Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Wajinga ni shida kufahamu kuwa hakukuwa Na Mapinduzi Yale ni mavamizi ya Laanatullahi Nyerere yakisaidiwa Na vibaraka vyakehuna ulijualo
Ni serikali ipi iliyopinduliwa pale Zanzibar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga ni shida kufahamu kuwa hakukuwa Na Mapinduzi Yale ni mavamizi ya Laanatullahi Nyerere yakisaidiwa Na vibaraka vyakehuna ulijualo
Ni serikali ipi iliyopinduliwa pale Zanzibar?
Ushasahau kama si wewe basi ni mfuasi mwenzio wa uoni huu muliotengenezwa.
Pole
Waarabu kutoka Oman ni wavamizi na wakoloni kama wakoloni wengine.
Tuliwaita kweli waje watusaidie kupambana na wareno tukiamini ni ndugu zetu katika imani, lakini baada ya kumshinda mreno wakakhini na kutugeuka, wakamuua kiongozi wetu Mwinyi mkuu na kila aliyekuwa katika sirikali ya wanawanchi wa Zanzibari weusi.
KAMA UNABISHA UTULETEE USHAHIDI WAPI SISI WANAWANCHI WEUSI WA UNGUJA NA PEMBA TULISAINI KUWAKABIDHI MAMLAKA YA VISIWA VYETU.
Hizo ni alama za mtu mnafiki na fisadi katika ardhi, akiaminiwa anakhini.
Wakatutawala kwa ukatili mkubwa na ubaguzi usio na mithali, tukawa watwana na vijakazi katika nchi yetu wenyewe hapa Unguja na Pemba, Wakatuchuuza kama nazi ama karafuu, wakawabaka wakina mama na dada zetu ili hali dada zao ikiwa ni marufuku kwetu wanawanchi weusi.
Ifikie mahala tuheshimiane, madhila waliyopitia wazee wetu tangu mwanzoni mwa mwaka 1800 mpaka 1964 , takriban karne 2 ni balaa na doa jeusi baina yetu na hao waarabu. Matusi ya rejareja kama haya pelekeni kwenye vikao vyenu mkiwa wenyewe sio kwenye kadamnasi kama hii ya vizazi vya waathirika wa idhilali ya waarabu.
Utumwa+ukoloni mkongwe= Mwarabu.
Hatujasahau bado ni miaka takriban 60 tu imepita, tangu tupindue na kurejesha uhuru wetu kama binaadamu.
baada ya waarabu kutukalia kimabavu kwa miaka takriban 130.
Hukuwa wewe, hata hivyo ulinga mkono aliyeleta hoja. Ndio maana unaungana ktk kutetea ubaguzi. Na kutoweza kuwabagua wanznz mabaladhuli kwakuwa tu ni waznzmwenyewe umejidhihiridha tabia zenu
Bado unaendelea kunipakazia, sawa labda ndiyo mafundisho uliyopataHukuwa wewe, hata hivyo ulinga mkono aliyeleta hoja. Ndio maana unaungana ktk kutetea ubaguzi. Na kutoweza kuwabagua wanznz mabaladhuli kwakuwa tu ni waznz
Umepotosha kwa kusema kuwa serikali ya CCM haiamini Mungu kwamba eti inafuata imani ya ujamaa.Mimi nakuelewa sana, na tatizo naloliona hutaki kuwataja waznz ambao ndio sehemu ya uharibifu wa znz, hutaki kuwashutumu walevi wa kiunguja na kipemba ambao ni sehemu ya uharibifu wa znz. Kwa mfano chanzo wa kikamatwa mashekhe wa uamsho ni waislam wa znz.
Lkn unawajeshimu kwa sababu ya uznzr wao pamoja ni walevi baadhi yao na kuwakashifu waisalam wa Tanganyika kuwa si lolote zaidi ya utanganyika wao.
Kubwa pemgine una upofu wa kutoelewa chanzo cha tatizo na kuwa na uoni huo finyu.
Nirejee lengo la historia si kuisoma na kujitengenezea chuki. Laa, Bali lengo kubwa la historia ni kujua matatizo na mafanikio ya nyuma ili Mimi na wewe tuweze kuiandika historia mpya itakayosomwa na vizazi.
Sasa hiyo mifano ya majina ya kiislam uliyoitaja waliyoyafanya hatuwezi kuyabadili. Lkn wanayoyafanya sasa sisi tunaweza kuyabadili.
