Ukweli wabainika ,Babu Tale ana pesa chafu kuliko Diamond

Na hiki ndicho kinachofanya diamond asipige hatua za hapo , inabidi achukue maaamuzi magumu ya kuachana na tale bila hivyo itakula kwake kama vile Tip Top connection ilivyokula kwao
Mkuu hizo ni stori kma stori zingine,show zote za nje salam ndio mhusika huyo tale hata kuandika email kwa msaanii wa nje kupata kolabo hawezi,pesa anapata ila sio kihivyo
 
SHILAWADU SHILAWADU. ....
 
hance mtanashari nilikumiss saaaana nitafute 0713800880 hahahahaha
 
Na kabla ya kuwa na babu Tale Mondi alikua na pesa kiasi gani?
 
Hiyo kweli Hiyo.

Dimond gari yake X6 used alipewa zawadi na Babu Tale otherwise angeendelea kuendesha Morano yake.
 
Cash ya mtu inakadiriwa kulingana taslim na vitegauchumi/money worthy can you verify?
 
Mtoa mada hujui ata unachokiongea,
Babu tale hafukii hata nusu ya utajili wa Diamond japokuwa no manager wake.
Diamond ana nyumba 7 DSM peke take achana na ile south Africa , babu tale ananyumba 2 tu.
Katika vitu diomond ana nidhamu navyo ni Pesa.
Tarehe 11 Feb anafanya 40 ya mwanae kuna makampuni zaidi ya 5 yameshadhamini hatoi pesa take benk
GSM
Cocacola
Vodacom
Babyshop
Clouds
Dizzim
 
Ndio maana ukitaka mkopo hawaulizi kwenye a/c unakiasi gani au una gari ngapi ila watauliza maliisiyohamishiks e.g. land/building
 
acha umbumbumbu hivi angewezaje kuwa meneja wake kama hajamzidi kipato??
 
Tale mtalaam wa vizizi sana huyo......mtu mpaka kaikimbia tiptop unaleta masihara nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…