Mkuu tunaelimishana kama kunaunachofahamu unawafungua wengine tumia lugha yenye staha sio mambumbu, mnapelekwa kama ng'ombe haipendeziWewe na huyo Kipozeo wote mambumbu hamjui kitu, mmedandia treni la waarabu tu mnapelekwa kama ng'ombe. Ule msalaba aliovaa Diamond sio wa Yesu, ile inaitwa Ethiopian cross na Rastafari wengi wanavaa ile kitu. Naweza kusema aina ya muziki na collable na Morgan Heritage ndio maana Diamond akavaa kwenye video. Mwambie Kipozeo atafute kazi ya kufanya maana hajui kitu.
Usitumie lugha kali huwezi muelimisha tumia lugha ya kubadilishana mawazo kwa kile unachokifahamu utaelimisha wengine pamoja na huyo mlengwaPumbavu kabisa, yani wagalatia sijui mpoje, ila chakukusaidia, kaa pembeni soma uislam, na uusome ukristu, it may help you, kuliko kujifanya mjuaji
Kafiri mkubwa
Sawa lakini mbona hata kuzaliwa kwao ni tofautiTatizo hili suala la Yesu huwa ni utata kati wakristo na waislamu japo wote wanamkusudia huyohuyo mmoja ila wanatofautiana maelezo.
Na hii kwa sababu imani moja hapo imejimilikisha huyo Yesu na kuonekana kuwa wao ndiyo wenye haki na Yesu na hivyo wao ndiyo wenye maelezo sahihi juu ya Yesu,lakini kiuhalisia anayekusudiwa ni mmoja tu huyo huyo ila tatizo ila tatizo ni maelezo ya watu juu ya huyo mlengwa na ndiyo maana kuna wengine husema Yesu alikuwa Mungu,wengine alikuwa mtu tu wa kawaida na wengine husema alikuwa mtoto wa mungu.
Sasa waliugunduaje msalaba kama hawatumii kitabu chochoteHawatumii kitabu chochote.
Kwa wanao mfuata Yesu Kristo majengo hayana maana bali mwili ambao ni hekalu la MunguSinagogi ni msikiti...sio kanisa...kinachofanyika SASA KWENU ni kufanyia maboresho mapungufu na kuyafanyia kazi..KAMA HIYO SINAGOGI....tangu lini KANISA LIKAITWA MSIKITI?..UKRISTO NI DINI ya WATU...SI DINI YA MUNGU..
Ivi Yesu kwa nn ua anawaumiza roho ni nini?Wewe hujui na wala huwezi kuwafunza waislam kumjua na wala kumuita yesu au issa, alichokifanya kipozeo ni matakwa ya dini. Amekumbusha. Hizo nyingine unazoleta wewe ni porojo tu
Sasa waliugunduaje msalaba kama hawatumii kitabu chochote
Mkuu hamna dini ya Mungu. Dini zote zimeletwa na watu, tena watu flani wawili tu ndio wanatufanya tubishane. Mungu hana dini, ni Muddy kitonga, ndio aliyeleta uislam na Yesu nae akaleta ukristo.Sinagogi ni msikiti...sio kanisa...kinachofanyika SASA KWENU ni kufanyia maboresho mapungufu na kuyafanyia kazi..KAMA HIYO SINAGOGI....tangu lini KANISA LIKAITWA MSIKITI?..UKRISTO NI DINI ya WATU...SI DINI YA MUNGU..
we nawe ni kafiri tu...mbona Yesu umemtaja kwa staha! huyo muddy kitonga ndo mtu gani?Mkuu hamna dini ya Mungu. Dini zote zimeletwa na watu, tena watu flani wawili tu ndio wanatufanya tubishane. Mungu hana dini, ni Muddy kitonga, ndio aliyeleta uislam na Yesu nae akaleta ukristo.
