Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je hilo Genereta la 500kVA lina uwezo wa kuendesha hizo taa za uwanja wa taifa, vp pale azam complex chamazi jenereta yao ina uwezo gani tupate ufafanuziHuo mpunga wa Azam mbona unanunua generator jipya brand yoyote ya 500kVA na mafuta ya saa 24 kwa mwezi mzima bila kulizima.
500kVA diesel generator ½ load ni 65l/h.
65×24×30×3100=145,080,000.
Mwezi mzima bila kulizima saa 24 ni 145M.
Mimi ninacho kujua
Simba ikicheza ule uwanja inatosha Lita 40 za mafuta.
Inatosa asilimia za uwanja. Kwenye get collection nknk.....
Hiyo ya Azam nae kama anatoa Hiyo Fedha Sina uhakika coz Azam haonyeshi Mechi za CAF...
ANYWAY NGOJA NIFANYE UTAFITI.
Azam hawaonyeshi mechi za CAF.? 😂 Kwahy mechi za CAF zinazofanyika Benjamin Mkapa hua zinafanywa na Media gani.?Labda kama Azam kapewa tenda ya kupiga picha mechi za caf zinazofanyika taifa
Kadanganya hapo. CAF ndio wenye mamlaka ya kurusha mechi za CAF. Sasa CAF ndio hutoa tenda kwa kampuni kurusha mechi hizo, inawezekana AZAM akapewa au kampuni nyingine.ILE MECHI TULIANGALIA ZBC2 Sasa Azam kaingiaje apo emu nieleweshen
Sasa unaona umeandika cha maana hapa.? Ww mwenyewe umesema CAF ndio wanaotoa tenda na ni Azam ndo mhusika kwa mechi zote zinazochezwa hapa Tz. Sasa uongo wangu ni upi hapo.?Kadanganya hapo. CAF ndio wenye mamlaka ya kurusha mechi za CAF. Sasa CAF ndio hutoa tenda kwa kampuni kurusha mechi hizo, inawezekana AZAM akapewa au kampuni nyingine.
Na ndio maana hata CAF alikataza local redio kurusha matangazo ya mashindano ya CAF.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kwa akili yako unajua zbc ndio wanaofanya Production mechi za CAF kisa wao ndio wanaorusha matangazo.? Zbc hawawezi hata kufanya Production ya ligi ya Zanzibar ndio waje waweze kufanya mechi za kimataifa.?Kadanganya hapo. CAF ndio wenye mamlaka ya kurusha mechi za CAF. Sasa CAF ndio hutoa tenda kwa kampuni kurusha mechi hizo, inawezekana AZAM akapewa au kampuni nyingine.
Na ndio maana hata CAF alikataza local redio kurusha matangazo ya mashindano ya CAF.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ukijibiwa naomba unielimishwa na mimi Mkuu....ILE MECHI TULIANGALIA ZBC2 Sasa Azam kaingiaje apo emu nieleweshen
Sasa kwa nini Azam asirushe yeye Moja kwa moja..Mechi umeangalia zbc2 lkn production inafanywa na Azam
Kidogo wewe naanza kukuelewaKadanganya hapo. CAF ndio wenye mamlaka ya kurusha mechi za CAF. Sasa CAF ndio hutoa tenda kwa kampuni kurusha mechi hizo, inawezekana AZAM akapewa au kampuni nyingine.
Na ndio maana hata CAF alikataza local redio kurusha matangazo ya mashindano ya CAF.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kitu ambacho inawezekana hukijui ni kwamba zbc 2 kwa asilimia fulani inamilikiwa na Azam Media, hvy kuamua kurusha mechi flani ni wao wenyewe wanapanga.Sasa kwa nini Azam asirushe yeye Moja kwa moja..
Nakupa pole mzeeHuo mpunga wa Azam mbona unanunua generator jipya brand yoyote ya 500kVA na mafuta ya saa 24 kwa mwezi mzima bila kulizima.
500kVA diesel generator ½ load ni 65l/h.
65×24×30×3100=145,080,000.
Mwezi mzima bila kulizima saa 24 ni 145M.
ingekuwa kuna ukweli TANESCO wangenyamaza kimyaConfirmed
Nafikiri anakwepa gharama, Azam kisimbuzi akichukua haki ya kurusha matangazo atalipa gharama kubwa ndiomaana katumia mlango wa nyuma kuonyesha yale mashindano, katumia zbc2 ambayo inapatikana kwenye kisimbuzi chake pekee huku zbc2 haimiliki yeyeSasa kwa nini Azam asirushe yeye Moja kwa moja..
Anakwepa gharama kivipi wakati Production anafanya Azam ila zbc 2 yeye anapewa 'feed' Ili arushe matangazo tuu. Soma comment zangu nmeshajibu ulichokiandika.Nafikiri anakwepa gharama, Azam kisimbuzi akichukua haki ya kurusha matangazo atalipa gharama kubwa ndiomaana katumia mlango wa nyuma kuonyesha yale mashindano, katumia zbc2 ambayo inapatikana kwenye kisimbuzi chake pekee huku zbc2 haimiliki yeye