St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Mkuu kama una pua mbovu hio kweli hutoweza kunusa harufu ya kwapa yako. Hivi ushawahi kunya na harufu huisikii? [emoji15] Nimemtaka ataje huo ubaguzi wa waislam. Sitaki ubaguzi wa tamaduni za watu nataka ubaguzi wa waislam alio uona na wewe unaweza kuueleza pia.Hivi unajua ukinuka kikwapa mara nyingi hujisikii bali uliokaa nao ndio hujua jamaa anatema. Kama kisasi ni suna, basi ubaguzi lazma uwepo.