Ukweni hawanitaki, wanasema nimempa dawa kijana wao. Nifanye nini?

We ni lipumbavu la kufungua mwaka.
Mtoto wa kiume amrecord MAMA yake kisha atume kwa mwanamke voice note.
We jitizame kwenye kioo useme mi ni Lipumbavu mjinga wewe.
ukishatoka kwa shemeji yako nakuanza kujenga familia ndio utanielewa,kwa sasa endelea kumtengea maji yakuoga shemeji yako kwanza ukiwa unaendelea kukua
 
Labda kweli umempa dawa, maana nyie wanawake hamuaminiki.
 

Is up to mwanaume aonyeshe sasa msimamo, maana ukiolewa ni wewe na mume si wewe na wazazi

Lakin pia spiritualy wanahisi hivyo sababu mtoto wao kafa kaoza kwako. Ile attention kahamishia kwako, mama mkwe anaona anapoteza nafasi yake
 
ukishatoka kwa shemeji yako nakuanza kujenga familia ndio utanielewa,kwa sasa endelea kumtengea maji yakuoga shemeji yako kwanza ukiwa unaendelea kukua
Mi nakuoa wewe,mkeo,dada yako na mama yako ndio wa kuongea namimi.
We endelea kufikiria ujinga eti kujenga familia.
Hilo somo tulimaliza,naww pia unaweza kuwa mtoto wa mchepuko wangu huko zamani
 
kama wewe ni golikipa hata ka amekupenda utapata vikwozo fullstop. Gold diggers enzi zo zimekwish. Hao ndio wamentunza na kumfikisha huyo jamaa hapo alipo, usichukuii kirahisi rahisi. Labda ue mzuri kama malaika. Kama una kazi yako basi funga ndoa fasta hafu subiri changamoto.
 
Tatizo huna mume
Huna mume
Huna mume.

Mume alipaswa kuwa mpatanishi na kiungo.

Kamwe hakupaswa kukueleza kila kitu.

Angemalizana na maye tu
 
Ushauri wangu ni huu; ikiwa umekaa nae muda mrefu na umemzoea akiwa na sifa hizi mbili kaa nae:-
1. Hana gubu
2. Ana nidhamu nzuri kwako anakuheshimu
3. Ni mwaminifu katika uhusiano
4. Ana kushauri suala zima la maisha
5. Ni mcha Mungu na anahofu ya kutenda mabaya

Huyo kuwa nae mengine utavumilia
 
1. Mwanaume umempata kwa kumuomba Mungu. Haya, baada ya kumpata, huyo Mungu asiyeweza kukuepusha hizo changamoto,wa kazi gani? Alijua atakupa mwanaume,na utakumbana na mazito! Hapana aise,hapana.
2. Hapa hujaeleza umejuaje hawakupendi! Wakati wanakupa zawadi na kukupigia simu,na kukuomba mkapange,bado unalalamika.
Haya, kwani unaolewa na wakwe au na unaeongopa kumpenda?
Ukiona yupo kimya,ujue anakuchola tu
 
Mumeo ni mpumbavu. Inawezekana mama mkwe yupo sahihi. Hakuna mwanaume aliyebaki hapo kwa maelezo yako. Jamaa yako ni falah, mbea na mengine sijapata uhakika nayo bado.
 
Tatizo ni huyo mwanaume ni muongo muongo muongo huyo uje umsute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…