Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

Wewe na huyo Kipozeo wote mambumbu hamjui kitu, mmedandia treni la waarabu tu mnapelekwa kama ng'ombe. Ule msalaba aliovaa Diamond sio wa Yesu, ile inaitwa Ethiopian cross na Rastafari wengi wanavaa ile kitu. Naweza kusema aina ya muziki na collable na Morgan Heritage ndio maana Diamond akavaa kwenye video. Mwambie Kipozeo atafute kazi ya kufanya maana hajui kitu.
Mkuu tunaelimishana kama kunaunachofahamu unawafungua wengine tumia lugha yenye staha sio mambumbu, mnapelekwa kama ng'ombe haipendezi
 
Pumbavu kabisa, yani wagalatia sijui mpoje, ila chakukusaidia, kaa pembeni soma uislam, na uusome ukristu, it may help you, kuliko kujifanya mjuaji

Kafiri mkubwa
Usitumie lugha kali huwezi muelimisha tumia lugha ya kubadilishana mawazo kwa kile unachokifahamu utaelimisha wengine pamoja na huyo mlengwa
 
Tatizo hili suala la Yesu huwa ni utata kati wakristo na waislamu japo wote wanamkusudia huyohuyo mmoja ila wanatofautiana maelezo.

Na hii kwa sababu imani moja hapo imejimilikisha huyo Yesu na kuonekana kuwa wao ndiyo wenye haki na Yesu na hivyo wao ndiyo wenye maelezo sahihi juu ya Yesu,lakini kiuhalisia anayekusudiwa ni mmoja tu huyo huyo ila tatizo ila tatizo ni maelezo ya watu juu ya huyo mlengwa na ndiyo maana kuna wengine husema Yesu alikuwa Mungu,wengine alikuwa mtu tu wa kawaida na wengine husema alikuwa mtoto wa mungu.
Sawa lakini mbona hata kuzaliwa kwao ni tofauti
Hapa ndipo utakapogundua ni watu wawili tofauti na sio mtu mmoja anaongelewa
 
Sinagogi ni msikiti...sio kanisa...kinachofanyika SASA KWENU ni kufanyia maboresho mapungufu na kuyafanyia kazi..KAMA HIYO SINAGOGI....tangu lini KANISA LIKAITWA MSIKITI?..UKRISTO NI DINI ya WATU...SI DINI YA MUNGU..
Kwa wanao mfuata Yesu Kristo majengo hayana maana bali mwili ambao ni hekalu la Mungu
Hiki ndicho Mungu hujivunia kwa binadamu ndio maana atakapokuja kuhukumu atahukumu roho ambayo ipo ndani ya hekalu lake yaani mwili

Hivi ni vitu vigumu kwenu kuvielewa waislamu
 
Hata kinjekitile ngwale na kina chief mkwawa walikuja kuwakomboa watu wao na kuhubiri amani na upendo
 
Wewe hujui na wala huwezi kuwafunza waislam kumjua na wala kumuita yesu au issa, alichokifanya kipozeo ni matakwa ya dini. Amekumbusha. Hizo nyingine unazoleta wewe ni porojo tu
Ivi Yesu kwa nn ua anawaumiza roho ni nini?
 
Sasa waliugunduaje msalaba kama hawatumii kitabu chochote

Ancient Kush au Ethiopia ilikuwepo kabla ya vitabu vyenu vya uongo uongo havijatungwa. Ndio maana unatakiwa ujifunze na ujiongeze mwenyewe sio unapelekwa tu kama ling'ombe. Kwani we unafikiri hicho kitabu chako kimewasaidia watu kugundua nini?
 
Sinagogi ni msikiti...sio kanisa...kinachofanyika SASA KWENU ni kufanyia maboresho mapungufu na kuyafanyia kazi..KAMA HIYO SINAGOGI....tangu lini KANISA LIKAITWA MSIKITI?..UKRISTO NI DINI ya WATU...SI DINI YA MUNGU..
Mkuu hamna dini ya Mungu. Dini zote zimeletwa na watu, tena watu flani wawili tu ndio wanatufanya tubishane. Mungu hana dini, ni Muddy kitonga, ndio aliyeleta uislam na Yesu nae akaleta ukristo.
 
we nawe ni kafiri tu...mbona Yesu umemtaja kwa staha! huyo muddy kitonga ndo mtu gani?
 
