombe. Ule msalaba aliovaa Diamond sio wa Yesu, ile inaitwa Ethiopian cross na Rastafari wengi wanavaa ile kitu. Naweza kusema aina ya muziki na collable na Morgan Heritage ndio maana Diamond akavaa kwenye video. Mwambie Kipozeo atafute kazi ya kufanya maana hajui kitu.
Hahaha cross maana yake nini?
SafiiiWewe na huyo Kipozeo wote mambumbu hamjui kitu, mmedandia treni la waarabu tu mnapelekwa kama ng'ombe. Ule msalaba aliovaa Diamond sio wa Yesu, ile inaitwa Ethiopian cross na Rastafari wengi wanavaa ile kitu. Naweza kusema aina ya muziki na collable na Morgan Heritage ndio maana Diamond akavaa kwenye video. Mwambie Kipozeo atafute kazi ya kufanya maana hajui kitu.
Utajifunja X, utajivunja √Utajifunja vunja mwenyewe wala hakuna utakayemvunja, labda ungewavunja wale wanaoamini waislael wote ni yesu wakati hata kumjua hawamjui
Na kuna Mungu na allah, hawa pia ni tofauti.Pumbavu kabisa, yani wagalatia sijui mpoje, ila chakukusaidia, kaa pembeni soma uislam, na uusome ukristu, it may help you, kuliko kujifanya mjuaji
Kafiri mkubwa
Allah -kiarabuNa kuna Mungu na allah, hawa pia ni tofauti.
Hakuna Mungu isipokuwa allah, fuatilia kwa makini hii nahau.Allah -kiarabu
God - kizungu
Mungu- kiswahili
Jehova - kiebrania
Mulungu- kichewa
Chiuta - kitumbuka
Ikiwa namaana sawa-Muumba mbigu na ardhi na vilivyomo, most merciful, most powers full, unseen, Almighty nk
Nenda upande wa maneno magumu uangalie maana ya holi ni nini?Nilimsikiliza sheikh kipozeo wakati akimzungumzia dimondi
Sina shida na alichosema kuhusu huyu mtoto wa Kiislamu bali kilichonifanya niandike haya ni maneno yake kwamba dimond kuvaa msalaba anakubali kuwa Isa alisulubiwa wakati wao Waislamu wanaamini Isa hakusulubiwa
Huenda alichosema ni sahihi kabisa lakini kuna vitu akawa havielewi
Isa = zeruzeru
Yesu = mkombozi
Au Kiebrania yehosua = Mungu mkombozi
Historia inatueleza Isa alizaliwa katika chini ya mti wa mtende lakini qurani haitaji nchi ila inasema alizaliwa mchana na mama yake ni Mariamu
Hii ni stori tofauti na inayotupa bible
Kiarabu Yesu inatamkwa Yasu na sio Isa kama Waislamu wanavyowaaminisha wenzao kuwa ni Isa
Historia ya bible inasema Yesu Kristo au Yasu kwa Kiarabu alizaliwa nchini Israeli,katika mji wa Bethlehemu na katika hori la ngo'mbe hiyo ni bible inasema hivyo
Ukiangalia kwa makini huyu Isa utagundua sio Yesu kabisa na hata kuzaliwa kwao ni tofauti na hata walichokuja kuhubiri ni tofauti
Isa alikuja kuhubiri dini mpya ya mwenyezi Mungu kwa mujibu wa historia
Wakati Yesu alikuja kuwakomboa watu na dhambi zao
So kuanzia leo Waislamu wajue Yesu sio Isa kama wanavyoaminishwa
Na wala Isa sio Yesu kama wanavyoaminishwa
Nawasilisha tu![]()
Mkuu unaweza kuongelea huo ubaguzi ulio uona juu ya waislam.Huyu nae kaona Diamond ndio muislamu wa kwanza kuvaa msalaba? by The way Mungu wetu Sote! Kinachonikera toka kwa Waislamu ni Ubaguzi wao! Sasa huyo anaongelea nn hapo
Hivi unajua ukinuka kikwapa mara nyingi hujisikii bali uliokaa nao ndio hujua jamaa anatema. Kama kisasi ni suna, basi ubaguzi lazma uwepo.Mkuu unaweza kuongelea huo ubaguzi ulio uona juu ya waislam.