Kwanza huu ni ufreemasonsHii alama ni ya Pharao siyo ya Kikristo View attachment 619840
•The ankh is a cross with a looped top which, besides the concept of life, also symbolized eternal life, the morning sun, the male and female principles, the heavens and the earth.
Wewe unaelewa mkuu naposema mkusudiwa ni mmoja ila maelezo ni tofauti? mbona hapa halitajwi jina la Paulo ila ni Yesu na Issa tu?Yesu Kristo hakuzaliwa chini ya shina la mtende ndugu na qurani haitaji nchi wala eneo husika na alizaliwa usiku wa manane kwa mujibu wa bible
Sasa huyo Isa wenu kazaliwa mchana nchi haitajwi wala mji
Sijakuelewa vizuri.Mungu hana mfano katika matendo yake tu na namna anavyotenda kazi zake haina maana nyingine
Unaweza kutoa ushahidi kuwa waliwahi kuwepo hao watu wawili kwa maana wakati wa Yesu pia alikuwepo na Issa katika zama moja?Tafuteni kitabu kilichoandikwa na Dr Malise Kaisi kiitwacho " je issa ndio yesu"? Hakika ni watu wawili na tofauti na walikuwa na mafundisho tofauti. Wakati biblia inasema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa quorani inasema wanaume watakabidhiwa mabinti bikra kuwaoa. Hao watu hawawezi kuwa sawa.
Amezaliwa Yesu Kristo nchini Israeli,katika mji wa betlehem,mkoa wa Yudea wakati huo wakati Herode alipokuwa mfalme Mathayo 2/1Bahati mbaya ni kwamba bibilia haisemi alizaliwa wapi ina inasema alikolazwa! Ukiwa uko darasa la Tatu unaweza kudhani ni tofauti la Kwanza, inaweza kuwa Kweli au isiwe Kweli, ufahamu tu ndiyo tofauti na Bahati mbaya ni kwamba ujuzi wa darasa la tatu ni tofauti na la Kwanza!
Ni tofauti kwa kuwa Yesu sio IsaNdugu yangu, hicho ulichokiandika si sahihi hata kidogo, yesu na Issa ni kitu Kimoja, nakusihi jaribu kuisoma qur-aan pia, na isome vizuri pia bible yake, then ukishafanya hivyo utapata majibu ya maswali yanayokusumbua kwani unaonekana unastruggle kuutafuta ukweli wa njia sahihi lkn hujui the true source of info to rely upon, M.mungu akufanyie wepesi ktk kuijua Haki na batili.
Tatizo lipo kwenye kuzaliwa nduguWewe unaelewa mkuu naposema mkusudiwa ni mmoja ila maelezo ni tofauti? mbona hapa halitajwi jina la Paulo ila ni Yesu na Issa tu?
Ni sawa na watu kumzungumzia Rais wa Tz ila wakamueleza kwa baadhi ya mambo yenye kutofautiana kuhusu Rais wa Tz,kwahiyo yawezekana maelezo ya mmoja yakawa sio sahihi kumuhusu Rais wa Tz ila na mwengine yakawa sahihi ila wote wanamkusudia huyohuyo Rais wa Tz.
Hakuna ushahidi pia kwamba wakati Yesu anazaliwa na Isa nae alikuwepoUnaweza kutoa ushahidi kuwa waliwahi kuwepo hao watu wawili kwa maana wakati wa Yesu pia alikuwepo na Issa katika zama moja?
Sasa kwanini unasema Yesu na Issa ni watu wawili na wakati unajua kuwa hakuna ushahidi huo kwa aliwahi kuwepo Issa na Yesu kwa pamoja?Hakuna ushahidi pia kwamba wakati Yesu anazaliwa na Isa nae alikuwepo
Wewe unaamini jinsi vile biblia ilivyoeleza kuhusu Yesu na wengine huamini vitabu vyao vile vilivyoeleza kumuhusu Yesu.Tatizo lipo kwenye kuzaliwa ndugu
Hapo ndio pana utata
Dini mpya gani ambayo Isa aliitangaza?Ni tofauti kwa kuwa Yesu sio Isa
Mmoja alizaliwa mchana nchi haijulikani na katika shina la mtende kwa mujibu wa quran
Mwingine alizaliwa kwenye nyumba ya mifugo usiku wa manane nchi israel, mji Bethlehemu
Isa = zeruzeru kuja kutangaza dini mpya ya mwenyezi Mungu
Maana ya Yesu= mkombozi wa dhambi za watu
Jina la kidude alichovaa domo nimekuwekea hapo mtembelee profesa googleKwa hiyo tuseme Farao alikuwa anatumia hizi
We kakwambia nani