Ukweni moto unawaka baba mkwe kaniita, naombeni ushauri

Ninavyozungumza hivi sasa amani ndani ya familia baba mkwe imeshavurugika hakuna tena mawaelewano kati ya binti na baba mkwe lakini pia kati ya baba mkwe na mkwe chanzo cha haya yote ni mahusiano yangu na binti

Na chanzo cha haya yote ni mahali ambayo nilitoa kidogo sana tofauti na matarajio ya wana familia jambo ambalo limeleta mvurago ndani ya familia kibaya zaidi binti ni mjamzito lakini pia kitu kingine zaidi ni hasara ya pesa aliyoipata baba mkwe wangu alitumia pesa mingi kuandaa sherehe ya engangement huku swala la mahali likiwa nimetoa kidogo sana na mpka sasa mimi ni mtu ninaonekana muongo,msanii na mbabaishaji tuu hivyo upande wa ukweni wanajuta kunipokea na ikumbukwe ya kwamba mahali iliyotolewa mpka sasa m1 na familia ilinipangia m7 na tangu niitoe hiyo hela bado sijaongeza hela yeyote ile japo niiliahidi nitatoa kidogo kidogo angalau ifike nusu.

hivyo mpka sasa hapa nilipofikia sijui nifenyeje na nimeitwa ukweni hivyo naombeni ushauli ktk hili
NI MAHARI SIO MAHALI

MAHARI HATUMALIZAGI MKUU
 
Mil 7 ni vile alikua bikra au umepigwa!
 
Mil 7 ni vile alikua bikra au umepigwa
 
Mbona simple tu we nenda kawasikilize,waambie tu ukweli kwamba natamani sn kutoa mahari zenu zote Ila uchumi wangu ndio umeyumba,ukiona wanaleta vizingiti vingi na binti wako naye wao we baada ya muda unamwambia binti yao kuwa mi nakupenda Ila Sasa naona masharti ya wazee yanakuwa magumu mpaka nahisi ndoto zetu zinaweza zisitimie binti akiona hivyo yy ndio ataanza kudeal na wazazi wake mahari milioni Saba huyo mtu anauzwa
 
Kama ulikubaliana nao kwa hiyo Mahari ya Milioni Saba waambie utapunguza kidogo kidogo, siku nyingine jifunze kuandika Mahari na siyo Mahali.
 
Ninavyozungumza hivi sasa amani ndani ya familia baba mkwe imeshavurugika hakuna tena mawaelewano kati ya binti na baba mkwe lakini pia kati ya baba mkwe na mkwe chanzo cha haya yote ni mahusiano yangu na binti

Na chanzo cha haya yote ni mahali ambayo nilitoa kidogo sana tofauti na matarajio ya wana familia jambo ambalo limeleta mvurago ndani ya familia kibaya zaidi binti ni mjamzito lakini pia kitu kingine zaidi ni hasara ya pesa aliyoipata baba mkwe wangu alitumia pesa mingi kuandaa sherehe ya engangement huku swala la mahali likiwa nimetoa kidogo sana na mpka sasa mimi ni mtu ninaonekana muongo,msanii na mbabaishaji tuu hivyo upande wa ukweni wanajuta kunipokea na ikumbukwe ya kwamba mahali iliyotolewa mpka sasa m1 na familia ilinipangia m7 na tangu niitoe hiyo hela bado sijaongeza hela yeyote ile japo niiliahidi nitatoa kidogo kidogo angalau ifike nusu.

hivyo mpka sasa hapa nilipofikia sijui nifenyeje na nimeitwa ukweni hivyo naombeni ushauli ktk hili
Aisee Kiswahili kigumu sana

Unataja "mahali" wakati una maanisha "mahari"....meaning inakua tofauti kabisa

Tuna shida ya R na L,as usual....Mtu akiongea Kingereza hapa mtapanua madomo hatari

Either way.....ni lazima wakasirike wewe si muaminifu kutekeleza part of your bargain obligation!

Unaonekana msanii.....you are not to be trusted!
 
Utaratibu wa ndoa za kiafrika/kitanzania,
Jambo Kama Hilo walipaswa wawasiliane na mshenga wako, ikishindikana na familia yako.

Na sio kukuita wewe wakakukalishe,
Eti mkaongelee habar za Deni la mahali,
Ambalo kiuhalisia Huwa haliishi mpk mnazikwa

Huko kukuita ukweni wakakusute maana ake wanakudharau.

Weka mipaka yako na wakwe zako,
Ukipuuuza yatakayofata kwenye ndoa yako
Yatakua makubwa na watakupanda kichwan
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mahari million 7 sibora nikanunue Robot la ngono china niwe nalikula untill my last breath

Kuliko kutoa m7 then Bado niendelee kumuhudumia mtoto wa mtu mpaka kifo chake ,

Yaani ndoa unaitaka wew na huyo manzi lakini unakubali kuteseka wonders shall never ends
 
Back
Top Bottom