Huu ndio uzao wa Issa Bin Mariam according to Quran Sura ya 19.Isa = zeruzeru
Yesu = mkombozi
Au Kiebrania yehosua = Mungu mkombozi
Historia inatueleza Isa alizaliwa katika chini ya mti wa mtende lakini qurani haitaji nchi ila inasema alizaliwa mchana na mama yake ni Mariamu
Hii ni stori tofauti na inayotupa bible
Kama unamfuata YESU mbona huingii kwenye sinagogi?na yeye skikuwa akiswali humoKwa wanao mfuata Yesu Kristo majengo hayana maana bali mwili ambao ni hekalu la Mungu
Hiki ndicho Mungu hujivunia kwa binadamu ndio maana atakapokuja kuhukumu atahukumu roho ambayo ipo ndani ya hekalu lake yaani mwili
Hivi ni vitu vigumu kwenu kuvielewa waislamu
Unaona sasa kwenye shina la mtende ni tofauti kabisa na Yesu wa bible yeye hakuzaliwa kwenye shina la mtende nduguHuu ndio uzao wa Issa Bin Mariam according to Quran Sura ya 19.
20. (Malaika) akasema: Hakika mimi ni Mjumbe wa Mola wako; ili nikupe mwana mtakatifu.
21. (Mariamu) akasema: Ninawezaje kupata mtoto hali hajanigusa mwanamume ye yote wala mimi si asherati?
22. (Malaika) akasema: Ni kama hivyo; Mola wako Amesema: Haya ni rahisi Kwangu, na ili Tumfanye Ishara kwa wanadamu na rehema itokayo Kwetu; na ni jambo limekwisha hukumiwa.
23. Basi akambeba mimba, na akaondoka naye mpaka mahali pa mbali.
24. Kisha uchungu ukampeleka penye shina la mtende, akasema: Laiti ningekufa kabla ya haya, na ningekuwa sahau iliyosahauliwa.
25. Mara ikamfikia sauti kutoka chini yake: Usihuzunike, hakika Mola wako Ameweka kijito chini yako;
26. Na ulitikise kwako shina la mtende, litakuangushia tende nzuri, zilizo mbivu.
27. Basi ule na unywe na uburudishe macho; na kama ukimwona mtu ye yote, useme: Hakika mimi nimeweka nadhiri
kwa Mungu wa rehema ya kufunga saumu, kwa hiyo leo sitasema na mtu.
Biblia nayo, kupitia Matayo 1: 1-7 hivi ndivyo inavyosema:
1 Siku zile, tangazo rasmi lilitolewa na Kaisari Augusto kuwataka watu wote nchini kote wahesabiwe.
2 Sensa hiyo ilikuwa mara ya kwanza, wakati Kurenio alipokuwa mkuu wa mkoa wa Siria.
3 Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake.
4 Yosefu pia alifanya safari kutoka mjini Nazareti mkoani Galilaya, na kwa vile alikuwa wa jamaa na ukoo wa Daudi, alikwenda mjini Bethlehemu mkoani Yudea, alikozaliwa mfalme Daudi.
5 Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito.
6 Walipokuwa huko, siku yake ya kujifungua ikawadia,
7 akajifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume, akamvika nguo za kitoto, akamlaza horini kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.
Now, hivi jambo la kiroho hasa linapokuja suala la uzao wa Yesu ni sehemu gani alizaliwa au ni wapi na namna gani alizaliwa?! Kwa mfano, ni ipi hoja ya kiroho inayoonesha uwezo wa Mungu kati ya Yesu kuzaliwa kwa mama ambae hakupata kuingiliwa as per bible na Kuran kwa upande wa Issa; au hoja ya kuzaliwa kwenye zizi la kondoo kama inavyodai Bible au kuzaliwa chini ya mtende kama inavyodai Quran?!
Second, ingawaje Waislamu wanaamini kwamba Issa Bin Mariam alizaliwa chini ya mti wa mtende, hapo juu Quran imeishia tu kusema kwamba uchungu ukampeleka penye shina la mtende na wala haijatuambia kwamba alizalia hapo chini ya mtende!!!
