Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Dini ni utashi wa watu kujitaftia ridhiki endelea kujifunza ukiwa huru utaujua ukweli wa uwepo wa Mungu kikubwa usiruhusu kushikwa akili hapo kweli hautoijua
Unapinga dini ambazo zinaeleza habari za kuhusu Mungu kwa kuona zimetungwa tu na watu,ila ajabu na wewe unakuja na habari za kuhusu Mungu. Hivi watu watakao kubali haya unayoyaeleza nao watakuwa huru au nao pia watakuwa watumwa wa maelezo yako kama ilivyo katika dini?
 
Kabla ya ujio wa Yesu tayari suala la kuhusu Mungu lilikuwepo,kwa maana kulikuwa na wale waliyokuwa wakifanya kazi ya kueleza yenye kumuhusu Mungu. Hivyo Yesu hakuja kama ndio wa kwanza kuwaambia watu kwamba kuna Mungu na kwa maana ni hivyo hivyo kwa Muhammad pia.
 
Kwanini unajiuliza kuhusu bibi na babu zako huko wakati hata sasa kuna watu hawajafikiwa na dini,je unapata jibu gani kwa hawa nao?
 
Kwanini unajiuliza kuhusu bibi na babu zako huko wakati hata sasa kuna watu hawajafikiwa na dini,je unapata jibu gani kwa hawa nao?
Kwa vile hao ndio reference nzuri kwa kuwa they have gone for good..
 
Mungu ni kisababishi kisicho sababishwa,
kuna maswali mengi sana kuhusu uwepo wa Munga
Lakini pia yako mengi zaidi kuhusu kutikiwepo kwa Mungu
Kabla ya kujiuliza nani alimuunba Mungu, Jiuliza uumbaji ulitokea wapi
utagundua kuwepo kwa "concept of something from Nothing"
 
Sijui vimetengenezwa na nani.
sasa na kama vimetengenezwa huyo alievitengeneza na yeye ametengenezwa na nani..?
Katika vitabu kadha wa kadha, yamefunuliwa mambo machache sana
Kwa mfano Biblia, ameonyesha kuwa yeye ndiye muunbaji wa Ulimwengu,
Lakini haijafunuliwa ameiumbaje from Nothing
 
Mimi nimesema Hakuna Mungu

Sasa wewe ndiye unayepaswa kunikosoa mimi,kwa kuleta Ushaidi unaothibitisha Uwepo wa Mungu.

Kitu ambacho mimi nitafanya ni kuonyesha contradiction zinazomuhusu huyo Mungu.

Mkuu,wewe ni muumini wa dini gani,tuanzie hapo?
Ukitaka kupata ukweli wa Mungu usitumie dini
Kwa sababu dini itayawekea ukomo mawazo yako
Mtafute Mungu nje ya dini kwa kutumia Vitabu vya dini na vyazi vingine vya kisayansi
 
Y

Yupo kwa sababu na wewe upo, pamoja na vilivyokuzunguka
tumalize kwa kusema Mungu yupo kwasababu sisi tupo,hivyo anatutegemea na kwakuwa anatutegemea basi hapaswi kuitwa Mungu!.. kwasababu hawezi kuwepo bila sisi kuwepo.
 
Katika vitabu kadha wa kadha, yamefunuliwa mambo machache sana
Kwa mfano Biblia, ameonyesha kuwa yeye ndiye muunbaji wa Ulimwengu,
Lakini haijafunuliwa ameiumbaje from Nothing
Utapimaje kitu usichokijua chote..?
umeandika kuwa yamefunuliwa machache sana.. ili uweze kujua kuwa ni machache inakupasa ujue utoshelezi/ujumla wa kitu husika ili hata kikimegwa ujue kiasi kilichomegwa..

hicho kitabu cha biblia kwanza kinamapungufu maana kuna vitu vinaonyesha vilikuwepo kabla ya huyo Mungu.. maji,giza,space.
 


Kweli kabisa mababub zetu mbona hawakuwa dini na waliishi vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…