Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

Bahati mbaya ni kwamba bibilia haisemi alizaliwa wapi ina inasema alikolazwa! Ukiwa uko darasa la Tatu unaweza kudhani ni tofauti la Kwanza, inaweza kuwa Kweli au isiwe Kweli, ufahamu tu ndiyo tofauti na Bahati mbaya ni kwamba ujuzi wa darasa la tatu ni tofauti na la Kwanza!
 
Hii alama ni ya Pharao siyo ya Kikristo View attachment 619840
•The ankh is a cross with a looped top which, besides the concept of life, also symbolized eternal life, the morning sun, the male and female principles, the heavens and the earth.
Kwanza huu ni ufreemasons
Unamwakilisha shetani kwa kuwa shetani alihisi atammaliza Yesu kwa kumtundika msalabani kumbe hakujua Yesu anautumia msalaba kufikia lililonenwa na nabii atapata mateso mengi na kuuawa na siku ya tatu atafufuka
 
Ndugu yangu, hicho ulichokiandika si sahihi hata kidogo, yesu na Issa ni kitu Kimoja, nakusihi jaribu kuisoma qur-aan pia, na isome vizuri pia bible yake, then ukishafanya hivyo utapata majibu ya maswali yanayokusumbua kwani unaonekana unastruggle kuutafuta ukweli wa njia sahihi lkn hujui the true source of info to rely upon, M.mungu akufanyie wepesi ktk kuijua Haki na batili.
 
Tafuteni kitabu kilichoandikwa na Dr Malise Kaisi kiitwacho " je issa ndio yesu"? Hakika ni watu wawili na tofauti na walikuwa na mafundisho tofauti. Wakati biblia inasema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa quorani inasema wanaume watakabidhiwa mabinti bikra kuwaoa. Hao watu hawawezi kuwa sawa.
 
Yesu Kristo hakuzaliwa chini ya shina la mtende ndugu na qurani haitaji nchi wala eneo husika na alizaliwa usiku wa manane kwa mujibu wa bible
Sasa huyo Isa wenu kazaliwa mchana nchi haitajwi wala mji
Wewe unaelewa mkuu naposema mkusudiwa ni mmoja ila maelezo ni tofauti? mbona hapa halitajwi jina la Paulo ila ni Yesu na Issa tu?

Ni sawa na watu kumzungumzia Rais wa Tz ila wakamueleza kwa baadhi ya mambo yenye kutofautiana kuhusu Rais wa Tz,kwahiyo yawezekana maelezo ya mmoja yakawa sio sahihi kumuhusu Rais wa Tz ila na mwengine yakawa sahihi ila wote wanamkusudia huyohuyo Rais wa Tz.
 
Tafuteni kitabu kilichoandikwa na Dr Malise Kaisi kiitwacho " je issa ndio yesu"? Hakika ni watu wawili na tofauti na walikuwa na mafundisho tofauti. Wakati biblia inasema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa quorani inasema wanaume watakabidhiwa mabinti bikra kuwaoa. Hao watu hawawezi kuwa sawa.
Unaweza kutoa ushahidi kuwa waliwahi kuwepo hao watu wawili kwa maana wakati wa Yesu pia alikuwepo na Issa katika zama moja?
 
Bahati mbaya ni kwamba bibilia haisemi alizaliwa wapi ina inasema alikolazwa! Ukiwa uko darasa la Tatu unaweza kudhani ni tofauti la Kwanza, inaweza kuwa Kweli au isiwe Kweli, ufahamu tu ndiyo tofauti na Bahati mbaya ni kwamba ujuzi wa darasa la tatu ni tofauti na la Kwanza!
Amezaliwa Yesu Kristo nchini Israeli,katika mji wa betlehem,mkoa wa Yudea wakati huo wakati Herode alipokuwa mfalme Mathayo 2/1
Qurani ndio haisemi alizaliwa wapi na nchi gani zaidi ya kuishia kwenye mtende tena mchana

Sasa Yesu Kristo alizaliwa usiku wa manane Luka 2/8
 
Ndugu yangu, hicho ulichokiandika si sahihi hata kidogo, yesu na Issa ni kitu Kimoja, nakusihi jaribu kuisoma qur-aan pia, na isome vizuri pia bible yake, then ukishafanya hivyo utapata majibu ya maswali yanayokusumbua kwani unaonekana unastruggle kuutafuta ukweli wa njia sahihi lkn hujui the true source of info to rely upon, M.mungu akufanyie wepesi ktk kuijua Haki na batili.
Ni tofauti kwa kuwa Yesu sio Isa
Mmoja alizaliwa mchana nchi haijulikani na katika shina la mtende kwa mujibu wa quran

