Bora kwenye korosho kama mnapewa na Hela, kwenye mahindi tunahisi tumedhulumiwa mwezi wa pili hatujalipwa pesa zetu na mvua zimeanza kunyeshaMnada wa kwanza wa korosho uliofanyika 11/10/2024 ulifunguliwa kwa bei ya TSh 4150/= kwa kilo moja ya korosho. Kwenye mnada huu kulikuwa na tani chache sana za korosho. Ukafuata mnada wa pili ambapo bei ilishuka mpk kufikia TSh 3750/=, napo pia kulikuwa na tani chache sana za korosho. Bei imeendelea kushuka na sasa imefikia TSh 3400/= ndani ya mwezi October. Na kumekuwa na janja ya kihuni ya kukwepa kubeba korosho za wakulima kupeleka kwenye ghala kuu ili kusubiri bei ishuke halafu korosho za wakulima zinunuliwe kwa bei ndogo baadaye.
Mavuno makubwa ya korosho yatafanyika mwezi huu wa November, ambapo ndipo wakulima wengi watauza korosho zao.
Kwa inavyoelekea bei ya korosho itakuwa TSh 2000/= (bei isiyofaa na inayomuumiza mkulima).
Kwahiyo bei ya TSh 4150/= ilikuwa ni danganya toto iliyovalishwa boksa ya kiki za kisiasa iliyolenga kuisaidia ccm kupiga kampeni kwenye chaguzi za serikali za mitaa.
Hata korosho zipo nje ya maghala na mvua soon itanyesha.Bora kwenye korosho kama mnapewa na Hela, kwenye mahindi tunahisi tumedhulumiwa mwezi wa pili hatujalipwa pesa zetu na mvua zimeanza kunyesha
Mkuu unaonekana kuwa haujui chechote kile kuhusu haya mamboMnada wa kwanza wa korosho uliofanyika 11/10/2024 ulifunguliwa kwa bei ya TSh 4150/= kwa kilo moja ya korosho. Kwenye mnada huu kulikuwa na tani chache sana za korosho. Ukafuata mnada wa pili ambapo bei ilishuka mpk kufikia TSh 3750/=, napo pia kulikuwa na tani chache sana za korosho. Bei imeendelea kushuka na sasa imefikia TSh 3400/= ndani ya mwezi October. Na kumekuwa na janja ya kihuni ya kukwepa kubeba korosho za wakulima kupeleka kwenye ghala kuu ili kusubiri bei ishuke halafu korosho za wakulima zinunuliwe kwa bei ndogo baadaye.
Mavuno makubwa ya korosho yatafanyika mwezi huu wa November, ambapo ndipo wakulima wengi watauza korosho zao.
Kwa inavyoelekea bei ya korosho itakuwa TSh 2000/= (bei isiyofaa na inayomuumiza mkulima).
Kwahiyo bei ya TSh 4150/= ilikuwa ni danganya toto iliyovalishwa boksa ya kiki za kisiasa iliyolenga kuisaidia ccm kupiga kampeni kwenye chaguzi za serikali za mitaa.
Funguka basi ili tujue ukweli uko wapiMkuu unaonekana kuwa haujui chechote kile kuhusu haya mambo
Bei ya mnadani haitoshi kutamba kuwa mkulima kanufaika, inatakiwa waseme kilichoingia mfukoni mwa mkulima baada ya makato mbalimbali ni shilingi ngapi. Hizo bei zinazotajwa ni gross kabla ya makato mbalimbali.Mnada wa kwanza wa korosho uliofanyika 11/10/2024 ulifunguliwa kwa bei ya TSh 4150/= kwa kilo moja ya korosho. Kwenye mnada huu kulikuwa na tani chache sana za korosho. Ukafuata mnada wa pili ambapo bei ilishuka mpk kufikia TSh 3750/=, napo pia kulikuwa na tani chache sana za korosho. Bei imeendelea kushuka na sasa imefikia TSh 3400/= ndani ya mwezi October. Na kumekuwa na janja ya kihuni ya kukwepa kubeba korosho za wakulima kupeleka kwenye ghala kuu ili kusubiri bei ishuke halafu korosho za wakulima zinunuliwe kwa bei ndogo baadaye.
Mavuno makubwa ya korosho yatafanyika mwezi huu wa November, ambapo ndipo wakulima wengi watauza korosho zao.
Kwa inavyoelekea bei ya korosho itakuwa TSh 2000/= (bei isiyofaa na inayomuumiza mkulima).
Kwahiyo bei ya TSh 4150/= ilikuwa ni danganya toto iliyovalishwa boksa ya kiki za kisiasa iliyolenga kuisaidia ccm kupiga kampeni kwenye chaguzi za serikali za mitaa.
Mimi ninachoshukuru nilipima kilo 2360 na nikalipwa hiyo 4000
Pongezi kwa serikali mwaka huu bei imefika elf 3+ ukilinganisha na mwaka jana ya elf 2.Mnada wa kwanza wa korosho uliofanyika 11/10/2024 ulifunguliwa kwa bei ya TSh 4150/= kwa kilo moja ya korosho. Kwenye mnada huu kulikuwa na tani chache sana za korosho. Ukafuata mnada wa pili ambapo bei ilishuka mpk kufikia TSh 3750/=, napo pia kulikuwa na tani chache sana za korosho. Bei imeendelea kushuka na sasa imefikia TSh 3400/= ndani ya mwezi October. Na kumekuwa na janja ya kihuni ya kukwepa kubeba korosho za wakulima kupeleka kwenye ghala kuu ili kusubiri bei ishuke halafu korosho za wakulima zinunuliwe kwa bei ndogo baadaye.
