Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sikubaliani nawewe kabisa.Unajua ukweli uko hivi.Watu wanakosa misingi ya elimu na kuitafuta haki,ndio maana wanaangukia pua sana.Huwezi kumjua Mola hakika yake kwa kufanya utafiti wa kisayansi.Utafanya huo utafiti mpaka utafanya tena.Na ukweli utakuwa mbali na wewe.
Utamjua Mola na hali yake kama yeye kwenyewe alivyojielezea na vile alivyoelezewa na Rasuli.Kinyume na hapo ni kujidanganya na kupoteza muda.
Embu nipe mfano hata mmoja wa utata ulioondolewa na sayansi.Najua elimu ni pana.Nipe faida juu ya hiloMkuu sikubaliani nawewe kabisa.
1>>>science inatusaidia kujua hakika ya uvumbuzi wa mambo mbali mbali ila ingawa vitu vingi viko mbali ya uweza wa kibinadamu lakini science imesaidia kuondoa baadhi ya utata kuhusu ulimwengu wetu kwa kiasi kidogo.
2>>>Bible & Qur'an Imetusaidia kuhakikisha ukweli unaofichwa na science bila majibu hili kuudhirisha Ukuu wa Muumba Wetu, mwanadamu hatashindana na Mungu kamwe
Science ni mwanga
Bible & Qur'an nitaa inayoongoza mwanga
Science bila Mungu ni kupigia mbuzi gitaa
Kama mungu ana uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa nabuwezobwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?Labda wewe ndiyo hujaelewa,hoja yetu ni uwezo wote.
Amenielezea nini?Kama umeshindwa kuwa na jibu ina maana hujui lakini anae fahamu amekueleza ametafiti kubaliana nae
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?Ni kwa sababu hata science yenyewe haina maelezo ya kutosha/uthibitisho kwa kila jambo mfano imeshindwa kuweka clear kama the universe is creation or naturally made up.
Na pia what if that science tomorrow will come up with enough proof that God exists, would you still embrace your agonistic atheism or you will have no choice rather than accepting the truth?
Hujathibitisha Mungu yupo.Mkuu lakini si umeelewa somo! siku zote hata ukimtaka mwanamke Mara ooooo Mimi staki sikuelewi fahamu huyo umekula.
Nakuona somo linakuingia .
Inakupasa ufike mwisho kubali Mungu wako ni mwenye huruma atakuhesabia haki.
KARIBU KUNDINI
Unajuaje hiyo njia nyingine ndiyo Mungu?Hiyo njia nyingine ndio Mungu!
Kutokujua kwako Mimi ninaye fahamu nimekufunza tena unahesabu kwa vijiti unashindwaje kuniamini?
1 + 1 = 2 unahitaji bado haujaelewa?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?Science imekosa majibu mengi kuhusu uhai na uumbaji ila inatoa mwelekeo kwa yale yaliyopo karibu na sayari yetu.
Mfano;
Vitabu mfano Bible ni kitabu cha kale kinaandika Mungu hachunguziki.
Wengi waliamini kuna jua letu na sayari zake tu na nyota katika ulimwengu lakini utafiti unaonyesha mamilion ya sayari na nyota ktk anga ya mbali pasipo weza kufikika na mwanadamu kilahisi.
Zamani hakukuwepo technology kama ya leo walioandika Bible walikuwa ni wateule waliopata maelekezo na kushushiwa kile walicho andika mpaka sasa Mungu hachunguziki Hata kama binafsi najifunza na kudhani Mungu yupo katika Nuru isiyoweza kukaribiwa (Jua ,nyota) Sijui nyota hiyo ipo umbali gani au ni ipi au ipo mbali na uono wa anga ya kibinadamu.
Mimi naweza kuzibitisha kuwa mungu yupo mkuu!Hujathibitisha Mungu yupo.
Sijaelewa unawezaje kusema hilo.
Unaweza kuthibitisha?
Kwa hiyo unakubali vitabu vya dini vinamezesha watu uongo au ?Kuna mtu anaitwa Deception humu Jf,jamaa na zile mada zake za ukimwi ameweza kuonesha ni jinsi gani madaktali walivyomezeshwa tu vitu ambavyo haviendani na uhalisia. Lakini ajabu watu wanaona vitabu vya dini tu ndiyo vinamezesha watu uongo.
Angekuwa hachunguziki, usingeona hachunguziki.Mungu hachunguziki....
Ova......
Unajuaje kwamba unamjua mola na si maruweruwe tu?Unajua ukweli uko hivi.Watu wanakosa misingi ya elimu na kuitafuta haki,ndio maana wanaangukia pua sana.Huwezi kumjua Mola hakika yake kwa kufanya utafiti wa kisayansi.Utafanya huo utafiti mpaka utafanya tena.Na ukweli utakuwa mbali na wewe.
Utamjua Mola na hali yake kama yeye kwenyewe alivyojielezea na vile alivyoelezewa na Rasuli.Kinyume na hapo ni kujidanganya na kupoteza muda.
Bible inajichanganya mara zaidi ya mia.Mambo mengine tunafunzwa kwa ajiri ya masilahi ya wengine.
Lakini ukitaka kumjua Mungu chukua mda jifunze kuhusu muundo wa ulimwengu tunaoishi compare na Bible hakika utapata majibu sahihi pasina shaka Mungu yupo.
Mungu kajifunua au hachunguziki?Mungu amejifunua kwetu sana ni vile Iman yetu nakupotoka kwa mwanaadam maovu na uasi vinatutawala unajikuta umepotea nakushindwa kuwa na jicho la kumfikiri na kumjua Mungu.
Bible na Quran zimejaa contradictions.Mkuu sikubaliani nawewe kabisa.
1>>>science inatusaidia kujua hakika ya uvumbuzi wa mambo mbali mbali ila ingawa vitu vingi viko mbali ya uweza wa kibinadamu lakini science imesaidia kuondoa baadhi ya utata kuhusu ulimwengu wetu kwa kiasi kidogo.
2>>>Bible & Qur'an Imetusaidia kuhakikisha ukweli unaofichwa na science bila majibu hili kuudhirisha Ukuu wa Muumba Wetu, mwanadamu hatashindana na Mungu kamwe
Science ni mwanga
Bible & Qur'an nitaa inayoongoza mwanga
Science bila Mungu ni kupigia mbuzi gitaa
Utata wa kwamba kuna au hakuna ether.Embu nipe mfano hata mmoja wa utata ulioondolewa na sayansi.Najua elimu ni pana.Nipe faida juu ya hilo
Thibitisha. Uwanja wako.Mimi naweza kuzibitisha kuwa mungu yupo mkuu!
Mwezi wa tano mwaka huu nilienda kupima HIV nikakutwa nipo positive sikuamini kwa hiyo ilibidi niende vituo pamoja na hospitali zaidi ya tano na huko kote vipimo vikaonyesha kuwa nipo positive,nikarudi nyumbani na kuanza kumwomba mungu wangu,mwezi wa nane mwaka huu nimeenda kupima nimejikuta nipo negative!!.....Nimezunguka vituo na hospitali zaidi ya kumi na moja vyote nimepima na wamedai kuwa nipo negative!!!......Hakika mungu anaishi na kutawala na sayansi pamoja na matendo yake ni makuu sana!!!Thibitisha. Uwanja wako.