Hana budi kujiongeza.Na hiki ndicho kinachofanya diamond asipige hatua za hapo , inabidi achukue maaamuzi magumu ya kuachana na tale bila hivyo itakula kwake kama vile Tip Top connection ilivyokula kwao
pengine uliwazalo linaweza kuwa sahihi au lisiwe sahihiHiyo avatar mbona inafanana na ya mtu mmoja aliyekuwa akiitumia humu?
Bila shaka ni multiple I.D nahisi ile i.d nyingine ilipigwa life ban au ban ya miezi 6...
Naamini kwa upande mmoja nipo sahihi...pengine uliwazalo linaweza kuwa sahihi au lisiwe sahihi
sawaBora wazidi kupandisha tu bei za MB kwa utumbo huu ni wazi tumevamiwa na watumiaji wa Instagram na Facebook humu
OkNaamini kwa upande mmoja nipo sahihi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Babu talent...
[emoji28] Ajira Mkuu hio ....Vipi we ni meneja mpya , unaomba kazi?
[emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana bhana mimi sio kama bwana yule
Okay..nashukuru kwa maelezo murua.Wapo wengi kila mmoja na kazi ake wale wakina tale na fela wao soko la ndani ndo kazi yao nje sallam pamoja na collabo kubwa z kimataifa kwa soko la ndan media zote had upite kwa tale na fella ko hawez waacha
nimepigwa ban[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Acha uzushi
Weka bank statement zao hapa
Ndio maana unapigwa bani za miezi miezi.
shukraniNone sense post! With no evidence ,with no proof.kikwwli umepost utumbo
Tena unavyotumia hivyo viemoji ndio kabisa unajidhihirisha kwamba ni wewe.nimepigwa ban[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
mimi ni mgeni mkuu
nani huyo mkuu?Tena unavyotumia hivyo viemoji ndio kabisa unajidhihirisha kwamba ni wewe.
sawastory yako fake bro!
Acha uongo , angalia kwanza ngozi ya hiyo unayemuita mnyonyaji na halafu angalia ya mnyonywaji, hiyo unayedai anamyonya mwenzake kapauka na kusinyaa kama ngozi ya goti, halafu mcheki Simba anavyonawiri kama anakunywa maji ya nido muda wote.Amini usiamini meneja wa mwanamuziki Naseeb Abdul au diamond platnumz kama anavyojulikana na wengi aitwae Hamis Taletale al maarufu kama babu tale ana pesa nyiingi saana kuliko diamond platinum
Najua hili litakuwa jambo ambalo si rahisi kuamini lakin ukwel ndio huo
Babu tale ana mnyonya sana diamond platinum kuliko msaada anaoutoa kwake kwenda kwa diamond
Ili diamond aendelee inabidi aachane na babu tale kwani hapo alipo hana uwezo wa kumvusha zaidi ya hapo
Diamond kwa sasa inabidi aangalia mameneja kutoka nchi nyingine kwani hawa alionao haswa babu tale hamna cha maana wanachomsaidia zaidi ya kunenepesha matumbo yao
Yani inafika kipindi mpaka nahisi babu tale ana tumia kizizi kumfubaza diamond ili diamond aendelee kuwa naye si akili ya kawaida kwa kweli yani kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia bila diamond kujua
Tale kwa sasa bora aendelee kuwa na akina harmonize ,mavoko na rayvan lakin si diamond tena kwa kweli bila hivyo diamond itakula kwake hatopiga hatua zaidi ya hapo
View attachment 466186
View attachment 466187