Clemence Baraka
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,694
- 650
Ndugu yangu endelea na utafiti wako. Umejitahidi sana usikatishwe tamaa. Mifano uliyotoa ya jinsi Mungu anahusishwa na moto katika matendo yake haihitaji wala sayansi kubwa sana. Ni busara tu.Mkuu mimi nipo tofauti na wengine maana sitafuti Waumini wala wafuasi ni utafiti sitafuti umaarufu nataka mjue Mungu yupo wapi na kwanini duniani Mungu hawezi kuja tena wala kutuma mitume wake.
nambie maana ya hivi vitu roho ni nini..? nafsi ni nini..? na kazi ya roho na nafsiHUWEZ MPANGIA MUNGU.KWANI WEWE ULIMUOMBA AKUUMBE AU YEYE MWENYWE ALIAMUA AKUUMBE.KABLA YA WWW KUZALIWA UNAJUA ULIKUWA WAPI?HUO NI UWEZA WAKE.YEYE NI ALPHA NA OMEGA
Biblia inasema hivi
Mungu alimuumba binadamu kwa mfano wake inamaana mungu naye ni binadamu
Kama sisi
Swali linakuja je huyo binadamu aliye uumba huu ylimwengu alivipata wapi vitu vya kuumbia huu Ulimwengu wote na wakati huo inaonyesha nayeye aliumbwa?
Basi hata haya tuyaonayo hakuna aliyeyaleta. Vipo, vilikuwepo na vitaendelea kuwepo.H
Hakuna aliye mleta, Mungu ni nafsi tukufu iliyo hai Ipo na ilikuwepo na itaaendelea kuwepo milele na milele Nafsi HAIFI wala yeye Ni mwanzo na mwisho
Kama hakuna anaemjua mungu kwa kutumia akili yake, ninyi mmemjuaje sasa wakati kila mtu anatumia akili yake?ndo mana nikakwambia hauwez kumjua mungu kwa kutumia akili zako.na hapo ndo nikauita utafiti wake uchwara.akasome kitabu cha dini yake atajua kumuhusu mungu.sio kutumia akili zake anatudanganya
Kwahiyo kama uzima wa huyo mungu upo kwenye nyota za juu, siku hizo nyota zikifa na yeye ndio chali [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu hii sio dini ni tafiti ya kisayansi vilevile imeshilikisha vitabu vya dini soma vizuri Je musa hakuongea na Mungu na Mungu akiwa katika hali ya moto. Musa anakuta kichaka kinawaka bila kuteketea anakisogelea na kuambiwa HAPA NI MAHALI PATAKATIFU VUA VIATU , JE kwa akili yako moto ni takatifu? Mkuu huyo mungu ni moto na anaishi katika moto MOJAWAPO YA NYOTA ZA JUA NDIMO ULIMO UZIMA WA MUUMBA WETU.
Kakuuliza munguweww unafikir hii dunia na vyote vilivyo. vimejitengeneza vyenyewe?
Ametokana na nanii. Mungu ametokana na nini?unajua www umetokana na nini?
Mimi sina dini na wala sio mpagani ninamashaka sana na hizi dini na ninaona ni kama utumwa
Na ninaamini walioleta hizi dini ndio wapagani na tena wanadhambi kubwa sana
Kwasababu leo hii watu wanauana na kubaguana kwaajili ya hizi dini kabla hizi dini hazijaja watu walikua wanaishi vizuri kwa upendo.
ulishawahi kumuona..?
hapa duniani kuna mungu wengi yupi mungu wa kweli..?
kwa mujibu wa maelezo yako binadamu tumeumbwa na mungu na mungu kaumbwa na nani..?
kama alijiumba mwenyewe alianzaje ktk sehemu isiyokuwa na kitu(tupu)..?
ulishawahi kumuona..?
hapa duniani kuna mungu wengi yupi mungu wa kweli..?
kwa mujibu wa maelezo yako binadamu tumeumbwa na mungu na mungu kaumbwa na nani..?
kama alijiumba mwenyewe alianzaje ktk sehemu isiyokuwa na kitu(tupu)..?
mungu hana namna ya kumwelezea.tusije tukakufuru.ila binadamu wa kwanza aliumbwa kwa udongo.wa pili kwa ubavu.na wa tatu aliumbwa kwa manii.ndo mpaka leo hii.Ametokana na nanii. Mungu ametokana na nini?
binadamu ni kiumbe mwenye ufahamu kupitia ufahamu huo tukiangalia mazingira tunayoishi tunaona vitu tofauti mf;wanyama,mimea,jua,mwezi n.kHivi kwanini watu wanaamini mungu japo wewe unaona kuna utata? Yani katika mambo yanayofanya hadi watu waamini mungu je,wewe unayo majibu ambayo yatatoa ufafanuzi kwa hayo mambo yenye kuwafanya watu hadi waamini mungu ili huu utata usiwepo?
Kwa sababu kuuliza aina ya maswali hayo unayouliza haijawahi kusaidia kuonesha hakuna mungu.
binadamu ni kiumbe mwenye ufahamu kupitia ufahamu huo tukiangalia mazingira tunayoishi tunaona vitu tofauti mf;wanyama,mimea,jua,mwezi n.k
kwahiyo vitu hivyo vinatufanya tuwe na maswali ya kujiuliza je ni nani aliyevifanya hivi vitu..?
je ni nani kaniumba..?
sasa kwa maswali kama haya mtu huanza kuhisi/kuzani kwamba kuna kiumbe ambacho kimetengeneza/kuumba hivyo vitu kiumbe huyo ndo huitwa mungu.
utata wangu ulipo ni juu ya hili swala je huyo mungu yeye katokea wapi..?
kwanini tunawaza hivi vitu tunavyoviona vimetengenezwa/kuumbwa na kiumbe fulani..?
Binafsi haiotoshi kwa kujiangalia nilivyo alaf ndo niseme kuna mungu
nisengeuliza kama ningekuwa na majibuSasa wewe majibu yako ni yapi kwa hayo maswali?
mungu aliumbwa na nani..?
kama hakuumbwa alijiumbaje au alianzaje mahali pasi na kitu/tupu..?
kwanini yupo..?
jibu hayo kwanza