Hearly Loyalty
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 411
- 370
Huo ni Wajibu wa Kila mwenye kwao , [emoji1787]Kwa mawazo haya hatutakaa tutokomeze mabavu za mbwa Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni Wajibu wa Kila mwenye kwao , [emoji1787]Kwa mawazo haya hatutakaa tutokomeze mabavu za mbwa Tanzania.
Akijibu hapa nishtue Huwa saa nyingine ni wabinafsi, unaweza fanya hivyo akawa hataki ndugu zako waje kukaa kwakoWanawake sijui mkoje, kwann nyie mkipata hela msifikirie kujenga kwa wazazi wa mumeo, mambo mazuri mnatakaga mfanyiwe nyie tu Sky Eclat
Yaan yote haya ni umaskin unatutesa hakuna kingne. Kama hela ipo Wala hamna shida.Huo upumbavu kwangu never bora nijengee baba na mama watanibless hizo shida zao kama mpaka wanazeeka wameshindwa kuzitatua ts over, ujana wangu ni muhimu kwa future yangu, nitasaidia mengine but not to that extent hata wao silently wataniona boya. Huko ni kutafuta huruma isiyo na lazima meanwhile life has no mercy.
Fikra na mawazo yako ipo hivyo kudhani kila jambo kufanya mpaka kuwa na pesa acha kulazimisha kuridhisha watu kwakuwa unapesa kama mtu anakuelewa na kukuheahimu atakuheshimu hata kwa kidogo na kukubariki as long as unamuheshimu pia.Yaan yote haya ni umaskin unatutesa hakuna kingne. Kama hela ipo Wala hamna shida.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Kama tumezaa nitajenga nyumba huko huko then hati miliki zitabaki kuwa kwangu na watakuwa wanaishi hapo tena hii itawafanya kuwa adabu zaidi mana mswahili ukimpa cheo kidogo anajisahau kabisa.Ipo tofauti ya kujenga ukweni na kuwajengea babu na bibi wa watoto wako upande kwa mama yao.
Unaishi kwenye ghorofa town unajisikiaje kupeleka watoto wako wakawasalimie babu na bibi yao wanaokaa nyumba mbavu za mbwa huku ukibadili magari makali.Hali ukiwapa milioni 3 tu kijijini wanajenga nyumba fresh tu
Point 👏👏👏Tatizo liko wapi Sasa hao marafiki Wana takiwa kujua Kuwa huo sio wajibu wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani nijiingize ktk gharama zisizo nihusu kisa kwaajili ya kufikiria marafiki wata nionaje !?
You must be kidding