Na hata ukiangalia Quran hapo juu kwenye BLUE, utaona bado Mariamu analalamikia uchungu kwa sababu, mtu ambae tayari ameshajifungua hana sababu ya kusema Laiti ningekufa kabla ya haya, na ningekuwa sahau iliyosahauliwa.. Hapo inaonesha wazi kwamba bado anaugulia uchungu hapo kwenye mtende!!!
Likewise, wakati Wakristo wanaamini Yesu alizaliwa kwenye zizi la kondoo, hapo juu Biblia inaishia tu kutuambia kwamba akajifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume, akamvika nguo za kitoto, akamlaza horini! Suala la hori limetajwa kwenye kumlaza mtoto lakini haijatuambia kwamba alimzaa horini unless kama kuna Aya zingine zinasema vinginevyo!
So, what if baada ya Mariam kushikwa uchungu hapo kwenye mtende, hapo hapo alijifungua lakini kwavile asingeweza kukaa na mtoto mchanga sehemu ya wazi, ndipo akaenda kumlaza horini?!
Or, what if baada ya uchungu kumzidi, akajivuta hadi sehemu ambayo si Kuran wala Biblia imepataja, kisha akajifungua hapo lakini kwavile asingeweza kukaa na mtoto mchanga sehemu hiyo, ndipo akaenda kumlaza horini?!
Ukweli mchungu ni kwamba, both Bible na Quran simulizi zao huwa zina-missing pieces!!
Umeelewa maswali niliyohoji?!Unaona sasa kwenye shina la mtende ni tofauti kabisa na Yesu wa bible yeye hakuzaliwa kwenye shina la mtende ndugu
Kiimani Yesu hakai kwenye sinagogi bali hekaluni mwa binadamu yaani moyoniKama unamfuata YESU mbona huingii kwenye sinagogi?na yeye skikuwa akiswali humo
Kwann mnakwepa YESU kuswali MSIKITINI?Kiimani Yesu hakai kwenye sinagogi bali hekaluni mwa binadamu yaani moyoni
Maelezo mafupi lakini yanaeleweka na point zimejaa humo.........sasa naomba kufahamu chanzo cha hii stori ili nikiisoma na mimi tutasaidiana kuumaliza ubishi!Nilimsikiliza sheikh kipozeo wakati akimzungumzia dimondi
Sina shida na alichosema kuhusu huyu mtoto wa Kiislamu bali kilichonifanya niandike haya ni maneno yake kwamba dimond kuvaa msalaba anakubali kuwa Isa alisulubiwa wakati wao Waislamu wanaamini Isa hakusulubiwa
Huenda alichosema ni sahihi kabisa lakini kuna vitu akawa havielewi
Isa = zeruzeru
Yesu = mkombozi
Au Kiebrania yehosua = Mungu mkombozi
Historia inatueleza Isa alizaliwa katika chini ya mti wa mtende lakini qurani haitaji nchi ila inasema alizaliwa mchana na mama yake ni Mariamu
Hii ni stori tofauti na inayotupa bible
Kiarabu Yesu inatamkwa Yasu na sio Isa kama Waislamu wanavyowaaminisha wenzao kuwa ni Isa
Historia ya bible inasema Yesu Kristo au Yasu kwa Kiarabu alizaliwa nchini Israeli,katika mji wa Bethlehemu na katika hori la ngo'mbe hiyo ni bible inasema hivyo
Ukiangalia kwa makini huyu Isa utagundua sio Yesu kabisa na hata kuzaliwa kwao ni tofauti na hata walichokuja kuhubiri ni tofauti
Isa alikuja kuhubiri dini mpya ya mwenyezi Mungu kwa mujibu wa historia
Wakati Yesu alikuja kuwakomboa watu na dhambi zao
So kuanzia leo Waislamu wajue Yesu sio Isa kama wanavyoaminishwa
Na wala Isa sio Yesu kama wanavyoaminishwa
Nawasilisha tu
Wacha upotoshaji wewe Allah ni neno la kiarabu kwa kiswahili ni Mungu, kingereza ni God.Jibu ni rahisi tu kuna Mungu na kuna allah, hawa ni vitu viwili tofauti.