impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
- Thread starter
- #661
Mkuu: Mambo kuhusu ulimwengu nimejifunza nimeenda Chile, Kazakhstan, USA, Ethiopia nimejifunza mengi.Una uhakika gani kama kuna sayari nyingine nje ya mfumo wetu wa jua?
Bila shaka hata wewe unaamini kwamba dunia inazunguka jua ?Hivyo ndivyo wanasayansi walivyokudanganya.
Mimi naamini kinyume na wewe,yaani naamini jua linazunguka dunia.
Pili,kama hao wanasayansi wana uhakika na yale wanayo yasema.Kwanini waseme hudhaniwa kwamba kwenye sayari kuna maisha?
Hivi kweli mpaka leo unaamini nadharia ya KISHINDO KIKUBWA?Haa jamaa sitaki kuamini maneno yako.
Embu pekua vitabu usome tena na tena.
MKUU
a) JUA;
Halizunguki ni mfumo wa ki nuclear uliounganika na kuungua jua lipo pale pale nimefanya utafiti wa vitendo na kujiridhisha hili kwa asilimia 100.
b)MWEZI:
Mwezi unaizunguka Dunia na mwezi upo karibu na Dunia yetu na mwezi ndio unao panga majira misimu na mwezi upo mbali na jua takriba 93 million km umbali mwezi na Dunia.
c)SAYALI INJE MFUMO WA JUA LETU
Mkuu Mimi sipingani na Mungu naamini Mungu muumba kwa akili zangu zote alizonijalia.
Nyota zinazoonekana angani zipo Mbali umbali usiohesabika na nyingine ni kubwa sana kuliko nyota (jua) yetu karibu na uso wa Dunia.
Nyota hizi zimetengeza mfumo kama uliopo katika anga yetu na kila ukanda angani una mamilioni ya nyota na ukubwa wa anga huajulikani ( Infinite) Nyota na sayari miezi n.k katika anga ni trillions hazihesabiki.