Ukweni ni kuzuri ukiwa na uwezo wa kuwabadilishia maisha yao kuwa bora

Wanawake sijui mkoje, kwann nyie mkipata hela msifikirie kujenga kwa wazazi wa mumeo, mambo mazuri mnatakaga mfanyiwe nyie tu Sky Eclat
Akijibu hapa nishtue Huwa saa nyingine ni wabinafsi, unaweza fanya hivyo akawa hataki ndugu zako waje kukaa kwako
 
Yaan yote haya ni umaskin unatutesa hakuna kingne. Kama hela ipo Wala hamna shida.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Yaan yote haya ni umaskin unatutesa hakuna kingne. Kama hela ipo Wala hamna shida.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Fikra na mawazo yako ipo hivyo kudhani kila jambo kufanya mpaka kuwa na pesa acha kulazimisha kuridhisha watu kwakuwa unapesa kama mtu anakuelewa na kukuheahimu atakuheshimu hata kwa kidogo na kukubariki as long as unamuheshimu pia.
 
Kama tumezaa nitajenga nyumba huko huko then hati miliki zitabaki kuwa kwangu na watakuwa wanaishi hapo tena hii itawafanya kuwa adabu zaidi mana mswahili ukimpa cheo kidogo anajisahau kabisa.
 
Tatizo liko wapi Sasa hao marafiki Wana takiwa kujua Kuwa huo sio wajibu wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani nijiingize ktk gharama zisizo nihusu kisa kwaajili ya kufikiria marafiki wata nionaje !?

You must be kidding
Point πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…