Isa = zeruzeru
Yesu = mkombozi
Au Kiebrania yehosua = Mungu mkombozi

Historia inatueleza Isa alizaliwa katika chini ya mti wa mtende lakini qurani haitaji nchi ila inasema alizaliwa mchana na mama yake ni Mariamu
Hii ni stori tofauti na inayotupa bible
Huu ndio uzao wa Issa Bin Mariam according to Quran Sura ya 19.

20. (Malaika) akasema: Hakika mimi ni Mjumbe wa Mola wako; ili nikupe mwana mtakatifu.

21. (Mariamu) akasema: Ninawezaje kupata mtoto hali hajanigusa mwanamume ye yote wala mimi si asherati?

22. (Malaika) akasema: Ni kama hivyo; Mola wako Amesema: Haya ni rahisi Kwangu, na ili Tumfanye Ishara kwa wanadamu na rehema itokayo Kwetu; na ni jambo limekwisha hukumiwa.

23. Basi akambeba mimba, na akaondoka naye mpaka mahali pa mbali.

24. Kisha uchungu ukampeleka penye shina la mtende, akasema: Laiti ningekufa kabla ya haya, na ningekuwa sahau iliyosahauliwa.

25. Mara ikamfikia sauti kutoka chini yake: Usihuzunike, hakika Mola wako Ameweka kijito chini yako;

26. Na ulitikise kwako shina la mtende, litakuangushia tende nzuri, zilizo mbivu.

27. Basi ule na unywe na uburudishe macho; na kama ukimwona mtu ye yote, useme: Hakika mimi nimeweka nadhiri
kwa Mungu wa rehema ya kufunga saumu, kwa hiyo leo sitasema na mtu.

Biblia nayo, kupitia Matayo 1: 1-7 hivi ndivyo inavyosema:

1 Siku zile, tangazo rasmi lilitolewa na Kaisari Augusto kuwataka watu wote nchini kote wahesabiwe.

2 Sensa hiyo ilikuwa mara ya kwanza, wakati Kurenio alipokuwa mkuu wa mkoa wa Siria.

3 Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake.

4 Yosefu pia alifanya safari kutoka mjini Nazareti mkoani Galilaya, na kwa vile alikuwa wa jamaa na ukoo wa Daudi, alikwenda mjini Bethlehemu mkoani Yudea, alikozaliwa mfalme Daudi.

5 Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito.

6 Walipokuwa huko, siku yake ya kujifungua ikawadia,

7 akajifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume, akamvika nguo za kitoto, akamlaza horini kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

Now, hivi jambo la kiroho hasa linapokuja suala la uzao wa Yesu ni sehemu gani alizaliwa au ni wapi na namna gani alizaliwa?! Kwa mfano, ni ipi hoja ya kiroho inayoonesha uwezo wa Mungu kati ya Yesu kuzaliwa kwa mama ambae hakupata kuingiliwa as per bible na Kuran kwa upande wa Issa; au hoja ya kuzaliwa kwenye zizi la kondoo kama inavyodai Bible au kuzaliwa chini ya mtende kama inavyodai Quran?!

Second, ingawaje Waislamu wanaamini kwamba Issa Bin Mariam alizaliwa chini ya mti wa mtende, hapo juu Quran imeishia tu kusema kwamba uchungu ukampeleka penye shina la mtende na wala haijatuambia kwamba alizalia hapo chini ya mtende!!!

Na hata ukiangalia Quran hapo juu kwenye BLUE, utaona bado Mariamu analalamikia uchungu kwa sababu, mtu ambae tayari ameshajifungua hana sababu ya kusema Laiti ningekufa kabla ya haya, na ningekuwa sahau iliyosahauliwa.. Hapo inaonesha wazi kwamba bado anaugulia uchungu hapo kwenye mtende!!!

Likewise, wakati Wakristo wanaamini Yesu alizaliwa kwenye zizi la kondoo, hapo juu Biblia inaishia tu kutuambia kwamba akajifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume, akamvika nguo za kitoto, akamlaza horini! Suala la hori limetajwa kwenye kumlaza mtoto lakini haijatuambia kwamba alimzaa horini unless kama kuna Aya zingine zinasema vinginevyo!

So, what if baada ya Mariam kushikwa uchungu hapo kwenye mtende, hapo hapo alijifungua lakini kwavile asingeweza kukaa na mtoto mchanga sehemu ya wazi, ndipo akaenda kumlaza horini?!

