Ukweli wa kuzimika kwa taa za uwanja wa Benjamin Mkapa

Miundombinu ya uwanja wa taifa ni mibovu ...fullstop. Hayo mengine ni story to.
Suluhisho ni serikali kufanya maboresho makubwa ya uwanja wa taifa.
 
Anakwepa gharama kivipi wakati Production anafanya Azam ila zbc 2 yeye anapewa 'feed' Ili arushe matangazo tuu. Soma comment zangu nmeshajibu ulichokiandika.
Kupewa Dili la kufanya production sio kupata haki za kurusha matangazo kwa kisimbuzi chako, hao DStv, Bien Sports wote wanachukua haki za kurusha matangazo kwa caf, DStv na Bien Sports wamechukua haki za kurusha matangazo kwa kituo chochote wanachotaka kutoka kwenye vituo vyao wanavyovimiliki, hii unalipia mkwanja mrefu, lakini vituo vya taifa vya nchi vina unafuu flani wa bei ndio maana Azam katumia Zbc2 ambayo inatambulika ni televisheni ya taifa la znz, Azam ana kapata dili la production tu na sio kuonyesha kwenye tv zake, akitaka kuonyesha kwenye tv zake (Azam sports) atapaswa kulipa caf tena mkwanja mrefu
 
Anakwepa gharama kivipi wakati Production anafanya Azam ila zbc 2 yeye anapewa 'feed' Ili arushe matangazo tuu. Soma comment zangu nmeshajibu ulichokiandika.
Zbc hapewi haki za kurusha matangazo ya mpira na Azam anapewa na caf, Azam akizalisha anapangiwa na caf ampe nani matangazo
 
Nilichokiandika mm ndicho ww umekiandika ila ww umeandika kwa maneno mengi.
Zbc hapewi haki za kurusha matangazo ya mpira na Azam anapewa na caf, Azam akizalisha anapangiwa na caf ampe nani matangazo
Kwa taarifa yako, zbc2 ni mali ya azam. Na Azam ndio wanapanga watoe matangazo kwa nani mana wao ndio wamepewa haki ya kurusha na kufanya Production za mechi zote za CAF zinazofanyika hapa Tz.
 
300Mil kwa mechi hii inaweza kua sio kweli
 
Mechi umeangalia zbc2 lkn production inafanywa na Azam
Kwanzia hatua ya makundi, Azam hawahusiki katika production za mechi za Caf. Wapo broadcaster maalumu wa Caf ndio wanaofanya production za mechi zote kwanzia hatua ya makundi hadi fainali.
 
Kwanzia hatua ya makundi, Azam hawahusiki katika production za mechi za Caf. Wapo broadcaster maalumu wa Caf ndio wanaofanya production za mechi zote kwanzia hatua ya makundi hadi fainali.
Duh nakupa pole mzee, mechi zote zitakazochezwa hapa nchini zinafanywa na Azam ila kila stage kunakuwa na viwango vinavyohitajika na CAF. Kama wakiona hukidhi vigezo vyao hawakupi haki. Labla hapo kwenye fainali ndio sina uhakika ila stage zote zitakazofanyika hapa Tz zinafanywa na Azam
 
Duuuuh! Azam ana haki ya kufanya production tu tena analipwa na caf kwa kufanya hiyo shughuli, zbc2 ni mali ya serikali ya Zanzibar kama ilivyo tbc Ila Azam ni kama anaiendesha tu ndio maana kwenye makaratasi hukuti umiliki wa Azam kwa zbc2, zbc kapata haki ya kurusha matangazo ya mpira kutoka caf na sio kutoka kwa Azam
 
Haujui kitu, CAF mashindano yao yote yanafanyiwa production na waliopewa tender. Azam mwisho wake ni kwenye hatua za awali tu. Huku kwanzia kwenye makundi wanasimamia wenyewe CAF kupitia wazabuni waliopewa tenda ya urushwaji wa matangazo.
 
Kama ni zbc ndio wamepewa haki mbona hawafanyi Production wao zbc2.?
 
Nadhani ww mwnyw huelewi unachokiandika na mm nnachokiandika.
Nakupa mtihani mdogo tuu kama utaweza. Siku ya mechi ya Yanga itakayofanyika taifa nenda kwa mtu yeyote wa Camera afu muulize anafanya kazi kampuni gani.
 
Kama Azam ndio wamepewa mamlaka ya kufanya productions na CAF kwanini mechi hawarushi kwa channel za Azam sports badala yake inarushwa kupitia Zbc2?
 
changaule na nguvu kama mko Dar na kama mtakuwepo taifa siku ya mechi ya Yanga bc naomba tuwasiliane. Kuna mengine siwezi kuyasema hapa hvy nataka nikawaonyeshe kabisa ili mjue naelewa nnachokiandika hapa.
 
Kama Azam ndio wamepewa mamlaka ya kufanya productions na CAF kwanini mechi hawarushi kwa channel za Azam sports badala yake inarushwa kupitia Zbc2?
Hili swali nimeshalijibu, angalia comment zangu za nyuma
 
Kama Azam ndio wamepewa mamlaka ya kufanya productions na CAF kwanini mechi hawarushi kwa channel za Azam sports badala yake inarushwa kupitia Zbc2?
Kwahy zbc ndo wanafanya production πŸ˜‚πŸ˜‚ ligi ya Zanzibar tuu inawashinda ndo waje wafanye za caf πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…