Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara


Nilikuuliza umeusoma ujamaa wa Ki marx , hujanijibu , nikakuambia CCM Haifuati kabisa umarxism Na umejibu kuwa wanashabihiana. Sasa niambie wanashabihiana katika nini ?

Halafu unaleta mambo ya ZNZ Na wanawake , kwani huelewi Kuwa ZNZ ilivamiwa Na Tanganyika kuanzia 1964. Na Tanganyika imeweka majeshi yake kila kipembe.
Ubaguzi uko wapi zaidi ya kudai Nchi yetu kutoka kwa mvamizi ? Na nyinyi ndio mnaotuulia ndugu zetu kuanzia nyinyi waislamu Ma Alhaaji Mahita , Mwinyi Na wengine

Yaani mapenzi yenu kwetu ni kutuuwa, kuwanajisi mama Na dada zetu , kututia vilema Na kutuwekea vibaraka viongozi Tu halafu unalalamika tunawabagua?
 
Basi kama ni hivyo hao weusi wenzetu ndio walitutesa vilivyo
 
Ndugu yangu.

Kama nilivyotangulia kufafanua kabla. Ujamaa ni imani.

Kwa lugha ingini Ujamaa ni imani ya upagani ambayo siku kuu ya kwanza ni kutoamini uwepo wa Mungu.

Hivyo wanahamasisha zaidi mambo ya ushetani na kudidimiza masuala ya Mungu/dini.

Kwa urusi ya miaka hivyo ukristo ndio uliokandamizwa. Kwakuwa ndio uliokuwa unatawala.

Kwa tz jamii zinazolalamika kukandamizwa na ujamaa ni wahindi na waislam.

Ujamaa ni upagani nani ukafiri uliojipambanua.

Waznzr wanawake wanajeshi ambao kimsingi ni waislam kutokuwa na code ya mavazi maalum yenye stara na sawa na Uhuru wao wa kuabudu ni kwa kuwa Tz ni haichanganyi dini ktk kughuli zake za serikali.

Lkn ukifanya utafiti utagundua Luna ubaguzi na ukandamiza Fulani upo Tanzania uliojificha ktk dhana hii.

Kama nilivyosema kabla ktk tafiti zilizofanywa na taasisi zenye kutambuliwa; zinatanabahisha kuwa nchi nyingi kama si zote inazojipambanua hazina dini; zinapendelea dini moja na kukandamiza dini nyengine.

Kwa kuandamiza nguvu na thamani ya baadhi ya jamii zisikuwe na kuenea.

Ndio maana mikoa yenye waislam wengi imedumaa,

Si kwakuwa walishiriki kufanya uchafuzi znz kama ulivyochotwa na kutengenezwa akili yako.

Ccm iliamua kutumia jinamizi hili na Ujamaa na usekula ili kufififsha baadhi ya jamii.

Na msingi ya kutokuwa na dini kwakuwa Tz imetokama nadhania ya Ujamaa/Marxist kupitia Azimio la Arusha.

Huu ndio uhusiana wa ujamaa na umax/ukomunist.

UK ambayo inajipambanua kwa dhana ya Serikali jumuishi (diversity state) inaruhusu askari kutoka jamii za waislam, singasinga, wayahudi kuvaa mavazi au alama sawa na ibada za dini zao. Kwann tz iwe tatizo.

Sasa kutokana na athari ya ujamaa hata wewe ndugu yangu unashindwa kutambua adui yako aliyesababisha madhila kwa baadhi jamii zinazounda taifa la tz.

Madhila yenu hayajatokana na watanganyika. Kwa maana kuwa mtanganyika hakusababishi kumdhulumu mznz.

Bali madhila yenu yanatokana na mfumo na itikadi ya ujamaa ambayo kimsingi haiamini Mungu wala dini.

Ni itikadi inayofatwa na CCM na ACT kwa sasa.

Ni mfumo wa ubaguzi. Ambapo jamii moja (washiraz kwa mfano) wanaweza kubaguana kwasababu tu wamelishwa ujamaa.


