Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

Hivi unajua ukinuka kikwapa mara nyingi hujisikii bali uliokaa nao ndio hujua jamaa anatema. Kama kisasi ni suna, basi ubaguzi lazma uwepo.
Mkuu kama una pua mbovu hio kweli hutoweza kunusa harufu ya kwapa yako. Hivi ushawahi kunya na harufu huisikii? [emoji15] Nimemtaka ataje huo ubaguzi wa waislam. Sitaki ubaguzi wa tamaduni za watu nataka ubaguzi wa waislam alio uona na wewe unaweza kuueleza pia.
 
Mbona umesahau kutwambiya YESU alikuwa anaingia ktk SINAGOGI?na sinagogi ni MSIKITI kwa kiyahudi.....pia YESU anasema sikuja mimi bali kwa makabila 12 ya wana israel waliopotea wewe kabila gani?halafu kaulize kesho NABII IBRAHIM,,NABII YUSUPH,,NABII YAKOBO wote wsmezikwa MASJIDIL ABRAHAM huko israel ...kwann wazikwe msikitini?na sio kanisani?elewa kuna tofauti kubwa kati ya YESU NA UKRISTO....YESU hakuwa mkristo....
 
Mods toeni hii thread, naona ishapoteza mwelekeo
 
Mbona umesahau kutwambiya YESU alikuwa anaingia ktk SINAGOGI?na sinagogi ni MSIKITI kwa kiyahudi.....pia YESU anasema sikuja mimi bali kwa makabila 12 ya wana israel waliopotea wewe kabila gani?halafu kaulize kesho NABII IBRAHIM,,NABII YUSUPH,,NABII YAKOBO wote wsmezikwa MASJIDIL ABRAHAM huko israel ...kwann wazikwe msikitini?na sio kanisani?elewa kuna tofauti kubwa kati ya YESU NA UKRISTO....YESU hakuwa mkristo....
Wewe usichojuwa ni kwamba ukristo siyo dini ni kumfuata kristo kama bwana na muokozi wako.

Tatizo lugha ndio inawaaumnuwa wafuasi wa Mwamedi hata TB Joshua kanisa lake analiita Sinagogi.
 
Weka andiko Kama elimu ya kutosha huna kaa MBALI tofauti na hivyo upimwaji wa mkojo hautokwacha salama
 
Tatizo hili suala la Yesu huwa ni utata kati wakristo na waislamu japo wote wanamkusudia huyohuyo mmoja ila wanatofautiana maelezo.

Na hii kwa sababu imani moja hapo imejimilikisha huyo Yesu na kuonekana kuwa wao ndiyo wenye haki na Yesu na hivyo wao ndiyo wenye maelezo sahihi juu ya Yesu,lakini kiuhalisia anayekusudiwa ni mmoja tu huyo huyo ila tatizo ila tatizo ni maelezo ya watu juu ya huyo mlengwa na ndiyo maana kuna wengine husema Yesu alikuwa Mungu,wengine alikuwa mtu tu wa kawaida na wengine husema alikuwa mtoto wa mungu.
 
Wewe na huyo Kipozeo wote mambumbu hamjui kitu, mmedandia treni la waarabu tu mnapelekwa kama ng'ombe. Ule msalaba aliovaa Diamond sio wa Yesu, ile inaitwa Ethiopian cross na Rastafari wengi wanavaa ile kitu. Naweza kusema aina ya muziki na collable na Morgan Heritage ndio maana Diamond akavaa kwenye video. Mwambie Kipozeo atafute kazi ya kufanya maana hajui kitu.
na hao rastafari wanatumia kitabubgani vile
 
Hakuna Mungu isipokuwa allah, fuatilia kwa makini hii nahau.
unaijua maana ya Allah? na unajua kwanini waisalamu wa kiswahili au nchi nyengine wanasema "hakuna Mungu isipokuwa Allah?" au kwa kiingereza "there is no God but Allah"

Ebu kajifunze maana ya hilo Jina Allah,ukishapata ufafanuzi wa kutosha,sasa unganisha dots kwanini watu wamtaje Mungu halafu hapo hapo mbele waseme tena Allah.
 
Jibu ni rahisi tu kuna Mungu na kuna allah, hawa ni vitu viwili tofauti.
 
Jibu ni rahisi tu kuna Mungu na kuna allah, hawa ni vitu viwili tofauti.
aise..mkuu nimekwambia kajifunze kwanza,usitumie hisia kujibu mambo yanayohitaji Elimu kuyajua.

Ukishajifunza maana ya ndani ya hilo neno Allah...ndo urudi hapa kucomment tena ukiwa na akili timamu tena na adabu kwa waislamu....inamaana we unataka kujifanya ndo unamjua sana Allah kuliko waislamu woote duniani?

Japo google tu,utapata majibu ya kukusaidia.hlf tuendelee kujadili.
 
Wewe usichojuwa ni kwamba ukristo siyo dini ni kumfuata kristo kama bwana na muokozi wako.

Tatizo lugha ndio inawaaumnuwa wafuasi wa Mwamedi hata TB Joshua kanisa lake analiita Sinagogi.
Sinagogi ni msikiti...sio kanisa...kinachofanyika SASA KWENU ni kufanyia maboresho mapungufu na kuyafanyia kazi..KAMA HIYO SINAGOGI....tangu lini KANISA LIKAITWA MSIKITI?..UKRISTO NI DINI ya WATU...SI DINI YA MUNGU..
 
Back
Top Bottom