Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

Mbona umepoint iraq..kumbuka hiyo ni mesapotamia..tuongelee saudia na oman.

#MaendeleoHayanaChama
Mwarabu sio mweupe,ni mweusi,ukmuona mweupe,huyo ana asili ya mchanganyiko wa mabibi wa kizungu wa mashariki ya Ulaya na mwarabu(ambaye asili ni mweusi).Hao Waarabu weupe,ni.machotara wa mabibi wa kizungu na waaarabu(wa asili,weusi).Angalia Sudani,wale ndio Waarabu sio machotara wa kiarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanatakiwa wajue watu wowote wa Zanzibar walitoka huku bara.. haiwezekani walichipuka kama miti. Nashangaa watu wengi wa Zanzibar wana mentality za "kitumwa" wanakataa asili yao kuwa wametoka huku bara kutoka kwenye makabila kama wanyamwezi na wamanyema
 
Watu wanatakiwa wajue watu wowote wa Zanzibar walitoka huku bara.. haiwezekani walichipuka kama miti. Nashangaa watu wengi wa Zanzibar wana mentality za "kitumwa" wanakataa asili yao kuwa wametoka huku bara kutoka kwenye makabila kama wanyamwezi na wamanyema
Ukiachana na historia ya kwenye vitabu, nimepata bahati ya kufika Zanzibar na kutembelea Soko la zamani la watumwa. . .niliyojifunza pale hakika nilisikitika, ndipo nilipoamini Waarabu (wa zama hizo) hawakuwa na utu kabisa, kuanzia kuwachukua watumwa bara na kisha kuwaleta Zanzibar,(enzi hizo bandari ipo Mangapwani) kuwafunga kwenye mti na kuwachapa mijeledi na mtumwa ambae halii ndio anaonekana mkakamavu...

kisha wanapelekwa mpaka sehemu ya kutunzia watumwa (ipo mpaka leo) ambako wanafungiwa kwa siku 3 bila chakula wala maji!!!,(kumbuka minyororo mizito bado mmefungiwa nayo mikononi, miguuni na shingoni) kisha ndio mnatolewa ambao atakutwa amekufa anatupwa na waliobaki wanaenda kuuzwa.

Ikitokea katika kundi la watumwa wa kike wanaouzwa tajiri akitaka “kuonja" alikuwa anachagua mmoja na kumfanyia hiko kitendo hapo hapo hadharani. (kama ambavyo mnafahamu wanaume tulivyo , mwenzako akifanya kitu nawe unataka kufanya, mfano katika kundi mmojà akisogea pembeni na kufungua zipu ili achimbe dawa utakuta wawili watatu wanaungana naye kufanya hivyo, hata walipokuwa wanatwaa mtumwa mmoja wa kike na kumfanyia ushenzi, basi wengine nao waliungana kufanya ufedhuli huo kwa wengine kwenye kundi hilo)

Watumwa waliteswa sana, sana , sana!!! na hao waarabu ambao leo hii watoto wao tunaishi nao kwa amani.

Cha kusikitisha zaidi ni kitendo cha kuwahasi watumwa kiume waliosafirishwa kwenda Arabuni( walienda maelfu lakini mpaka leo hii jiulize kwanini hakuna masalia ya weusi kama sio ukatili wa waarabu ambao waliwahasi bila taratibu za kitabibu, yaani wanakata hizo gololi kisha unapakwa chumvi nyingi, na kutokana na kuvuja damu nyingi wengi walikufa, wachache waliobahatika kupona waliuzwa arabuni kwa hela nyingi, walivyoona wakubwa wanakufa sana basi wakawa wanawahasi watoto).

Bado ambao walikataa utumwa na kuleta uasi njiani waligeuzwa na kuf**lwa mbele ya watoto na wanawake, ili kuwafanya wajisikie majuto, na hata walivyokuwa wanasafiri na majahazi ilikuwa ni desturi ya waarabu kuwachukua watumwa wa kiume na kuwageuza ili kukidhi haja zao.

hivi vyote vilifanyika na historia ipo fika Zanzibar au hata Bagamoyo soko la watumwa uone historia, picha na vithibitisho vingine kuhusu ufedhuli huo waliofanyiwa mababu zetu (leo hii tunacheka nao hakika mababu zetu wakifufuka watasikitika sana).