Wajamaa hawajaathiri waznz pekee, wajamaa walilenga kuwaathiri jamii za waislam, waarabu na waasia.

Huku bara wamedhulumu majumba yanayofahamika Leo kama majumba ya msajilo, wamedhulumu mashule ambayo mengi yalikuwa ni ya waasia.

Miaka ya 90 ulitokea mgogoro mkubwa huku bara pale waislam waliposhinikiza wanafunzi wa kike waislam wavae hijab. Kwakuwa katiba inaruhusu Uhuru wa kuabudu. Serikali kwanza i ilipinga kuwa haiwezekani kutekeleza takwa hilo la kikatiba kwa kuwa tz haina dini.

OIC kule znz nayo ilipingwa si kwakuwa znz inatawaliwa na watnganyika, Bali kwa kuwa tz kuna jinamizi la kuwa haina dini.

Mifano iko mingi na sababu kuu kuna jinamizi linalolitwa tz haina dini.

Iliyotokana na nadharia na itikadi ya ujamaa/ usekula ambapo msingi wake ni ukomonist/Marxism.

Usiponielewa hapa ndugu ukaendela na msimamo wako Wewe utakuwa ni mjamaa halisi unaependa ubaguzi na matendo ya wapagani, mashetani kuliko undugu wa kiislam na watanganyika wengine walio wema
 

Ujamaa ni imani maneno hayo Si uliyasikia kwa Nyerere? Ndiyo nikakuuliza Ulisoma u Marx hujajibu bado ,
Nyerere ndiye kaanzisha u Marx ?

Huo u secular unajua ni kitu gani ? Ulisoma chuo gani ?
Undugu wa Kiislamu ndio huu wa kutuwekea majeshi huku Zanzibar kila kipembe Na ulifika uchaguzi kuja kutuuwa ?
Hujajibu hata moja?

Hao vibaraka mliowaweka Si ndio hujifanya kutaka IOC wapate kudanganya watu. Na wengine Si hawa Ma Alhaaji Mahita Na Kina Mwinyi wanaoua watu baadaye kujifanya kuingia misikitini ??
 
Nimesoma umarx ndugu, sijakurupuka.

Nyerere ameuleta ujamaa kwa kuucopy ukomonist kutoka urusi na China.

Usekula nimeufanyia tafiti na naendelea. Tunaweza kutofautiana kwa kuwa kwass dhana ya usekula ina maana mpya. Lkn original yake ni kukataa uwepo wa Mungu.

Niliandika kabla, tawala zote ulaya na arabuni ziliongozwa kwa misingi ya dini. Lkn kwa ulaya mambo yalibadilika sana. Maisha yaliwawia magumu huku viongozi wakiishi kwa starehe kupindukia. ndipo wakaanza kujiuliza huyu Mungu anawaona viongozi tu sisi hatuoni. ?!?? Matatizo yote hawa huyo Mungu kama yupo hayaoni.

Mwisho wakajitokoza kina lina Lenin, Marx na wengine kukanusha. Wakasema hatuhitaji tena serikali za kidini Bali wataanzisha serikali za kisekula. Kwa ufupi hii ndio historia ya usekula.

Nb: kwa kuifanyia utafiti dhana ya Usekula nina azma ya kufungua shauri mahakamani kwa kesi ya kikatiba. hoja ikiwa ni kuwa dhana kuwa taifa hili ni la kisekula linakinzana na sheria nyengine. Ile inatoyoa Uhuru wa watu kuabudu.

Na kwa kutumia jinamizi hili la usekula, watu wanakosa Uhuru wa kuabudu. Mfano hao dadazetu wa kiislam walioko jeshini.
 

Umeusoma wapi umarx ? Jee a uliwahi kuishi nchi yoyote inayofuata u Marx nje ya Afrika ?

Umetuambia Nyerere amekopi umarx kutoka China Jee ni wapi alitamka au aliandika maneno hayo ??
Tafdhali lete ushahidi

Pia lete ushahidi wa usecular kupinga uwepo wa Mungu
Kwa maandishi ya kitabu kipi ??