Na ili uweze kubadili kwanza tujue chanzo cha tatizo hadi kuwa wako tayari kushirikiana na waislam wenziwao ambao ni waznz kuwaletea mateso na ukatili kwa waznz wasio na hatia. Je tatizo ni utanganyika.?!?!
Binafsi kwa utafiti mdogo nilioufanya na naoendelea kuufanya naamini tatizo si utanganyika.
Bali Ujamaa. Mwalimu Nyerere ktk maono yake alipata kutamka kuwa ujamaa ni imani. Na kama tunavyojua dini ni imani na hivyo ujamaa ni dini.
Hivyo kauli ya mzee Nyereee hakukurupuka. Kwani asili ya ujamaa ni ukomunist. Na ukomonist ni imani isiyoamini uwepo wa Mungu. Na kwamba wanaamini dini zinatokana na ufinyu wa kufikiri wa mwanadamu. Hivyo kutokana na uanzishwaji na uwepo was imani hii ya ukomonist (ujamaa ). waislam pia waliathiriwa na wanaendelea kuathiriwa na imani hii.
Na ili kukata mzizi was fitna serikali ikapigilia msumari kuwa serikali ya ccm haiamini Mungu na hivyo haiamini dini.
Huu ndio msingi was imani ya Ujamaa.
Kwa hiyo ukiniuliza kwa nini waislam was Tanganyika na wa znz walishiriki uhalifu na bado wanaendelea kushiriki uhalifu kwa jimbo LA znz, nitasema tatizo ni imani ya ujamaa.
Iliyowalevya na kuutumikia ujamaa zaidi kuliko imani ya asili yao (uislam) na kuwaona wapinga ujamaa na wasioshiriki imani ya ujamaa ni maadui zaidi kuliko watu wengine.
Sasa kama nawe uko ktk chama. Na misingi ya chama hicho ni itikadi ya ujamaa. Wewe nawe utaendelea kuwaona waislam wa Tanganyika ni maadui kwenu.
Kinyume chake tunaweza kuandika historia mpya. Kwa kuikataa itikadi ya kijamaa.
Kama kuna maeneo ndani ya znz ambapo muislam mtanganyika hawezi kupewa mke kwasababu yeye ni mtamganyika wao pia wameathiriwa na itikadi ya ujamaa.
Kwa kifupi ujamaa umeshindwa na ni adui yetu namba 1 tunaepaswa tumuondoe.
Tunaweza kuishi bila ujamaa kama ndio msingi wa itikadi yetu, pia tunaweza kuishi bila ubepari kuwa ni msingi wa itikadi yetu pale watu wema watakapoamua kushiriki siasa. Na kuanchana na wahuni na wajamaa watuongoze.
Watu wema wapo tz bila kujali imani wetu. Kwani ktk ulimwengu huu ambapo kuna makundi ya watu wenye mchanganyiko wa utamaduni na imani huwezi kujifungia na kudhani utaweza kuishi na watu wenye imani yako pekee. Huku bara hata baadhi ya misikiti inaajiri walimzi wa viatu wa imani nyengine. Maadamu hatuwashinikizi waamini tunayoyaamini sisi, wala wao hawatulazimishi tuamini wanayoyaamini wao.
Nimalizie kwa maneno machache ya kimombo yanayitofautisha aina za watu hapa duniani.
1. Kundi la Whats happen
2. Lets happen
3. Makes happen.
Kundi no 1. Linakuhusu unapemda kufatilia nini kimetokea.
Kundi no 2 ndio watz wengi wengine na hasa waswahili wao ni hewawa wacha yatokee.
Kundi no 3 wako wachache, wao wanataka kutengeza historia mpya. Ndugu yangu napenda ubadili ubongo wako ufikiri kama wanavyofikir Kundi la 3.
Kinyume chake nitakuweka ktkt kundi lililotengenezwa hadi kuzuzuka.
Nini maoni yako.
Kaka. Ukitaka kuijua siasa ya tz usisikilize wana siasa Bali soma katiba.Umepotosha kwa kusema kuwa serikali ya CCM haiamini Mungu kwamba eti inafuata imani ya ujamaa.
Mungu ni wa wote, ndio maana kabla shughuli za kiserikali hazijaanza rasmi wanaitwa wachungaji na mashekhe waweze kuombea mafanikio ya kinachokwenda kufanyika, ingekuwa CCM haiamini Mungu yote hayo yasingefanyika.
Labda kama unataka kumhodhi Mungu kumfanya awe ni wa kwako tu.
