Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

na huu ndio ukweli ila kuna watu wanataka kuaminisha watu kwamba ni mmoja.
Inategemea mkuu hata wengine huona Kusema Mungu baba,Mungu mwana na Roho mtakatifu ni Miungu mitatu ila wengine huaminisha watu kuwa ni Mungu mmoja.
 
Elimu haina mwisho hebu tusaudie Yesu jina lake hasa ni nani aliloitwa na mama yake manake Yesu tumempa sisi Jésus wamempa warumi issa waarabu
 
Sawa lakini mbona hata kuzaliwa kwao ni tofauti
Hapa ndipo utakapogundua ni watu wawili tofauti na sio mtu mmoja anaongelewa
Nachosema mie ni kwamba mkusudiwa ni mmoja tu,wewe unasema ni watu wawili tofauti kwa sababu waislamu wanamaelezo yenye kumuhusu Yesu ambayo ni tofauti na uyajuayo wewe lakini mkusudiwa ndiyo huyo huyo na ndiyo maana hata kuna ubishi wa Yesu si Issa na si kwamba Issa sio Paul.
 
Mkuu hamna dini ya Mungu. Dini zote zimeletwa na watu, tena watu flani wawili tu ndio wanatufanya tubishane. Mungu hana dini, ni Muddy kitonga, ndio aliyeleta uislam na Yesu nae akaleta ukristo.
Wewe maelezo haya ya kuwa Mungu hana dini umeyapata kwa Mungumwenyewe au nawe pia umeyapata kwa mtu?
 
Unajua waislamu watu wa ajabu sn......eti john wa mbagala ndo huyohuyo wa masaki. Hata ibrahim anayetajwa kwenye kuran ni tofauti kabisa na wa Wakristo......alafu waislamu wanasema mungu hafanani wala hana mfano wkt Biblia takatifu inatufundisha kuwa Tumeumbwa kwa mfano wake ktk kitabu cha mwanzo Bible ina sema Mungu akasema "Na tuumbe mtu kwa mfano wetu......."
Ukiwa muislamu ni km kujitoa ufahamu inabidi uwe tayari kuelewa na kuamini kuwa unaweza kuua mtu ili uende peponi ukipigania dini ya mnyazimungu
Mkuu usilaumu waislamu wakati sifa za Mungu hata kwenye Biblia zipo na ndipo utakuta kuwa inasema Mungu hana mfano,sasa kama Biblia hiyohiyo inasema Mungu hana mfano halafu pia inasema tulivyo binaadamu ni mfano wa Mungu basi tatizo ni Biblia yenyewe na si waislamu.

Tatizo kama hili pia lipo kwa upande wa Yesu alikuwa Mungu au ni binaadamu tu,maana pia nako huko sifa za Mungu zilikosekana kwa Yesu lakini bado wengine wanasema alikuwa Mungu.
 
Diamond alivaa alama ya kujumlisha. Nina uhakika kabisa.
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_imagesGX17Y2XG.jpg

•The ankh is a cross with a looped top which, besides the concept of life, also symbolized eternal life, the morning sun, the male and female principles, the heavens and the earth.
This is an ancient Egyptian symbol or paganism symbol.
 
Usipende kuingilia Imani za watu waache waislamu na Imani yao na ww baki na Imani yako.... Kwani ww Ni msemaji Wao?
 
Hii alama ni ya Pharao siyo ya Kikristo
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_imagesGX17Y2XG.jpg

•The ankh is a cross with a looped top which, besides the concept of life, also symbolized eternal life, the morning sun, the male and female principles, the heavens and the earth.
 
Maelezo mafupi lakini yanaeleweka na point zimejaa humo.........sasa naomba kufahamu chanzo cha hii stori ili nikiisoma na mimi tutasaidiana kuumaliza ubishi!
Chanzo cha hii stori ni wakati kipozeo anaongea kuhusu mwislamu mwenzake nasibu abduli au dimond
Na chanzo ni wimbo wake wa halelujah
 
Wacha upotoshaji wewe Allah ni neno la kiarabu kwa kiswahili ni Mungu, kingereza ni God.

Maneno aliyoyasema mwenzako si kwamba kuna vitu viwili, makosa ya watu wanaotafsiri shahad isemayo , "Ninashuhudia hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu..."

Wale wanatamka kwa kifupi mno kuwa, "hapana Mungu ila Allah" na si kwamba inamaanisha vitu viwili tofauti. Usichoelewa uliza si kupotosha, kama ni Mkristo safi upotoshaji ni dhambi kubwa. Sijui unafuata kitabu gani kinachokuruhusu upotoshaji
Sawa ni kweli Allah lina maana ya Mungu ila ni Mungu yupi sasa maana Allah huyu inaonekana hakuumba hata mbingu na ardhi na vyote vilivyomo
 
Nachosema mie ni kwamba mkusudiwa ni mmoja tu,wewe unasema ni watu wawili tofauti kwa sababu waislamu wanamaelezo yenye kumuhusu Yesu ambayo ni tofauti na uyajuayo wewe lakini mkusudiwa ndiyo huyo huyo na ndiyo maana hata kuna ubishi wa Yesu si Issa na si kwamba Issa sio Paul.
Yesu Kristo hakuzaliwa chini ya shina la mtende ndugu na qurani haitaji nchi wala eneo husika na alizaliwa usiku wa manane kwa mujibu wa bible
Sasa huyo Isa wenu kazaliwa mchana nchi haitajwi wala mji
 
Mkuu usilaumu waislamu wakati sifa za Mungu hata kwenye Biblia zipo na ndipo utakuta kuwa inasema Mungu hana mfano,sasa kama Biblia hiyohiyo inasema Mungu hana mfano halafu pia inasema tulivyo binaadamu wa Mungu basi tatizo ni Biblia yenyewe na si waislamu.

Tatizo kama hili pia lipo kwa upande wa Yesu alikuwa Mungu au ni binaadamu tu,maana pia nako huko sifa za Mungu zilikosekana kwa Yesu lakini bado wengine wanasema alikuwa Mungu.
Mungu hana mfano katika matendo yake tu na namna anavyotenda kazi zake haina maana nyingine
 
Hii alama ni ya Pharao siyo ya Kikristo View attachment 619840
•The ankh is a cross with a looped top which, besides the concept of life, also symbolized eternal life, the morning sun, the male and female principles, the heavens and the earth.
Kwa hiyo tuseme Farao alikuwa anatumia hizi
We kakwambia nani
 
Back
Top Bottom