Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Mungu hachunguziki....

Ova......
Mungu amejifunua kwetu sana ni vile Iman yetu nakupotoka kwa mwanaadam maovu na uasi vinatutawala unajikuta umepotea nakushindwa kuwa na jicho la kumfikiri na kumjua Mungu.
 
Mkuu sikubaliani nawewe kabisa.

1>>>science inatusaidia kujua hakika ya uvumbuzi wa mambo mbali mbali ila ingawa vitu vingi viko mbali ya uweza wa kibinadamu lakini science imesaidia kuondoa baadhi ya utata kuhusu ulimwengu wetu kwa kiasi kidogo.

2>>>Bible & Qur'an Imetusaidia kuhakikisha ukweli unaofichwa na science bila majibu hili kuudhirisha Ukuu wa Muumba Wetu, mwanadamu hatashindana na Mungu kamwe

Science ni mwanga
Bible & Qur'an nitaa inayoongoza mwanga

Science bila Mungu ni kupigia mbuzi gitaa
 
Embu nipe mfano hata mmoja wa utata ulioondolewa na sayansi.Najua elimu ni pana.Nipe faida juu ya hilo
 
Labda wewe ndiyo hujaelewa,hoja yetu ni uwezo wote.
Kama mungu ana uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa nabuwezobwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Mimi kwa kukuuliza wewe swali hiki, nakuoa nafasi hata wewe, hapa JF, kama una argument convincing, unifanye nikubali kwamba Mungu yupo.

Sisubiri science. Science ni mnyama gani huyo? Science ni ideas.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Mkuu lakini si umeelewa somo! siku zote hata ukimtaka mwanamke Mara ooooo Mimi staki sikuelewi fahamu huyo umekula.
Nakuona somo linakuingia .

Inakupasa ufike mwisho kubali Mungu wako ni mwenye huruma atakuhesabia haki.

KARIBU KUNDINI
Hujathibitisha Mungu yupo.

Sijaelewa unawezaje kusema hilo.

Unaweza kuthibitisha?
 
Hiyo njia nyingine ndio Mungu!
Kutokujua kwako Mimi ninaye fahamu nimekufunza tena unahesabu kwa vijiti unashindwaje kuniamini?
1 + 1 = 2 unahitaji bado haujaelewa?
Unajuaje hiyo njia nyingine ndiyo Mungu?

Unaweza kutuonesha hatua kwa hatua ulivyofikia jibu hilo?
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Kuna mtu anaitwa Deception humu Jf,jamaa na zile mada zake za ukimwi ameweza kuonesha ni jinsi gani madaktali walivyomezeshwa tu vitu ambavyo haviendani na uhalisia. Lakini ajabu watu wanaona vitabu vya dini tu ndiyo vinamezesha watu uongo.
Kwa hiyo unakubali vitabu vya dini vinamezesha watu uongo au ?
 
Unajuaje kwamba unamjua mola na si maruweruwe tu?
 
Mambo mengine tunafunzwa kwa ajiri ya masilahi ya wengine.

Lakini ukitaka kumjua Mungu chukua mda jifunze kuhusu muundo wa ulimwengu tunaoishi compare na Bible hakika utapata majibu sahihi pasina shaka Mungu yupo.
Bible inajichanganya mara zaidi ya mia.

Kwa nini mtu mwenye akili zake aiaminibkama kitabu cha kutoa muongozo?
 
Mungu amejifunua kwetu sana ni vile Iman yetu nakupotoka kwa mwanaadam maovu na uasi vinatutawala unajikuta umepotea nakushindwa kuwa na jicho la kumfikiri na kumjua Mungu.
Mungu kajifunua au hachunguziki?

Mbina hata mnaomuamini Mungu hamuelewani?
 
Bible na Quran zimejaa contradictions.

Hilo unalielewa kwanza?
 
Thibitisha. Uwanja wako.
Mwezi wa tano mwaka huu nilienda kupima HIV nikakutwa nipo positive sikuamini kwa hiyo ilibidi niende vituo pamoja na hospitali zaidi ya tano na huko kote vipimo vikaonyesha kuwa nipo positive,nikarudi nyumbani na kuanza kumwomba mungu wangu,mwezi wa nane mwaka huu nimeenda kupima nimejikuta nipo negative!!.....Nimezunguka vituo na hospitali zaidi ya kumi na moja vyote nimepima na wamedai kuwa nipo negative!!!......Hakika mungu anaishi na kutawala na sayansi pamoja na matendo yake ni makuu sana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…