Historia yako ya usecular umeitoa kitabu kipi ??
 
Kwa uvivu wenu wa kutokufanya kazi Yani nyie shukuruni sana Tanganyika mgekua Kama komoro tu mnashindia boflo
Samahani sijakulia sana mtaani una maanisha nini?

Ni mimi Mtanganyika mwenzako.
 
Elimu hata mleta mada anayo. Kibaya zaidi Ni Elimu ya dini.

Happ anachotafuta Ni kuwasafisha WAARABU ionekane walikuwa watu wema sana
Hawa mimi huwa nawashangaa sana! Ukiwakuta wapemba weupe ndiyo wanajiona waarabu kabisa. Hata ukiingia Msikitini utakuta wanajitenga wanakaa na waarabu ikiwa kama huo Msikiti una waarabu.

Walikuwa wananikera sana! Nikasema hawa manina hawanijui kama wanaringia weupe mimi mwenyewe nina rangi kama ya kwao niliwalia buyu mpaka wengine walisema najisikia.

Kama mmoja nilitamka karibu yake nikawaambia mnanikera sana. Hususani hawa waarabu koko.
 
Nafikiri kuna haja ya kuvunja muungano,
Hivi inamana wazanzibar akili zao ziko hivi???.
 
Napenda watu anaopenda kutafuta usahihi. Hata Mimi nipo ktk ulimwengu huo.

Nipo huru kusahihishwa pia kwa hoja ya nguvu.

Hata hivyo nitajieleza kujibu suali la tatu kwasasa. Kwani kutaka ushahidi iwapo mzee nyerere kabuni yeye mwenyewe mfumo wa ujamaa au alikocopy. Hilo sitokujibu. Kwakuwa huenda umezaliwa kipindi cha mwinyi au mkapa hivyo hats wazee mtaani kwako watakujibu. Waulize tu kwann znz kuna masalia wa wachina.
Kwann kuna uwanja wa Mao.
Kwann tz ktk vita baridi ilikuwa upande wa mashariki kwa vitendo.

Jibu la suali la tatu.
Ili (concept) iweze kukuingia ni muhimu kwanza ufahamu uhusiano kati ya dini na Mungu. Na kwamba kukataliwa kimoja wapo manake kingine pia hukataliwa.

dini ni imani ya kuwepo nguvu kuu. Anaekataa dini manake anakataa uwepo wa nguvu kuu.

Je Usecular unapinga uwepo wa Mungu?!?




 
Umeusoma wapi umarx ? Jee a uliwahi kuishi nchi yoyote inayofuata u Marx nje ya Afrika ?
Umarx nimeusoma.

Professional yangu nimesoma about Religion.

Sio Islamic religion but religion.

Hivyo so haba nafahamu misingi ya baadhi ya dini as a way of life.

Nimesoma pia njia za uchumi kwa mujibu wa Maxirst na Islam.

Ktk somo la political science. Lkn pia naendelea kusoma kupitia mitandao.

 
Hadi leo unyanyasaji unaendelea huko uarabuni.

Kuna watu wanajidai eti wana dini moja na waarabu hivyo wanapeleka mabinti zao kufanya kazi za ndani uarabuni.
Kinachowakuta huko Mungu ndiye anajua.Mmoja majuzi hapo alitolewa figo wakasingizia amekufa kwa ajali.
Wengi nanaingiliwa bila ridhaa zao na akipata ujauzito anauwawa kimya kimya,huku ndugu zake huku Afrika wakijua binti yao bado yu hai.
Ila tunavyojipendekeza kwa hawa viumbe,kwa kweli inasikitisha.
 
Kuf.rw na kubadilishwa jina kipi nafuu
 
Sasa hivi tuna Mwarabu mweusi anaitwa CCM.
 
Iraq sio waarabu.
Na historia ya Iraq mtu wa kwanza kujenga ufame mkubwa alikuwa mtu mweusi maarufu kama Nimrod.

Waarabu wako uarabuni.
Aliyekudanganya uarabuni hakuna masalia wa kiafrika ni nani? Umewahi kufika Iraq?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…