Or, what if baada ya uchungu kumzidi, akajivuta hadi sehemu ambayo si Kuran wala Biblia imepataja, kisha akajifungua hapo lakini kwavile asingeweza kukaa na mtoto mchanga sehemu hiyo, ndipo akaenda kumlaza horini?!

Ukweli mchungu ni kwamba, both Bible na Quran simulizi zao huwa zina-missing pieces!!
 
Kwa wanao mfuata Yesu Kristo majengo hayana maana bali mwili ambao ni hekalu la Mungu
Hiki ndicho Mungu hujivunia kwa binadamu ndio maana atakapokuja kuhukumu atahukumu roho ambayo ipo ndani ya hekalu lake yaani mwili

Hivi ni vitu vigumu kwenu kuvielewa waislamu
Kama unamfuata YESU mbona huingii kwenye sinagogi?na yeye skikuwa akiswali humo
 
Unaona sasa kwenye shina la mtende ni tofauti kabisa na Yesu wa bible yeye hakuzaliwa kwenye shina la mtende ndugu
 
Unajua waislamu watu wa ajabu sn......eti john wa mbagala ndo huyohuyo wa masaki. Hata ibrahim anayetajwa kwenye kuran ni tofauti kabisa na wa Wakristo......alafu waislamu wanasema mungu hafanani wala hana mfano wkt Biblia takatifu inatufundisha kuwa Tumeumbwa kwa mfano wake ktk kitabu cha mwanzo Bible ina sema Mungu akasema "Na tuumbe mtu kwa mfano wetu......."
Ukiwa muislamu ni km kujitoa ufahamu inabidi uwe tayari kuelewa na kuamini kuwa unaweza kuua mtu ili uende peponi ukipigania dini ya mnyazimungu
 
Nilimsikiliza sheikh kipozeo wakati akimzungumzia dimondi
Sina shida na alichosema kuhusu huyu mtoto wa Kiislamu bali kilichonifanya niandike haya ni maneno yake kwamba dimond kuvaa msalaba anakubali kuwa Isa alisulubiwa wakati wao Waislamu wanaamini Isa hakusulubiwa

Huenda alichosema ni sahihi kabisa lakini kuna vitu akawa havielewi

Isa = zeruzeru
Yesu = mkombozi
Au Kiebrania yehosua = Mungu mkombozi

Historia inatueleza Isa alizaliwa katika chini ya mti wa mtende lakini qurani haitaji nchi ila inasema alizaliwa mchana na mama yake ni Mariamu
Hii ni stori tofauti na inayotupa bible

Kiarabu Yesu inatamkwa Yasu na sio Isa kama Waislamu wanavyowaaminisha wenzao kuwa ni Isa

Historia ya bible inasema Yesu Kristo au Yasu kwa Kiarabu alizaliwa nchini Israeli,katika mji wa Bethlehemu na katika hori la ngo'mbe hiyo ni bible inasema hivyo

Ukiangalia kwa makini huyu Isa utagundua sio Yesu kabisa na hata kuzaliwa kwao ni tofauti na hata walichokuja kuhubiri ni tofauti

Isa alikuja kuhubiri dini mpya ya mwenyezi Mungu kwa mujibu wa historia
Wakati Yesu alikuja kuwakomboa watu na dhambi zao

So kuanzia leo Waislamu wajue Yesu sio Isa kama wanavyoaminishwa
Na wala Isa sio Yesu kama wanavyoaminishwa

Nawasilisha tu
db22e02e5263d2c889b2e2e4cec506fa.jpg
Maelezo mafupi lakini yanaeleweka na point zimejaa humo.........sasa naomba kufahamu chanzo cha hii stori ili nikiisoma na mimi tutasaidiana kuumaliza ubishi!
 
Jibu ni rahisi tu kuna Mungu na kuna allah, hawa ni vitu viwili tofauti.
Wacha upotoshaji wewe Allah ni neno la kiarabu kwa kiswahili ni Mungu, kingereza ni God.

Maneno aliyoyasema mwenzako si kwamba kuna vitu viwili, makosa ya watu wanaotafsiri shahad isemayo , "Ninashuhudia hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu..."

Wale wanatamka kwa kifupi mno kuwa, "hapana Mungu ila Allah" na si kwamba inamaanisha vitu viwili tofauti. Usichoelewa uliza si kupotosha, kama ni Mkristo safi upotoshaji ni dhambi kubwa. Sijui unafuata kitabu gani kinachokuruhusu upotoshaji
 
Back
Top Bottom