Ukweli wa kuzimika kwa taa za uwanja wa Benjamin Mkapa

Ukweli wa kuzimika kwa taa za uwanja wa Benjamin Mkapa

Habari,

Kwa kawaida, mechi zote zinazochezwa muda wa usiku inatakiwa taa pamoja na miundombinu mingine ziendeshwe kwa jenereta. Hii ni kwa kila mechi bila kutegemea ni aina gani ya mechi.

Azam tv wanatoa milioni 300 kwa ajili ya kila mechi za usiku hii ni kwa sababu Azam Media ndio wanaofanya uzalishaji upande wa video, pia serikali nao kupitia wizara ya michezo nao pia wanatoa pesa kwa ajili ya kufanikisha mechi zote zinazochezwa muda wa usiku. Tukumbuke kwamba hizo pesa zote ni kwa mechi moja.

Kiasi chote hiki ni kwa ajili ya mafuta ya kwenye jenereta mana taa zinazotumika pale zinatumia umeme mkubwa.

Najua kuna watu hapa wataniuliza inakuaje Azam Media wanatoa pesa zote hizo kwa mechi moja 🤣 kabla hamjaniuliza naombeni na mimi niwaulize swali 'mnajua Azam Media wanaingiza pesa kiasi gani kwa mechi moja ya kimataifa?

Je, unajua ni kwanini baada ya taa kuzima tanesco walisema wao hawahusiki wakati inaeleweka kabisa kuwa muda wa usiku ni jenereta linatumika? 😂😂

Sasa kinachotokea huko uwanjani ni kwamba,
uongozi wa uwanja badala ya kutumia jenereta kwa ajili ya mechi za usiku, wao wanatumia umeme wa tanesco afu pesa kwa ajili ya mafuta ya jenereta wanaweka mfukoni. Hii wanafanya kwa karibu kila mechi ila ndio hivyo siku hazilingani na ndio kwa bahati nzuri wanapewa surprise taa kuzima kutokana na hitilafu au umeme kuwa mdogo kutoka Tanesco.

Eh em Ngoja niishie hapa 😂😂
Siku njema wakuu
Acha uongo ndugu
 
Zile hatua za awali caf haingilii haki za kuonyesha ni timu tu inakubaliana na Azam wanajua wanavyolipana, ikifika group stage caf anachukua haki zote za kuonyesha mechi kwahiyo hapo yeye(caf) ndio anamtafuta mzalishaji sasa inawezekana huyo mzalishaji kwa mechi za dar anamtumia Azam, Ila Azam kama Azam hana dili na caf la kuzalisha matangazo yake
Yn umezunguka weeeeeeeee afu umerudi pale pale kwenye nilichoongea mm
 
Sasa kama production inafanywa na kampuni moja pekee ambayo ni Azam, kwanini unachokiangalia kwenye supersports kiwe tofauti na unachokiona kwenye ZBC2 wakati production imefanyika na huyo huyo Azam?
Hapana unachokiona supersport ndio hichohicho unachokiona zbc2, nilishuhudia siku yanga anacheza na rivers hapohapo kulikuwa na mechi ya liver vs Spurs, wakati mechi ya epl ipo mapumziko wakaamisha wakaweka ya yanga tukawa tunaona the same wakati huku kwingine ni DStv na huku ni Zbc2
 
Hapo juu kuna watu wawili wamesema kuwa sio the same.
 
Hapana unachokiona supersport ndio hichohicho unachokiona zbc2, nilishuhudia siku yanga anacheza na rivers hapohapo kulikuwa na mechi ya liver vs Spurs, wakati mechi ya epl ipo mapumziko wakaamisha wakaweka ya yanga tukawa tunaona the same wakati huku kwingine ni DStv na huku ni Zbc2
Wewe uliyesema the same maswali yangu ni haya kwako.
1) je vituo vyote vya television vilivyoonesha mechi ya Yanga, vilichukua production kutoka kwa Azam media?
2) je Azam analipwa ili afanye huo uzalishaji? na analipwa na CAF, official broadcaster wa Caf, wanunuaji wa haki au ni nani anayewalipa?
 