Kaka. Ukitaka kuijua siasa ya tz usisikilize wana siasa Bali soma katiba.Umepotosha kwa kusema kuwa serikali ya CCM haiamini Mungu kwamba eti inafuata imani ya ujamaa.
Mungu ni wa wote, ndio maana kabla shughuli za kiserikali hazijaanza rasmi wanaitwa wachungaji na mashekhe waweze kuombea mafanikio ya kinachokwenda kufanyika, ingekuwa CCM haiamini Mungu yote hayo yasingefanyika.
Labda kama unataka kumhodhi Mungu kumfanya awe ni wa kwako tu.
Walianza kuifuata nadharia ya Kimarxist wakiwa na lengo la kuwafurahisha Wachina na Ujerumani mashariki ili wapate misaada kutoka huko ingawa baadae wakaja kufahamu kuwa hao hawana uwezo wa kifedha, hatukuwa na lengo la kuzama ndani sana kama wao.Kaka. Ukitaka kuijua siasa ya tz usisikilize wana siasa Bali soma katiba.
Katiba inatamka wazi kuwa taifa na serikali haina dini.
Wakati huo huo yako matukio ktk serikali hiyo hiyo wanawatanguliza mambo ya dini.....
Hili ni taifa lilojaa viongozi wanafiki na ndumilakuili.
Unaweza kujiuliza lengo kuu la kusema serikali haina dini ililenga kudhoofisha baadhi ya dini..... ?!?!
Sasa nije kwenye msingi was hoja yako. Ccm iliamua kufata siasa za ujamaa kama ilivyo kwa ACT.
The original ya kuwepo nadharia hii ya ujamaa ni ukomunist/ Marxist.
Nadharia hii ya ukominist msingi wake ni kupinga uwepo wa Mungu. Na hivyo hupenga dini pia.
Ccm ilipoamua kusema haina dini dhana hii waliicopy kutoka kwa badhania hii ya ujamaa/communist.
Lkn je ilikusudia kudhoofisha baadhi ya dini?!?!
Tafiti iliyofanya na taasisi zinazoheshimika dunia. Mfano Pewforum Many Countries Favor Specific Religions
Ilifanya tafiti juu ya nchi kuongozwa kwa misingi ya kumridhisha Mungu (dini). Tafiti iligundua kuwa nchi zote zinazojipambanua hazina dini, hupendelea kwa kuipatoa kipaumbee dini moja wapo. Hivyo dhana ya kutoamini Mungu na dini ni kiini macho tu.
Ni dhana inayokandamiza na kubagua dini nyengine.
Hitimisho.
Ccm inafata nadharia ya Ujamaa ambayo asili yake ni Marxist.
Dhana hii inapinga uwepo wa Mungu na uwepo dini.
Kwamba dini ni ulevi wenye lengo la kunyonya watu,
Marxism and religion - Wikipedia
en.wikipedia.org
Kaka. Ukitaka kuijua siasa ya tz usisikilize wana siasa Bali soma katiba.
Katiba inatamka wazi kuwa taifa na serikali haina dini.
Wakati huo huo yako matukio ktk serikali hiyo hiyo wanawatanguliza mambo ya dini.....
Hili ni taifa lilojaa viongozi wanafiki na ndumilakuili.
Unaweza kujiuliza lengo kuu la kusema serikali haina dini ililenga kudhoofisha baadhi ya dini..... ?!?!
Sasa nije kwenye msingi was hoja yako. Ccm iliamua kufata siasa za ujamaa kama ilivyo kwa ACT.
The original ya kuwepo nadharia hii ya ujamaa ni ukomunist/ Marxist.
Nadharia hii ya ukominist msingi wake ni kupinga uwepo wa Mungu. Na hivyo hupenga dini pia.
Ccm ilipoamua kusema haina dini dhana hii waliicopy kutoka kwa badhania hii ya ujamaa/communist.
Lkn je ilikusudia kudhoofisha baadhi ya dini?!?!
Tafiti iliyofanya na taasisi zinazoheshimika dunia. Mfano Pewforum Many Countries Favor Specific Religions
Ilifanya tafiti juu ya nchi kuongozwa kwa misingi ya kumridhisha Mungu (dini). Tafiti iligundua kuwa nchi zote zinazojipambanua hazina dini, hupendelea kwa kuipatoa kipaumbee dini moja wapo. Hivyo dhana ya kutoamini Mungu na dini ni kiini macho tu.
Ni dhana inayokandamiza na kubagua dini nyengine.
Hitimisho.
Ccm inafata nadharia ya Ujamaa ambayo asili yake ni Marxist.