Dini hizi hizi tulizoletewa tunafundishwa kusamehe waliotukosea, ilhali waliotuletea hizo dini walitufanyia ukatili huku tukishuhudia nasi tunachekelea kama mazombi. Tuishi kwa amani, tupendane na tusonge mbele tukitaka kuleta habari za historia na tuzibebe chuki za mababu zetu basi tutachukiana daima na tutauana.

Japo Muingereza alikomesha utumwa wa waarabu lakini naye alitesa manamba mashambani, Mbelgiji aliua watu wengi kongo, na mkaburu aliangamiza vizazi Afrika kusini, Huu ushenzi tuliofanyiwa waafrika ni mkubwa lakini tumesamehe na tuishi kwa amani bila kubaguana ila!!, nasisitiza tena ila tusisahau na tuwaeleze vizazi vilivyopo na vijavyo namna ambavyo mababu zao walipitia mateso makubwa ya wadhalimu waliokuja ili kutimiza haja za nafsi zao.
Sio kweli,hizi ni habari zilizoandikwa na watu wenye chuki na wengine.Mwarabu,asili take ni mtu mweusi,ni baada ya kuoana na wazungu,wa mashariki ya ulaya, ndio kukapatikana hao weupe,mnawaita waraabu,hao weupe ni machotara wa mwarabu mweusi(wa Rangi ya asili) na Mwanamke mzungu wa ulaya ya mashariki.Na waarabu wa asili(weusi)ambayo mbabu zao,hawakuoana na wazungu wa mashariki ya ulaya,wapo,tena wengi na Wana miji yao.Kwa hiyo mwarabu(wa asili aliye mweusi)na ndio mwarabu mwenyewe,hawezi kufanya hayo uliyoyaandika.

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waarabu na Wazanzibari ni ndugu wa damu na wa asili kabisa maana Waarabu ndio walioleta ukombizi kwa Taifa la Zanzibar.

Waarabu ndio watu walioweza kuishi kijamii pamoja na Wazanzibari kwa miaka mingi hadi kuchanganya damu na Wazanzibar walio wengi na kuishi km jamii moja tena kwa upendo kabisa.

Waarabu ndio walioipa Nchi ya Zanzibar hadhi na heshima kimataifa na kujulikana kama ni nchi, bila ya Waarabu hata hao Vibaraka CCM-ZANZIBAR wasingeweza kupata nyadhifa mbali mbali za utawala hapo Zanzibar badala yake wangekua tu ni watu dhalili kwenye mkoa wa Tanganyika.

Kwahiyo ni wazi kuwa Waarabu walikuja Zanzibar kwa ajili ya ukombizi na kuwasaidia Wazanzibari waweze kuwa watu wenye hadhi na kuheshimika dunianiani kote.

Mwarabu hivi sasa ndio anaeijenga Zanzibar sijamuona Mtanganyika akija kuekeza Zanzibar sekta muhimu kama bandari kujenga majumba viwanja vya ndege naona mikataba imetiwa na waarabu sijamuona hata mtanganyika mmoja au.

Tusisahau fadhila kwa Uchu wa Madaraka na Njaa. WENYE AKILI WAMESHANIELEWA!!

Na anaebisha Abishe kwa Hoja na sio Porojo
Kisa kakununulia noah baada ya kumpa lift bas mwarabu kawa mtu.
 
Mwarabu ni mtu mweusi.Hao unao waona weupe ni machotara(mchanganyiko wa mabibi wa kizungu wa masahariki ya Ulaya,walioana na waarabu(weusi na ndio ramgi ya muarabu. .Hata mzungu,hamuiti mwarabu ni white,anamuita black.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mwarabu ni black 😂 yellow, Caucasians, white, blonde nk kulingana na hiyo history unayosema Ila an indigenous Arab sio black Wala white Ila anakuwa a little dark skinned but not black.

As you have said about crusade na hizo intermarriage ndio zikazaa waarabu wa aina mbalimbali Kama levantine (Lebanese) nk ukiangalia wanategemeana na damu ya kizungu waliyochanganyika nayo Ila mwarabu haswa ni Kama wale wapakistani kwa rangi sio white au black.

Sasa hata waarabu waliyochanganyika na waafrika ambao wapo north afrika pia sio black au white Ila dark skinned.

