gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Meaning sijapuuzwa na wengi kama ulivyodaiEti reactions ๐๐,umepuyanga huko kote umeamua uje na hiki kigezo!!!?? Nakufananisha na amber ruti akiwa Facebook huwa anapata comments hata laki na likes za KUTOSHA Kwa post Moja ila maudhui yake unayajua na wafuasi wake unawajua!!??๐๐
Akili ni nini kwenye muktadha huu mkuu!!?Hivi ni kweli hamna akili timamu au ni maslai Fulani tu au ni mkumbo wa kidini , kikanda au ni kujifyatua akili tu?
Mimi si msajili wa dini,muulize mwenyewe?..lakini kwa nini unakataa kuwa hao si wakatoliki ilhali huwajui wakatoliki wote?Embu Thibitisha ukatoliki wake
Anaweza akawa, ila si hawa tuliowaona....Hawajui vigango vyao, hawajui maparoko wao, hawajui nyimbo za wakatoliki ambazo zinatumia nota, wao wanaimba mapambio.....Katoliki hakuna mapambio, hao wenye akili fupi hakuna hata mmoja hapo ni mkatoliki yule wa kubatizwa....Ni wahuni walioletwa na huyo mhuni Mwigulu Madelu Nchemba. Huyo waziri mkuu wenu ni wa ovyo mno hajui chochote...cheti amefoji, jina si lake, ubunge wameiba wakishirikiana na mama yao bi KIDUDE KIZIMKAZI. Wameaibika hasa!Bila kuingilia mada,
kwani Katibu wa UVCCM - hawezi kuwa mkatoliki?
Aisee....!
Wameshindwa hata kutengeneza igizo lionekane la kuvutia.Eti tunamshtaki askofu Luwacha , yaani huyo nyang'au hajui hata askofu wake anaitwa Ruwa'ichi na sio Luwacha.
Huyo wa Dovya ni Mkatoliki? Makamu wa Rais Mkatoliki piaBila kuingilia mada,
kwani Katibu wa UVCCM - hawezi kuwa mkatoliki?
Kuwa Katibu/Mwenyekiti wa Chama hakumuondolei mtu Dini yake. Wahusika watatue matatizo yanayo wakabiri kuwa CCM au Chadema hakuondoi Imani ya watu kwenye Dini zao.
Heche na chadema ni Nan ? Ndugu zetu wamepotea kizembe heche ni nan?Akili ni nini kwenye muktadha huu mkuu!!?
Kukubaliana na msimamo wa heche na hivyo chadema kwamba ije jumuiya ya kimataifa itutawale kwa muda?..au natakiwa kukubaliana na nyinyi kwamba walioenda ubalozi wa Vatican,wakafunguliwa milango,wakasikilizwa ni kweli si wakatoliki sababu nyinyi mmesema hivyo?
Sababu igizo limesimamiwa na vilaza matokeo yake ndio haya mpaka wameshindwa kuwapanga wabadili nguo kulingana na tukioWameshindwa hata kutengeneza igizo lionekane la kuvutia.
Wamepoteaje kizembe?..kwenda kufanya fujo siku ya uchaguzi?..Ili,pasiwe na serikali siyo!?..huko ni kuvuruga uchaguzi siyo?..na unataka tuamini kwamba hujui hilo linatokana na nrne?Heche na chadema ni Nan ? Ndugu zetu wamepotea kizembe heche ni nan?
Unahisi kila anaepinga huo uozo anamjua sijui heche?
Ndio huo sasa, mnajitahidi kuufichaaaaa lakini ona mlivyoadhirika sasa,View attachment 3526089
Hakunaga ushubwada huu wa kuongea hivi kwenye katolikiโ๏ธโ
Ccm niwazee wa propaganda tunawajuaNdio huo sasa, mnajitahidi kuufichaaaaa lakini ona mlivyoadhirika sasa,
Nimfumo tu unawabeba ili nyie weupe sana tu
Acha ujinga wewe , tumefiwa na ndugu zetu wapo zao majumbani , usicheze na hasira za watu kabisa na ujambazi wa kihuni uolifanyikaWamepoteaje kizembe?..kwenda kufanya fujo siku ya uchaguzi?..Ili,pasiwe na serikali siyo!?..huko ni kuvuruga uchaguzi siyo?..na unataka tuamini kwamba hujui hilo linatokana na nrne?
Tayari nimesoma, sasa kama ni hivyo kwanini ubalozini wamempokea? Halafu Monrovian sio wakristo?Soma post namba 14
Hahaha hata anachozungumza hakielewekiWakuu,
Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.
Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.
Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea?
Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION mlimuamini vipi mkampa hadi nafasi ya kuzungumza kwenye propaganda yenu?
Mwaka una siku 6 tu ila CCM msshaanza kujidhalilisha namna hii
You're just being dramatic ๐ฎAkinyanyaswa tutamsikia, pengine kama akitolewa roho yake. Sina mawasiliano naye ila nitafuatilia kwa karibu na kujaribu kupata mawasiliano naye. Nimelichukulia hili swala kwa umakini mkubwa. Imeniudhi sana hoja za mtoa Uzi, tena nimesikitishwa sana.
Dada yake na Troll JFWakuu,
Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.
Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.
Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea?
Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION mlimuamini vipi mkampa hadi nafasi ya kuzungumza kwenye propaganda yenu?
Mwaka una siku 6 tu ila CCM msshaanza kujidhalilisha namna hii