Ukweli wa kuzimika kwa taa za uwanja wa Benjamin Mkapa

Acha uongo ndugu
 
Yn umezunguka weeeeeeeee afu umerudi pale pale kwenye nilichoongea mm
 
Sasa kama production inafanywa na kampuni moja pekee ambayo ni Azam, kwanini unachokiangalia kwenye supersports kiwe tofauti na unachokiona kwenye ZBC2 wakati production imefanyika na huyo huyo Azam?
Hapana unachokiona supersport ndio hichohicho unachokiona zbc2, nilishuhudia siku yanga anacheza na rivers hapohapo kulikuwa na mechi ya liver vs Spurs, wakati mechi ya epl ipo mapumziko wakaamisha wakaweka ya yanga tukawa tunaona the same wakati huku kwingine ni DStv na huku ni Zbc2
 
Hapo juu kuna watu wawili wamesema kuwa sio the same.
 
Wewe uliyesema the same maswali yangu ni haya kwako.
1) je vituo vyote vya television vilivyoonesha mechi ya Yanga, vilichukua production kutoka kwa Azam media?
2) je Azam analipwa ili afanye huo uzalishaji? na analipwa na CAF, official broadcaster wa Caf, wanunuaji wa haki au ni nani anayewalipa?
 
Kaka umejitahidi sana kuelewesha watu,tatizo la watanzania wengi hawapendi kukubali Kama anaelekezwa,anachotaka nae aonekane hayupo nyuma ingawaje hajui.

Yaan umefafanua sana,sijui watu shida ziko wapi

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba nawe unakubaliana nae kuwa kituo cha supersport, Bein sport, canal sport, n.k hao wote wanategemea Azam ndio awafanyie uzalishaji kwa mechi za hapa Tanzania?
 
Kwamba nawe unakubaliana nae kuwa kituo cha supersport, Bein sport, canal sport, n.k hao wote wanategemea Azam ndio awafanyie uzalishaji kwa mechi za hapa Tanzania?
Nmekuambia ht UTV channel ya azam wanaonyesha EPL, tafuta mtu anayefanya kazi kwenye televisheni akuambie kitu kinachoitwa 'feed' mana Mm nmekuelewesha ila umeamua kutokuelewa.
 
Nmekuambia ht UTV channel ya azam wanaonyesha EPL, tafuta mtu anayefanya kazi kwenye televisheni akuambie kitu kinachoitwa 'feed' mana Mm nmekuelewesha ila umeamua kutokuelewa.
Tatizo tunashindwa kuelewana kwenye angle moja sikatai kuwa kinaotwa feed kama sikosei kwenye Epl kuna kampuni maalumu zilizopewa tenda kwa mechi zote za epl kufanya feed. Nachataka kujua je Azam ndiye anaye feed hadi kwa akina supersorts, bein sports, canal sport, n.k kwa mechi za caf zinazochezwa Tanzania?
 
Nachataka kujua je Azam ndiye anaye feed hadi kwa akina supersorts, bein sports, canal sport, n.k kwa mechi za caf zinazochezwa Tanzania?
Tatizo lako unaona Azam ni kampuni ndogo ety haiwezi kupeleka feed kwenye hizo Media za kimataifa, hapo ndipo unapokosea ndio maana huelewi.
Hy ishu ya feed wala hata haiangalii upo kampuni gani, afu suala la quality ya video zote hua ni HD wakati wa Production ila inapokuja suala la watu wa majumbani kuangalia kwenye tv ndipo kuna utofauti mana kurusha matangazo kwa HD unalipia mpunga mrefu tofauti na video ikiwa sio HD.
 
Sawa, je kampuni ya Infront france, Amp visual, globecast, Mediapro, wamepewa tenda na CAF kwaajili ya shughuli zipi?
 
Mkuu, ulishawahi kwenda uwanjani?
Tuanzie hapo kwanza.

Pia unaangalia matangazo ya azam match za ligi kuu?

Swala la quality ya ZBC2 nalo la kudebate?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…