Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
- Thread starter
- #21
Imetokea baba mkwe anafariki rafiki zako wanakusindikiza nyumba ni mbavu za mbwa hata jeneza halipiti.Huo upumbavu kwangu never bora nijengee baba na mama watanibless hizo shida zao kama mpaka wanazeeka wameshindwa kuzitatua ts over, ujana wangu ni muhimu kwa future yangu, nitasaidia mengine but not to that extent hata wao silently wataniona boya. Huko ni kutafuta huruma isiyo na lazima meanwhile life has no mercy.