Wewe ushasema ni wakatoliki feki, which is obvious, mtoa mada kaenda extra mile kuonesha political affiliation yao hawa feki ili ujue nani na nani wako nyuma yao.Kwahiyo mtu hawezi kuwa mkatoliki na kuwa CCM simultaneously? Mpango alikua dini gani? Nchimbi ni dini gani? Nyerere? Magufuli? Mhagama? Siwatetei hawa wakatoliki feki ila kuwa CCM sio sababu ya kutokuwa mkatoliki. Tumieni akili.
Vizuri kama unajua raia wa kawaida hawezi china sheli,na si sheli tu hata namna mashine za mwendokasi za ku-punch kadi zimeonekana kuharibiwa kitaam,hili hata askari Iran wanakumbana nalo kwenye maandamanoAcha ujinga wewe , tumefiwa na ndugu zetu wapo zao majumbani , usicheze na hasira za watu kabisa na ujambazi wa kihuni uolifanyika
Kwa akili yako raia wa kawaida anawezaje choma sheli wewe? unajua huo mlipuko wake?
Ni wale walio watuma wakatoliki wa mchongoVizuri kama unajua raia wa kawaida hawezi china sheli,na si sheli tu hata namna mashine za mwendokasi za ku-punch kadi zimeonekana kuharibiwa kitaam,hili hata askari Iran wanakumbana nalo kwenye maandamano
Hao ni watu trained,na nani!?..tuwaulize wanaotetea
Waliofanya press baada ya mapinduzi kufeli ndiyo waliowaaandaa hao wahalifuNi wale walio watuma wakatoliki wa mchongo
Yaishe huwezi elewa kitu , wewe fuata mkumbo wa kidini tuWaliofanya press baada ya mapinduzi kufeli ndiyo waliowaaandaa hao wahalifu
Siyo wewe ndiyo unafuata mkumbo wa kidini?Yaishe huwezi elewa kitu , wewe fuata mkumbo wa kidini tu
KaushaSiyo wewe ndiyo unafuata mkumbo wa kidini?
Kama mwananchi. Au sina haki ya kutaka nitakacho?Unataka?, wewe kama nani? upumbavu mtupu.