Mwingine alizaliwa kwenye nyumba ya mifugo usiku wa manane nchi israel, mji Bethlehemu

Isa = zeruzeru kuja kutangaza dini mpya ya mwenyezi Mungu
Maana ya Yesu= mkombozi wa dhambi za watu
 
Wewe unaelewa mkuu naposema mkusudiwa ni mmoja ila maelezo ni tofauti? mbona hapa halitajwi jina la Paulo ila ni Yesu na Issa tu?

Ni sawa na watu kumzungumzia Rais wa Tz ila wakamueleza kwa baadhi ya mambo yenye kutofautiana kuhusu Rais wa Tz,kwahiyo yawezekana maelezo ya mmoja yakawa sio sahihi kumuhusu Rais wa Tz ila na mwengine yakawa sahihi ila wote wanamkusudia huyohuyo Rais wa Tz.
Tatizo lipo kwenye kuzaliwa ndugu
Hapo ndio pana utata
 
Unaweza kutoa ushahidi kuwa waliwahi kuwepo hao watu wawili kwa maana wakati wa Yesu pia alikuwepo na Issa katika zama moja?
Hakuna ushahidi pia kwamba wakati Yesu anazaliwa na Isa nae alikuwepo
 
Hakuna ushahidi pia kwamba wakati Yesu anazaliwa na Isa nae alikuwepo
Sasa kwanini unasema Yesu na Issa ni watu wawili na wakati unajua kuwa hakuna ushahidi huo kwa aliwahi kuwepo Issa na Yesu kwa pamoja?

Na ndiyo maana nakwambia kuwa mkusudiwa ni mmoja ila kuna maelezo yenye kutofautiana kumuhusu huyohuyo mtu mmoja.
 
Tatizo lipo kwenye kuzaliwa ndugu
Hapo ndio pana utata
Wewe unaamini jinsi vile biblia ilivyoeleza kuhusu Yesu na wengine huamini vitabu vyao vile vilivyoeleza kumuhusu Yesu.

Hivyo yawezekana biblia ikawa sahihi vile inavyoeleza kumuhusu Yesu au pengine hivyo vitabu vyengine ndiyo vikawa vina taarifa sahihi kumuhusu Yesu.
 
Ni tofauti kwa kuwa Yesu sio Isa
Mmoja alizaliwa mchana nchi haijulikani na katika shina la mtende kwa mujibu wa quran

Mwingine alizaliwa kwenye nyumba ya mifugo usiku wa manane nchi israel, mji Bethlehemu

Isa = zeruzeru kuja kutangaza dini mpya ya mwenyezi Mungu
Maana ya Yesu= mkombozi wa dhambi za watu
Dini mpya gani ambayo Isa aliitangaza?
 
Mkuu huujui uislam km unavyohisi unaujua..haya mambo ya dini yanahitaji busara na elimu kubwa..

USHAURI: do urself a favour,achana na hizi habari maana ni lazima utawakera watu wa upande mmoja.
 
Kipozeo na Diamond wote ni waislam wenye itikadi moja, imani moja, Mungu mmoja na utamaduni mmoja katika imani hivyo basi kama mmoja ameghafirika/amejisahau mwingine anawajibu wa kumkumbusha utaratibu tuliowekewa na Mungu wetu

Diamond ni muumini wa kiislam, kama binadamu yeyote anayo mapungufu pamoja na umaarufu wake hayondoi sifa ya ubinadamu wake pia Kipozeo kama kiongozi wa dini ya kiislam ni wajibu wake kumkunbusha Diamond kama muislam kufuata utaratibu wa nini Mungu ametuamlisha tufanye , na nini ametukataza tufanye ndio maisha yetu waislam

Sisi waislam tuna Mungu wetu tofauti na Mungu wenu ninyi msiokuwa waislam hivyo kila mmoja ashughulike na Mungu wake ili kutunza muelekeo wa kiimani wa kila mmoja pasipokuingiliana
 
Back
Top Bottom