Ukweli wa fedha za haraka: Tunadanganywa au ni kawaida ya kila mtanzania kununuliwa ndoto?

Dah kwahiyo mkuu najifunza wapi cryptocurrency
 
Dah kwahiyo mkuu najifunza wapi cryptocurrency
Elon Musk aliwahi sema "Except for Law and Medicine,you can learn any skills,in you tube for free,university is for Choire"
Haiwezekani mtu anayetumua smartphone ashindwa kujifunza kifu YouTube,google na Sasa Kuna chart GPT,............wengi ni wale wanataka wajifunze leo ,wiki ijayl waanze kupata faida.
Kama upo serious kujufunza niandikie scanned hand written one copy each of the following;-
1.What is trading?
2.whay is the difference between trading and investing?
3.who is Satoshi nakamoto?
4.what are the cryootcurrencies?
5.what is the proof of work?
6.wht is the proof of stake?
7.what is the DEFI?
8.What is DAPP?
9.What is he difference between gambling and trading?
10.whag is leverage trading?
Tuanzs na hizo kwanza,each task 3 or more reference
NOTE:Masikini wengi ni wapumbavu,wanasema hujawapa fursa,ukiwapa taski ya kuzitafuta hizo fursa wanakukimbja na kulakamika kua hujawasaidia
 
Achana na matapeli, Crypto is the FUTURE, Crypto ni maisha na maisha ni Crypto, inashangaza kuona wahuni wakiivamia hii secta na kuichakachua kwa kuwapotosha wengine kwa maslahi yao ya kuwaibia.

Kiufupi katika industry ya cryptocurrency kuna risks nyingi na faida nyingi vile vile inategemea na wewe upo katika factory ipi, kuna daily trading through memecoins/shitcoins, au stable coins selling, pia kuna fursa ya kufanya daily trading ya crypto exchanging, alafu kuna iyo future trading ambayo ndiyo wengi huiongelea ya kuhold coin fulani kwa malengo na matarajio ya kupata faida baada ya coin husika kupanda thaman kwa 2x, 3x, 5x, 10x.

Pia kuna hii fursa katika crypto inayohusika na mining ya coin/token(Airdrops) kwa muda fulani ambapo mnaichimba token/coin kwa matarajio ya kupata faida kulingana na kiwango/idadi ya coins ulizo-min na token/coin hizo kuja kuingizwa katika masoko ya crypto trading kama vile binance, OKX, Bybit nakadharika.

Vile vile kuna fursa ya kuuza Coin through P2P kwa malengo ya kutengeneza faida kupitia mauzo ya USDT kwenda katika sarafu halisia kama vile Tsh, Ksh nakadharika.

Haya acha kudanganywa na hao makanjanja, fursa iko wazi ukiwa interest PM yangu iko wazi jikadilie pesa ya somo upewe darasa.
 
Amna shida ngoja tuje PM
 
Kuna jamaa alikuwa anakodisha miziki kwenye shuguli zozote iwe sherehe zozote iwe harusi au misiba, akaanza kuporomosha mijengo ya maana watu wakasema kumbe hii ni deal nzuri.

Now yupo ndani kakutwa na madawa ya kulevya.

Kama ameamua kukugomea kukufundisha huenda ana maana yake nyingine, usimlazimishe.
 
Na Mimi nataka kucheza huu
Mchezo jamaani nipeni maarifa maana ni 0 sina nachojua kabisaa kuhusu hela za mtandaoni
Crypto haichezwi kiongozi, sijui kwanini watu hawaelewi na serikali zetu hazitii uzito katika hili jambo la kuelimisha watu ili kuondoa huu utata wa watu kuitafsiri Cryptocurrency kana vile kamari na hiyo michezo ya kubahatisha.

Crytpo kiufupi ni biashara ya fedha/sarafu za kidigital zenye thamani halisi, ambapo unaweza kuzitumia kufanya miamala ya bidhaa na huduma mbalimbali za malipo ya mtandaoni na manunuzi mitandaoni au kuzi invest kwa muda fulani kwa matarajio ya kupanda kwake thamani ili uje kuziuza baada ya kupanda kwake thamani.

Pia unaweza kuzitumia kwa kujipatia faida kwa kuzibadili sarafu hizo kwenda sarafu zingine kwa target ya kupata faida ya kati ktk masoko tofauti, mfano, Pesa ya Tanzania kuinunua ktk soko A, kwa thamani ya kiasi fulan mfano elfu5(5000) na kuiuza ktk soko B kwa faida ya 5700Tsh, yaan unatengeneza faida baada ya mauzonya sarafu ya aina moja ktk masoko tofauti.

Karibu PM
 
Duh aise some people Wana maeneo wamewekeza yao nje ya public business zao
 
Jamaa hii thread yako imekaa kimchongo sana, kuna harufu naisikia hapa
 
Ndio maana huyo mwamba amekataa kumwambia chochote kwasababu anajua madhara ya kufundisha watu namna za kujipatia pesa bila kuzalisha mali au bidhaa au kutoa huduma.

Vijana wa sasa wanatafuta mafanikio ambayo hupatikana kwa njia ya kufanya kazi kwa bidii na kupatikana baada ya muda fulani.

Sasa mtu anataka aende tu sehemu wamgawie pesa awe tajiri na yeye aanze kupost Instagram kuwa ana maisha mazuri ya kifahari ila story ya kuvipata hivyo vitu hana.

Vijana pigeni kazi,taifa linawategemea,tutaishia kuwa taifa la mwisho kimaendeleo kwa kuendekeza njia za mkato za kujipatia pesa.
 
Jamaa hii thread yako imekaa kimchongo sana, kuna harufu naisikia hapa
Palipo na wengi kuna fursa pia kuna makanjanja, ukichukulia kila jambo ktk negativity way na kweli utapigwa na hao makanjanja.
Mifano iko mingi humu, tusichoke kujifunza mambo mapya
 
Kuna wajinga wajinga wenye tamaa utawanasa.
 
Duuuh me nna rafiki zangu wao ni risk takers wanaviziaga mpya tu zinazoanza ahahaha na wanaokota
Ikiwa mpya ukajoin week ya kwanza ukapiga mpunga week ya pili kaa kwa machine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…