Kwenye televisheni Kuna kitu kinaitwa 'feed' kwamba production inafanywa na wengine ila ww ndie unarusha matangazo hayo.
Mfano, kwenye king'amuzi cha Azam Tv kwenye channel yao ya UTV channel namba 108 hua wanarusha mechi za EPL lkn sio wao wanaofanya production na hakuna utofauti na kwa anayeangalia hiyo mechi kupitia channel za supersports.
Mfano mwingine, kwenye ziara za rais Samia au mikutano ya bunge Production inafanywa na wengine afu Media ndio wanapewa hiyo 'feed' hvy hakuna Media kwenda na camera zao (ila kuna uwezekano wa Media kupeleka Camera zao lkn hua wanapewa limit kama wakipeleka camera zao wenyewe)

Mkuu changaule pamoja na wengineo kama mpaka hapa hamjanielewa aisee bc imetosha kuwaelewesha.
Kaka umejitahidi sana kuelewesha watu,tatizo la watanzania wengi hawapendi kukubali Kama anaelekezwa,anachotaka nae aonekane hayupo nyuma ingawaje hajui.

Yaan umefafanua sana,sijui watu shida ziko wapi

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba nawe unakubaliana nae kuwa kituo cha supersport, Bein sport, canal sport, n.k hao wote wanategemea Azam ndio awafanyie uzalishaji kwa mechi za hapa Tanzania?
 
Kwamba nawe unakubaliana nae kuwa kituo cha supersport, Bein sport, canal sport, n.k hao wote wanategemea Azam ndio awafanyie uzalishaji kwa mechi za hapa Tanzania?
Nmekuambia ht UTV channel ya azam wanaonyesha EPL, tafuta mtu anayefanya kazi kwenye televisheni akuambie kitu kinachoitwa 'feed' mana Mm nmekuelewesha ila umeamua kutokuelewa.
 
Nmekuambia ht UTV channel ya azam wanaonyesha EPL, tafuta mtu anayefanya kazi kwenye televisheni akuambie kitu kinachoitwa 'feed' mana Mm nmekuelewesha ila umeamua kutokuelewa.
Tatizo tunashindwa kuelewana kwenye angle moja sikatai kuwa kinaotwa feed kama sikosei kwenye Epl kuna kampuni maalumu zilizopewa tenda kwa mechi zote za epl kufanya feed. Nachataka kujua je Azam ndiye anaye feed hadi kwa akina supersorts, bein sports, canal sport, n.k kwa mechi za caf zinazochezwa Tanzania?
 
Nachataka kujua je Azam ndiye anaye feed hadi kwa akina supersorts, bein sports, canal sport, n.k kwa mechi za caf zinazochezwa Tanzania?
Tatizo lako unaona Azam ni kampuni ndogo ety haiwezi kupeleka feed kwenye hizo Media za kimataifa, hapo ndipo unapokosea ndio maana huelewi.
Hy ishu ya feed wala hata haiangalii upo kampuni gani, afu suala la quality ya video zote hua ni HD wakati wa Production ila inapokuja suala la watu wa majumbani kuangalia kwenye tv ndipo kuna utofauti mana kurusha matangazo kwa HD unalipia mpunga mrefu tofauti na video ikiwa sio HD.
 
Sawa, je kampuni ya Infront france, Amp visual, globecast, Mediapro, wamepewa tenda na CAF kwaajili ya shughuli zipi?
 
Ndio maana nikauliza swali, mechi za hapa Dar ukiangalia kwenye supersports na ZBC2 zina mfanano wa matukio na ubora wa urushwaji? Kama hakuna kampuni zingine zinazofanya production zaidi ya Azam ina maana kitakachorushwa kwa supersport na ZBC2 itakuwa inafanana kila kitu. Kama hakuna mfanano wa ubora wa matangazo inamaana supersport hachukui product ya Azam
Mkuu, ulishawahi kwenda uwanjani?
Tuanzie hapo kwanza.

Pia unaangalia matangazo ya azam match za ligi kuu?

Swala la quality ya ZBC2 nalo la kudebate?
 
Back
Top Bottom