Dhana hii inapinga uwepo wa Mungu na uwepo dini.
Kwamba dini ni ulevi wenye lengo la kunyonya watu,
Marxism and religion - Wikipedia
en.wikipedia.org
Mzee Nyerere aliwahi kunukuliwa ktk hotuba yake maarufu. "Ujamaa ni Imani".Walianza kuifuata nadharia ya Kimarxist wakiwa na lengo la kuwafurahisha Wachina na Ujerumani mashariki ili wapate misaada kutoka huko ingawa baadae wakaja kufahamu kuwa hao hawana uwezo wa kifedha, hatukuwa na lengo la kuzama ndani sana kama wao.
Nyerere akasema nchi yetu haina dini ila watu wake wanazo dini zao na wapo huru kuziabudu. Alifanya hivyo akiwa na lengo la kuiona nchi ikiwa haitawaliwi sana na dini moja tu kwani madhara yake yanajulikana kwa kutazama uzoefu wa mataifa mengine.
Tutajie hata binti mmoja wa kiarabu aliyeolewa na mtu mweusi (gozi) kwa ridhaa yake na wazazi wake
Sio kweli,hizi ni habari zilizoandikwa na watu wenye chuki na wengine.Mwarabu,asili take ni mtu mweusi,ni baada ya kuoana na wazungu,wa mashariki ya ulaya, ndio kukapatikana hao weupe,mnawaita waraabu,hao weupe ni machotara wa mwarabu mweusi(wa Rangi ya asili) na Mwanamke mzungu wa ulaya ya mashariki.Na waarabu wa asili(weusi)ambayo mbabu zao,hawakuoana na wazungu wa mashariki ya ulaya,wapo,tena wengi na Wana miji yao.Kwa hiyo mwarabu(wa asili aliye mweusi)na ndio mwarabu mwenyewe,hawezi kufanya hayo uliyoyaandika.Ukiachana na historia ya kwenye vitabu, nimepata bahati ya kufika Zanzibar na kutembelea Soko la zamani la watumwa. . .niliyojifunza pale hakika nilisikitika, ndipo nilipoamini Waarabu (wa zama hizo) hawakuwa na utu kabisa, kuanzia kuwachukua watumwa bara na kisha kuwaleta Zanzibar,(enzi hizo bandari ipo Mangapwani) kuwafunga kwenye mti na kuwachapa mijeledi na mtumwa ambae halii ndio anaonekana mkakamavu...
kisha wanapelekwa mpaka sehemu ya kutunzia watumwa (ipo mpaka leo) ambako wanafungiwa kwa siku 3 bila chakula wala maji!!!,(kumbuka minyororo mizito bado mmefungiwa nayo mikononi, miguuni na shingoni) kisha ndio mnatolewa ambao atakutwa amekufa anatupwa na waliobaki wanaenda kuuzwa.
Ikitokea katika kundi la watumwa wa kike wanaouzwa tajiri akitaka “kuonja" alikuwa anachagua mmoja na kumfanyia hiko kitendo hapo hapo hadharani. (kama ambavyo mnafahamu wanaume tulivyo , mwenzako akifanya kitu nawe unataka kufanya, mfano katika kundi mmojà akisogea pembeni na kufungua zipu ili achimbe dawa utakuta wawili watatu wanaungana naye kufanya hivyo, hata walipokuwa wanatwaa mtumwa mmoja wa kike na kumfanyia ushenzi, basi wengine nao waliungana kufanya ufedhuli huo kwa wengine kwenye kundi hilo)
Watumwa waliteswa sana, sana , sana!!! na hao waarabu ambao leo hii watoto wao tunaishi nao kwa amani.
Cha kusikitisha zaidi ni kitendo cha kuwahasi watumwa kiume waliosafirishwa kwenda Arabuni( walienda maelfu lakini mpaka leo hii jiulize kwanini hakuna masalia ya weusi kama sio ukatili wa waarabu ambao waliwahasi bila taratibu za kitabibu, yaani wanakata hizo gololi kisha unapakwa chumvi nyingi, na kutokana na kuvuja damu nyingi wengi walikufa, wachache waliobahatika kupona waliuzwa arabuni kwa hela nyingi, walivyoona wakubwa wanakufa sana basi wakawa wanawahasi watoto).
