Ukweni moto unawaka baba mkwe kaniita, naombeni ushauri

NI MAHARI SIO MAHALI

MAHARI HATUMALIZAGI MKUU
 
Mil 7 ni vile alikua bikra au umepigwa!
 
Mil 7 ni vile alikua bikra au umepigwa
 
Mbona simple tu we nenda kawasikilize,waambie tu ukweli kwamba natamani sn kutoa mahari zenu zote Ila uchumi wangu ndio umeyumba,ukiona wanaleta vizingiti vingi na binti wako naye wao we baada ya muda unamwambia binti yao kuwa mi nakupenda Ila Sasa naona masharti ya wazee yanakuwa magumu mpaka nahisi ndoto zetu zinaweza zisitimie binti akiona hivyo yy ndio ataanza kudeal na wazazi wake mahari milioni Saba huyo mtu anauzwa
 
Kama ulikubaliana nao kwa hiyo Mahari ya Milioni Saba waambie utapunguza kidogo kidogo, siku nyingine jifunze kuandika Mahari na siyo Mahali.
 
Aisee Kiswahili kigumu sana

Unataja "mahali" wakati una maanisha "mahari"....meaning inakua tofauti kabisa

Tuna shida ya R na L,as usual....Mtu akiongea Kingereza hapa mtapanua madomo hatari

Either way.....ni lazima wakasirike wewe si muaminifu kutekeleza part of your bargain obligation!

Unaonekana msanii.....you are not to be trusted!
 
Utaratibu wa ndoa za kiafrika/kitanzania,
Jambo Kama Hilo walipaswa wawasiliane na mshenga wako, ikishindikana na familia yako.

Na sio kukuita wewe wakakukalishe,
Eti mkaongelee habar za Deni la mahali,
Ambalo kiuhalisia Huwa haliishi mpk mnazikwa

Huko kukuita ukweni wakakusute maana ake wanakudharau.

Weka mipaka yako na wakwe zako,
Ukipuuuza yatakayofata kwenye ndoa yako
Yatakua makubwa na watakupanda kichwan
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mahari million 7 sibora nikanunue Robot la ngono china niwe nalikula untill my last breath

Kuliko kutoa m7 then Bado niendelee kumuhudumia mtoto wa mtu mpaka kifo chake ,

Yaani ndoa unaitaka wew na huyo manzi lakini unakubali kuteseka wonders shall never ends
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…