Ukweli wabainika ,Babu Tale ana pesa chafu kuliko Diamond

Ukweli wabainika ,Babu Tale ana pesa chafu kuliko Diamond

Hiyo avatar mbona inafanana na ya mtu mmoja aliyekuwa akiitumia humu?
Bila shaka ni multiple I.D nahisi ile i.d nyingine ilipigwa life ban au ban ya miezi 6...
pengine uliwazalo linaweza kuwa sahihi au lisiwe sahihi
 
Jamani Mashabiki angalieni......MTU unakuwa na hisia adi kupitiliza za muhusika juu ya maisha Yake...
 
..
Wapo wengi kila mmoja na kazi ake wale wakina tale na fela wao soko la ndani ndo kazi yao nje sallam pamoja na collabo kubwa z kimataifa kwa soko la ndan media zote had upite kwa tale na fella ko hawez waacha
Okay..nashukuru kwa maelezo murua.
 
Amini usiamini meneja wa mwanamuziki Naseeb Abdul au diamond platnumz kama anavyojulikana na wengi aitwae Hamis Taletale al maarufu kama babu tale ana pesa nyiingi saana kuliko diamond platinum

Najua hili litakuwa jambo ambalo si rahisi kuamini lakin ukwel ndio huo

Babu tale ana mnyonya sana diamond platinum kuliko msaada anaoutoa kwake kwenda kwa diamond


Ili diamond aendelee inabidi aachane na babu tale kwani hapo alipo hana uwezo wa kumvusha zaidi ya hapo


Diamond kwa sasa inabidi aangalia mameneja kutoka nchi nyingine kwani hawa alionao haswa babu tale hamna cha maana wanachomsaidia zaidi ya kunenepesha matumbo yao


Yani inafika kipindi mpaka nahisi babu tale ana tumia kizizi kumfubaza diamond ili diamond aendelee kuwa naye si akili ya kawaida kwa kweli yani kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia bila diamond kujua


Tale kwa sasa bora aendelee kuwa na akina harmonize ,mavoko na rayvan lakin si diamond tena kwa kweli bila hivyo diamond itakula kwake hatopiga hatua zaidi ya hapo




View attachment 466186



View attachment 466187
Acha uongo , angalia kwanza ngozi ya hiyo unayemuita mnyonyaji na halafu angalia ya mnyonywaji, hiyo unayedai anamyonya mwenzake kapauka na kusinyaa kama ngozi ya goti, halafu mcheki Simba anavyonawiri kama anakunywa maji ya nido muda wote.
 
Back
Top Bottom