Ukweni hawanitaki, wanasema nimempa dawa kijana wao. Nifanye nini?

Kama kwao ni wachawi achana na hiyo familia, ukizidi kung'ang'ania watakumaliza ww kwanza au uzao wako. Hao wazazi kuna kitu walitarajia kwa kijana wao labda kuoa binti kabila moja na wao au binti walisha muandaa, kwani ww ni kabila moja na mchumba wako?
 
Badi
 
Badilisha mavazi yako wazazi sio wajinga.
 
hapana mimi sijakomaa nikubalike ni mwanaume mwenyewe anatamka kua hayupo tayari kuniacha na hawezi chaguliwa mke wa kuoa kwakua amefanya maendeleo mengi sana nikiwa nae na nimefanyika baraka sana kwake
Wewe na huyo mwanaume wote ni wapumbavu ila wewe ni mpumbavu zaidi. Unashindwa nini kuelewa kuwa huyo mwanaume hakutaki na anamtumia mama yake kama sababu ya nyie kuachana? Acheni kumsingizia mama wa watu upumbavu wenu. Na unaposema "NIMEFANYIKA BARAKA SANA KWAKE" ndo unapozidi kuonyesha upumbavu wako. Binti unafanya makosa makubwa ya kufanya majukumu ya mke kabla hujaolewa. Mwanaume anatakiwa afanye bidii kukuoa sio wewe ufanye bidii kuolewa. Huyo jamaa atakuacha kwa aibu kubwa usipochukua maamuzi ya haraka.
 
Nmeona hilo pia kuna namna mwanaume anampa ujumbe ila yeye anakuwa mgumu kuelewa.
Hakuna kitu kibaya kama kuusemea moyo wa mtu, yeye aseme uhalisia wake ila sio wa mwanaume, moyo wa mtu kichaka una mengi.
 
Kama maneno hayo unapata kupitia kwa mchumba wako,amin kuna ujumbe anakufkishia,usichukulie kama proud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…