Biblia imeandika vyema Wanaojiita wakristo ndio hupotosha ukweli na watu hujitoa ufahamu na kuwafata hawa wapotoshaji pasipo kujifunza wao wenyeweMzee baba, kama unategemea biblia itakuambia ukweli kuhusu mungu, hauko sahihi. Biblia inamfanya mungu aonekane hana msimamo, anayetengua amri zake mwenyewe, anayewahukumu watu kwa makosa (mipango) aliyofanya/kuandaa yeye. Mungu yupo lakini si kama anavyoelezewa kwenye biblia.
Mungu aliyemwambia musa usiue ndiye yuleyule aliongoza waisraeli kuua wakati wakirudi katika nchi ya ahadi.Biblia imeandika vyema Wanaojiita wakristo ndio hupotosha ukweli na watu hujitoa ufahamu na kuwafata hawa wapotoshaji pasipo kujifunza wao wenyewe
Mkuu hapa kuna shida ya uelewa na ukifuata mtiririko utajifunza mengi na kung'amua vitu vingi ambavyo vitakusaidia kujenga hoja na kumuona Mungu kuwa katika neno lake kuna usawa.Mungu aliyemwambia musa usiue ndiye yuleyule aliongoza waisraeli kuua wakati wakirudi katika nchi ya ahadi.
Mungu mbaguzi ambaye aliwachagua waisrseli na kuwafanya taifa lake teule na kuwaacha wengine japo waisraeli walikuwa wakimkosea lakini aliendelea kuwang:ang'ania.
Mungu aliyeamua kumpa moyo mgumu farao ili apate kiki kwa watoto wake "waisraeli" kwa kuwatesa wamisri.
Mungu ambaye aliwaumba malaika katika ukamilifu wao lakini kati yao ukamea uovu.
Mzee baba, mungu wa kwenye biblia hana tofauti na 'jiwe'.
Kwa nini sasa tuendelee kuamini kitu chenye makosa ya kibinadamu na tutegemee kwenda kwa mungu wa ukweli?Mkuu hapa kuna shida ya uelewa na ukifuata mtiririko utajifunza mengi na kung'amua vitu vingi ambavyo vitakusaidia kujenga hoja na kumuona Mungu kuwa katika neno lake kuna usawa.
Lakini unajua kwa nini vitabu vya mwanzo vinaitwa kumbukumbu la torati!? Ni kwamba vitabu vyote vilichomwa na watu waliokuwa wasomi wakabuni tena kuandika kwa hiyo huenda kuna makosa yalifanyika kibinadamu.
Kumjua Mungu hakuhitaji PhD maisha yetu ni kielelezo tosha cha uwepo wa Mungu angalia mpangilio wa nyota angani utapata kujifunza mengi na kuujua ukweli wa Mungu muumbaKwa nini sasa tuendelee kuamini kitu chenye makosa ya kibinadamu na tutegemee kwenda kwa mungu wa ukweli?
Kwani nimekataa kuwa mungu yupo? Mimi ninachopinga ni jinsi ambavyo ameelezwa kwenye biblia. Ukitaka umfahamu mungu vizuri usisime kitabu chochote cha dini.Kumjua Mungu hakuhitaji PhD maisha yetu ni kielelezo tosha cha uwepo wa Mungu angalia mpangilio wa nyota angani utapata kujifunza mengi na kuujua ukweli wa Mungu muumba
Usiposoma vitabu vya dini hautamuelewa Mungu kama Muumba wa vyote utamuweka katika makundi mengi ya dhania ya kitu.Kwani nimekataa kuwa mungu yupo? Mimi ninachopinga ni jinsi ambavyo ameelezwa kwenye biblia. Ukitaka umfahamu mungu vizuri usisime kitabu chochote cha dini.
Kuna mkanganyiko sana katika biblia inahitaji fikra pana kumuelewa MunguMungu aliyemwambia musa usiue ndiye yuleyule aliongoza waisraeli kuua wakati wakirudi katika nchi ya ahadi.
Mungu mbaguzi ambaye aliwachagua waisrseli na kuwafanya taifa lake teule na kuwaacha wengine japo waisraeli walikuwa wakimkosea lakini aliendelea kuwang:ang'ania.
Mungu aliyeamua kumpa moyo mgumu farao ili apate kiki kwa watoto wake "waisraeli" kwa kuwatesa wamisri.
Mungu ambaye aliwaumba malaika katika ukamilifu wao lakini kati yao ukamea uovu.
Mzee baba, mungu wa kwenye biblia hana tofauti na 'jiwe'.
hahaaa hii ndio inaitwa Hoji kila kitu" hoji mpaka sababu ya kuhoji kwakoTuambie na aliyemleta huyo mwenyezi Mungu, maana hata yeye yupo kwenye mpangilio.
hahahaa"..Wewe utajuaje kama ni kweli musa aliongea na mungu? Kwasababu wewe haukuwepo labda kwenye biblia walikudanganya ili wakushike ujinga.
hahaaKama kweli mungu anaishi kwenye jua kabla hajaumba hilo jua alikua anaishi wapi?
Na Kama kweli yeye aliviumba vitu vyote vinavyo onekana na visiivyo onekana kwanini hivyo vitu vyake alivyo mwenyewe amevikimbia na kwenda kuishi kwenye jua kali sana.
Aiseee futaUsiposoma vitabu vya dini hautamuelewa Mungu kama Muumba wa vyote utamuweka katika makundi mengi ya dhania ya kitu.
God has no Religion.Japo mimi sio mfuasi wa dini yoyote! Ila nyakati za mwisho mtaniona "high table nagawa vinywaji , namaanisha mbinguni kwa Muumba"
Sent using Jamii Forums mobile app