Ukweni moto unawaka baba mkwe kaniita, naombeni ushauri

Kiutaratibu,
Ni fedhea Kuitwa ukweni wewe ukaenda,
Wewe ndo umeoa, wao ndo wameolewa

Wao ndo walitakiwa waje kwako au mkutane mahali pengine ila sio kule ukweni ulikooa wewe.
Ni beta male huyu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Achana na hiyo familia kabla ya kuingia ndoani utafurahi show, hao ni wafanyabiashara
 
Yaani mimi ningekua ni wewe siku nilipotajiwa hiyo mahari ya 7m, kesho yake wangekutana na tangazo la ndoa yangu na binti mwingine.
 
Mnaongea tu, Mahari pia inategemea na unakooa, kama unaoa kwenye familia yenye uwezo lazima utoe pesa mingi, maana for a long run we ndo utaepuka gharama, toa milion mbili au moja kwenye familia, ila for a long run unatoa kama 20 hivi nyingine, maana ukoo wako na wake zote zinakuangalia ww
 
Milioni Saba ulikuta bikira,?
Au aliyotoa bikira alitoa chips yai?
Kabila gani hao?Hebu tuwe siriazi kidogo.
Hata awe bikira siwezi kutoa Pesa hizo , akiwa na bikira ndio Nini Sasa !? Kwamba hatokuja kuwa Hana bikira kama wanawake wengine

Tatizo ukiwa mshamba mshamba wa mapenzi lazima uburuzwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna kikao Cha harusi nili hudhuria siku ya kutoa mahari jamaa Aliambiwa atoe ml 1.7, sio Pesa nyingi but nili dought cuz Binti alikuwa amesha olewa mara 2 na kuachika ningekuwa Mimi nisinge kubali kiwango hicho Cha Pesa
 
Komaa hapohapo kwenye M1 inatosha na kwa kuwa ushamtia mimba tulia wewe sema sina uwezo wa hiyo M7
 
Sensa ifanyike watoto warudi shule
 
Kila la kheri
 
Duh jaman hivi nyie wakristo mbona mnamahali nyingi hivyo hiyo si lawama
 
Kwani kuna madini gani mkuu kwenye mwili wa huyo binti

Halafu unaweza kuta anagukomwe gugubwaa[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…