Bado ambao walikataa utumwa na kuleta uasi njiani waligeuzwa na kuf**lwa mbele ya watoto na wanawake, ili kuwafanya wajisikie majuto, na hata walivyokuwa wanasafiri na majahazi ilikuwa ni desturi ya waarabu kuwachukua watumwa wa kiume na kuwageuza ili kukidhi haja zao.
hivi vyote vilifanyika na historia ipo fika Zanzibar au hata Bagamoyo soko la watumwa uone historia, picha na vithibitisho vingine kuhusu ufedhuli huo waliofanyiwa mababu zetu (leo hii tunacheka nao hakika mababu zetu wakifufuka watasikitika sana).
Dini hizi hizi tulizoletewa tunafundishwa kusamehe waliotukosea, ilhali waliotuletea hizo dini walitufanyia ukatili huku tukishuhudia nasi tunachekelea kama mazombi. Tuishi kwa amani, tupendane na tusonge mbele tukitaka kuleta habari za historia na tuzibebe chuki za mababu zetu basi tutachukiana daima na tutauana.
Japo Muingereza alikomesha utumwa wa waarabu lakini naye alitesa manamba mashambani, Mbelgiji aliua watu wengi kongo, na mkaburu aliangamiza vizazi Afrika kusini, Huu ushenzi tuliofanyiwa waafrika ni mkubwa lakini tumesamehe na tuishi kwa amani bila kubaguana ila!!, nasisitiza tena ila tusisahau na tuwaeleze vizazi vilivyopo na vijavyo namna ambavyo mababu zao walipitia mateso makubwa ya wadhalimu waliokuja ili kutimiza haja za nafsi zao.
Mwarabu ni mtu mweusi.Hao unao waona weupe ni machotara(mchanganyiko wa mabibi wa kizungu wa masahariki ya Ulaya,walioana na waarabu(weusi na ndio ramgi ya muarabu. .Hata mzungu,hamuiti mwarabu ni white,anamuita black.Hehehe waarabu [emoji23] jamaa mnawahusudu kweli mtu mweusi ni mweusi tu hadi nchi ikaitwa Zanzibar nchi ya watu weusi Ila bado mnajiita waarabu dah [emoji2]. Zamani tulikuwa tunawaita wamanga koki [emoji23][emoji23][emoji23]Koko tu
Tutajie hata binti mmoja wa kiarabu aliyeolewa na mtu mweusi (gozi) kwa ridhaa yake na wazazi wake
Mwarabu sio mweupe ni mweusi,hao mnaowaona ni weupe ni mchanganyiko wa mabibi wa kizungu wa mashariki ya ulaya,na waarabu(ambao ni weusi).Ukimuona mwarabu mweupe,huyo ni chotara wa kiarabu na mabibi wa kizungu wa mashariki ya ulaya.Waarabu wa asili sio weupe,na wapo nchi za kiarabu,mpaka leo,japo watu wanafikiria wale ni watumwa,waliopelekwa nchi za arabuni, sio watumwa,wale ndio wenyeji wa nchi za arabuni,kama Sudani,Sudani hakuna watumwa waliopelekwa,wale ndio waarabu,hawakuchanganya na wazungu.Du kweli rangi nyeusi acha tutukwane mpaka basi...
Yaani jamaa naon abora waarabu kuliko msukuma
Mwarabu mwenyewe ni mtu mweusi.Ukimuona ni mweupe,huyo ni chotara wa mabibi wa kizungu wa mashariki ya ulaya na waarabu(ambao asili ni weusi).Angalia Sudani,wale ndio waarabu,hawajachanganya.Inasikitisha sana..harafu kuna mazuzu huku yanawaabudu waarabu kama miungu watu..i wish ningekua....hiiii.
Kimsingi mwarabu hajawahi mpenda mwafrika ukitaka kujua hilo hata hao wavaa kobazi hawarusiwi kuoa binti wa kiarabu..labda awe na mawe ya kufa mtu..vinginevyo ataoa waarabu koko tu.
#MaendeleoHayanaChama
Mwarabu wa asili ni mweusi,na wapo waarabu(weusi ,ambao hao ndio waarabu),hao weupe unao waona ni mchanganyiko wa mabibi wa kizungu wa mashariki ya ulaya.Hao weupe ni machotara wa kizungu na waarabu(wa asili weusi).Angalia mwarabu wa asili aliyeko Sudani,Wale hawakuchanganya damu na wazungu.Bora mzungu aliwachukua kwenda kuzalisha mali..mwarabu yeye aliamua kuwahasi kabisa..ndio mana huwezi kuta waafrika uarabuni kama ilivyo ulaya na marekani..waarabu ni savages.
#MaendeleoHayanaChama
Sio kweliMaarab ilikua inatumia nyundo kuvunja gololi kama anahasi mbuzi.