Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Mkuu: Mambo kuhusu ulimwengu nimejifunza nimeenda Chile, Kazakhstan, USA, Ethiopia nimejifunza mengi.
MKUU
a) JUA;
Halizunguki ni mfumo wa ki nuclear uliounganika na kuungua jua lipo pale pale nimefanya utafiti wa vitendo na kujiridhisha hili kwa asilimia 100.

b)MWEZI:
Mwezi unaizunguka Dunia na mwezi upo karibu na Dunia yetu na mwezi ndio unao panga majira misimu na mwezi upo mbali na jua takriba 93 million km umbali mwezi na Dunia.

c)SAYALI INJE MFUMO WA JUA LETU
Mkuu Mimi sipingani na Mungu naamini Mungu muumba kwa akili zangu zote alizonijalia.
Nyota zinazoonekana angani zipo Mbali umbali usiohesabika na nyingine ni kubwa sana kuliko nyota (jua) yetu karibu na uso wa Dunia.
Nyota hizi zimetengeza mfumo kama uliopo katika anga yetu na kila ukanda angani una mamilioni ya nyota na ukubwa wa anga huajulikani ( Infinite) Nyota na sayari miezi n.k katika anga ni trillions hazihesabiki.
 
Mkuu' Nikukosoe ktk kupatwa kwa mwezi, kupatwa ni jambo la kawaida ambalo lipo ktk mpangilio wa mizunguko ya mwezi.

Kupatwa kwa mwezi hakuhusiani na mwezi kupita ktk njia ya jua Jua lipo mbali na Mwezi na Jua halizunguki kinachozunguka ni sayari na mwezi wake.

Kinacho sababisha kupatwa ni mwezi kuwa sambamba na jua na kuiziba dunia isipate mwanga wa jua.
Na mwezi huaksi mwanga wake katika jua sasa ukiwa sambamba na dunia na jua nusu huaksi jua na nusu upande wa dunia huaksi dunia na kwa kuwa mwezi unazunguka huchuku mda mchache kuludi ktk hali halis
 
Kwa akili alizo tupa mungu ni kidogo sana kuweza kutafakar ila kumbuka mungu yupo mbingun usizid kumtafakari ubongo wako utafika mwisho na jibu hutalipata
Chief, Lakini Mungu ametupa akili tuzitumie na siamini kama ni dhambi mtu kumtafuta baba yake.
Na Mungu amejifunua kwetu kila kitu ila alipo ni mbali hatuwezi fika kwa uweza wa kibinadamu.
Lakini haichoshi kumtafta lakini sisi si wa kwanza kumtafta wenzetu mwanzo walijenga mnara wa babeli.
 
Nashukuru kwa jaribio lako la kunikosoa.Naona hukusoma vyema kile nilichoandika.Niliposema ya kuwa mwezi una njia zake na vituo vyake nilimaanisha na ninajua ninachokisema.

Maneno yako yapo dhidi yako.Unaposema mwezi unazuia miale ya jua isifike duniani unazungumzia sehemu ya dunia?

Kadhalika sijasema kupatwa kwa mwezi ni jambo la ajabu.Ndio maana sisi tunajua mpaka kimoja wapo kati ya viwili hivyo vikipatwa tunatakiwa tufanye nini?
 
Suala la mimi kusema ya kuwa mwezi una njia zake ni kukupa faida.
 
Wapi nimesema ninaamini kwamba kuna H.I.V?

Mimi sitaki kuamini chochote, nataka kujua.

Kuhusu H.I.V resistance soma hii link

Is Anyone Immune to HIV?
 
Hivi unahitaji uthibisho upi kwa evidence zote unazopewa?
Nahitaji uthibitisho ulio logically consistent.

Maneno yote mnayosema kuthibitisha uwepo wa Mungu hayapo logically consistent na yamejaa contradictions.

Unafahamu logical consistency ni nini?

Unafahamu contradiction ni nini?

Nisije kuwa nabishana na watu ambao hata mambo ya msingi hawajui.
 
Uungu unapatikana katika natural balance ya gases /upepo, Maji, joto/jua,solar systems, baridi /barafu, viumbe hai (wanyama na mimea), viumbe visivyo hai/solids and other infinite substances.
Binadamu Kama mfano wa Mungu kila nilichotaja hapo juu umtokea.
Either kwenye
mwisho wa uhai/ decaying curve (solids remains-skull & bones).
Mwanzo wa binadamu (liquids-combination of male and female sperms)
Living of human body (maji/blood,heat energy, minerals, air exchange) .
Decaying/deppreciate of human body/cell (heat/joto/micro-organics,air/gases).
Expire of human being (cold).
Accumulation of minerals to the human body to balance with nature ((plants and animals feed) + reinforcement /Sun rays).
Locomotion /moving one place to another to absorve and use energy - gravitation force (it's like solar system).
Hivyo Uungu uko mahali pore penye uhai na pasipo na uhai, Ingawa kwa sisi binadamu tunadhani heat energy/Sun,water and Air are the only one which make a combination of the The Almight God existence.
We can not judge the existence of God in terms of % because there are other important issues which is infinity to define or to imagine using our own human capacity.
For that case we need to go deeply as far as spirituals belives which are also very complicated when explaining who is exactly God we may follow and believes.
The above may be among the most difficult question to answer,others being is God Black or White?
 
 
Wapi nimesema ninaamini kwamba kuna H.I.V?

Mimi sitaki kuamini chochote, nataka kujua.

Kuhusu H.I.V resistance soma hii link

Is Anyone Immune to HIV?

Huelewi ulichokiandika,ukitaka kuamini kama huelewi endelea kunihoji, nitakufumbua macho na nina uhakika utaona hata kama hutaki kuona.Siku nyingine ukitaka kuweka link hapa hakikisha umeielewa kwanza kabla ya kuiweka.
 
Chief naomba kwa faida yangu kupatwa kwa
mwezi kunahusiana na dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…