So mwarabu sio black as wazanzibari mnavyotaka kujiita nenda Oman tafuta mwarabu anayefanana na Seif Khatibu au Shamsi Nahodha😂😂

Hakuna mwarabu mweusi Kama Mimi nawe bana. Hata hao wapemba ni wamanga Koko tu sio waarabu ni mama zao walikamatwa na waarabu kwa nguvu
 
Kwani aliekuwa anawahasi waafrika ni nani?? au unapinga kuwa watumwa walikuwa hawahasiwi?? unazungumzia Iraq wakati mtawala wetu alitoka Oman?? niambie kuhusu Oman ambako tunasema ni nchi yetu mama
Wewe ndo wale wajinga wanaamini kuwa siku moja Oman itakuja kutawala tena Africa 🚮🚮🚮
 
Kaowe Mwera, Pemba, fuoni,, hapo ntajua kama ww ni mtanganyika kweli lkn unaowa watanganyika wenzio waliokuja na mbio za mwenge halaf unajitapa umeoa mzenji😂
Ni bora Tanganyika tunavyowatawala nyie watumwa wa waarabu
 
Mwogope Allah , haya uliyoyaandika ukitakiwa Utoe ushahidi unaweza kuuleta ?
Haya nisaidie wewe kutoka utawala wa wenyeji weusi ama zenj people, Mwinyi mkuu na sirikali yake mpaka kuhamisha makao makuu yake Sultan Sayyid said mwarabu ,mwaka 1832 kutoka kwao Muscat Oman, kulikuwa na mkataba wowote wa makabidhiano ama ugaidi uitumika kutuvamia?
Tuanzie hapo kwanza
 
kwa hyo unataka kusema mapinduzi yalikuwa sahihi.?
Naam, wakwezi , wavuvi na wakulima wenyeji wa asili ya visiwa vya pwani ya watu weusi ama Zinjbari ndio waliwapindua wavamizi kutoka bara Arabu khususan Muscat Oman, vitukuu vya yule dhalimu Sultan Sayyid Said bin Sultan aliyepindua utawala wa Mwinyi mkuu huko nyuma mnamo miaka ya 1800
 
Haya nisaidie wewe kutoka utawala wa wenyeji weusi ama zenj people, Mwinyi mkuu na sirikali yake mpaka kuhamisha makao makuu yake Sultan Sayyid said mwarabu ,mwaka 1832 kutoka kwao Muscat Oman, kulikuwa na mkataba wowote wa makabidhiano ama ugaidi uitumika kutuvamia?
Tuanzie hapo kwanza
Haya maneno yako uliyasoma kitabu gani au ulikuwepo siku hizo au ulimsikia nani ??
 
Walioipindua Zanzibar ni wazanzibar weusi au watanganyika wakisaidiwa na Bibi was uingereza?
Naam, wakwezi , wavuvi na wakulima wenyeji wa asili ya visiwa vya pwani ya watu weusi ama Zinjbari ndio waliwapindua wavamizi kutoka bara Arabu khususan Muscat Oman, vitukuu vya yule dhalimu Sultan Sayyid Said bin Sultan aliyepindua utawala wa Mwinyi mkuu huko nyuma mnamo miaka ya 1800
 
 
Njoo ni kutie mimba uone..faida ya kuzaa na mtanganyika uondokane na huo ubaguzi..

Katika ukoo wetu hatuwezi kuchanganywa na mitwana inayokula sembe, kule tabora kumejaa waarabu lakini licha ya kuzaliwa tanzania bara hawajawai kusubutu kuchanganya damu na mitwana, hem katafute singeli ucheze izo ndo zenu na kujaza baa
 
Duuuhhh.
Ubaguzi wa rangi ni ugonjwa mbaya kuliko kansa.
Waarabu na ibilisi alielaaniwa na Allah wanafanana sana, rejea kiburi cha kujiona bora kulikopelekea ibilisi wakati huo akiitwa azazil kulaaniwa.
Yaani Allah kaumba mtu , akamkamilisha na kumpa rangi nyeusi kama alivyokupa wewe rangi yako, kwa kiburi Chako unamkosoa Allah muumbaji kuwa kakosea .
Laana ya Allah iko juu yenu wewe na wabaguzi wa rangi wote.
 
Back
Top Bottom