amoneyazan
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 698
- 469
Utakapoweza kunithibitishiaWewe unaposema mungu yupo kwa sababu ulimwengu upo kwenye mpangilio, nashindwa kukuelewa unapojipinga mwenyewe kwa kusema mungu hana nwanzo wala mwisho ilihali yeye pia yupo kwenye mpangilio.
Je? Mimi nikikwambia ulimwengu pia hauna nwanzo wala mwisho utakubali?
Mi sina haja ya kuamini Bali kuelewa tu sasa kama we unazungumzia mwisho wa kiimani naona kabisa kua hatuelewaniUtapata muda wa kutambua uwepo wa Mungu na pengine ukafa ukiwa na mwisho mwema kiimani juu ya Mungu wa kweli
Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
The burden of proof is on the head of the person who made the claimamoneyaza said:Utakapoweza kunithibitishia
1. Kwanini Mungu hayupo
2. Asili ya vitu vyote
Ntakubaliana na hoja yako...
Unaelewa nini kwa neno 'PENGINE'Mi sina haja ya kuamini Bali kuelewa tu sasa kama we unazungumzia mwisho wa kiimani naona kabisa kua hatuelewani
wewe ni mfuasi wa yule MNYAMA, ambaye ni NABII WA UONGO. imeandikwa, (ufunuo 13:11-18)
Ikiwa nimeumbwa na MunguThe burden of proof is on the head of the person who made the claim
It's logical fallacy and impractical to prove the negative!
Huwezi kuthibitisha kutokuwepo kwa kitu,ila unaweza kuthibitisha uwepo wa kitu
Sasa wewe unayesema Mungu yupo,ndiye unayepaswa kutupa uthibitisho kuwa Mungu yupo.
Huwezi kudai asili ya vitu vyote wakati bado unaamini uwepo wa Mungu
Ukitaka asili ya vitu vyote
inabidi upewe na Asili ya huyo Mungu
Sasa wewe asili ya mungu wako unaijua?
Ikiwa nimeumbwa na Mungu
na ninaamini kuwa yeye ndio asili ya vitu vyote pia naamini kuwa of God could have unveiled the knowledge of knowing his source origin then he couldn't be God
Not knowing some of the things concerning him is a password to prove the limits between his unlimited mighty ability and mine ...
After all why should I argue much about my Gods existence ,Your above thesis is as mad as bag of ferrets
Son,let me show you why we say religious God(s) do not logically exist.
In principle,you can't solve the problem unless you identify it firstly
Can you give me right on the money definition of word God?
Hujajibu swaliamoneyazan said:After all why should I argue much about my Gods existence
I believe that he exists
That's my believe
Its not a matter that can be empirically tested or scientifically proved
Its a stupid ideology to prove Gods existence using science
Proving believes using science
Huu ndio utafiti wa miaka 16 ?
Huu ndio utafiti wa miaka 16 ?
Kama unafahamu anapoishi tafadhali tujuze nasi tupate kufahamuKafanye tena huo utafiti wako kiongozi.Kwa kukusaidia tu;Mwenyezi Mungu hakai kwenye nyota wala kwenye mbingu kama wengine wanavyodai.
Mkuu Mungu yupo kwa fikira zako unadhani aliye sanifu Ulimwengu huu na kuwa katika mpangilio sahihi ni nani?Mimi nimesema Hakuna Mungu
Sasa wewe ndiye unayepaswa kunikosoa mimi,kwa kuleta Ushaidi unaothibitisha Uwepo wa Mungu.
Kitu ambacho mimi nitafanya ni kuonyesha contradiction zinazomuhusu huyo Mungu.
Mkuu,wewe ni muumini wa dini gani,tuanzie hapo?
Hawa wasio amini uwepo wa Mungu hawana kithibitisho Lakini binafsi mimi naamini Mungu ni Nafsi Tukufu hauwezi kuiona nafsi ndio maana hata Mussa aliongea na Mungu kwa nija ya motoKama unafahamu anapoishi tafadhali tujuze nasi tupate kufahamu