Mavuno makubwa ya korosho yatafanyika mwezi huu wa November, ambapo ndipo wakulima wengi watauza korosho zao.
Kwa inavyoelekea bei ya korosho itakuwa TSh 2000/= (bei isiyofaa na inayomuumiza mkulima).
Kwahiyo bei ya TSh 4150/= ilikuwa ni danganya toto iliyovalishwa boksa ya kiki za kisiasa iliyolenga kuisaidia ccm kupiga kampeni kwenye chaguzi za serikali za mitaa.
Mkuu kinachozungumzwa humu ndani na kilichopo mtaani ni tofauti sana nakuambia hivyo kwasababu mimi nipo kijijijini na ninalima mazao mchanganyiko na pia ninanunua ,Na mazao ninayolima kwaajili ya kupata pesa ni kunde,korosho,njugu,karanga na ufuta na amini nakuambia kuwa hayo mazao yote nikiuza huwa napata sio chini ya milion 15 na huu ni mwaka wa 5 napata wastani wa hicho kiasi.....na hizo kilo nilizopima sio kwamba korosho zimekwisha shambani kwasababu nategemea kupata mara 2 ya hizo kilo nilizopima awali,,,nawashauri vijana humu ndani tusipotoshane nakumbuka kuna mtu alileta mada ya kuhusu kilimo cha mpunga chakushangaza humu ndani waliponda sana mara oooh kilimo cha kutegemea mvua hakilipi kabisa mara blahblah kibao wakati ukienda majimoto kule unakuta watu wanatajirika kwa kilimo cha mpunga chakutegemea hizihizi mvuauna kibunda sasa walau mil 9
Chomachoma wamenunua kwa 1500 Kisha wanauza kwa 4000Bei ya mnadani haitoshi kutamba kuwa mkulima kanufaika, inatakiwa waseme kilichoingia mfukoni mwa mkulima baada ya makato mbalimbali ni shilingi ngapi. Hizo bei zinazotajwa ni gross kabla ya makato mbalimbali.
Baada ya kujua mkulima lapata ngapi kwa kila kilo then tafuta hicho alichopata mkulima ni asilimia ngapi ya bei iliyouzwa korosho. Baada ya hapo sasa kama mtu anataka kutamba ndipo atambe kuwa mkulima kanufaika au la.
Wewe ni mpotoshaji. Kinachochangia korosho kushuka bei ni supply kuwa kubwa. Mnada wa pili wa korosho chama Kikuyu cha ushirika cha Newala na Tandahimba (TANECU) kiliuza tani 20,000 ni zaidi ya uzalishaji wa wilaya ya Newala kwa mwaka mzima.Mnada wa kwanza wa korosho uliofanyika 11/10/2024 ulifunguliwa kwa bei ya TSh 4150/= kwa kilo moja ya korosho. Kwenye mnada huu kulikuwa na tani chache sana za korosho. Ukafuata mnada wa pili ambapo bei ilishuka mpk kufikia TSh 3750/=, napo pia kulikuwa na tani chache sana za korosho. Bei imeendelea kushuka na sasa imefikia TSh 3400/= ndani ya mwezi October. Na kumekuwa na janja ya kihuni ya kukwepa kubeba korosho za wakulima kupeleka kwenye ghala kuu ili kusubiri bei ishuke halafu korosho za wakulima zinunuliwe kwa bei ndogo baadaye.
Mavuno makubwa ya korosho yatafanyika mwezi huu wa November, ambapo ndipo wakulima wengi watauza korosho zao.
Kwa inavyoelekea bei ya korosho itakuwa TSh 2000/= (bei isiyofaa na inayomuumiza mkulima).
Kwahiyo bei ya TSh 4150/= ilikuwa ni danganya toto iliyovalishwa boksa ya kiki za kisiasa iliyolenga kuisaidia ccm kupiga kampeni kwenye chaguzi za serikali za mitaa.
Makato kwa mkulima yamekuwa machache mwaka huu. Mfano kwa wake ambao wapo maeneo magumu kufika mjini, gharama za usafiri shaking ni tshs 65. Na mchango wa elimu ni tshs 20 uki total ni 85. Hizo ndio direct cost. Wale wa maeneo ya karibu na maghala makuu direct cost ni tshs 65.Mnada wa kwanza wa korosho uliofanyika 11/10/2024 ulifunguliwa kwa bei ya TSh 4150/= kwa kilo moja ya korosho. Kwenye mnada huu kulikuwa na tani chache sana za korosho. Ukafuata mnada wa pili ambapo bei ilishuka mpk kufikia TSh 3750/=, napo pia kulikuwa na tani chache sana za korosho. Bei imeendelea kushuka na sasa imefikia TSh 3400/= ndani ya mwezi October. Na kumekuwa na janja ya kihuni ya kukwepa kubeba korosho za wakulima kupeleka kwenye ghala kuu ili kusubiri bei ishuke halafu korosho za wakulima zinunuliwe kwa bei ndogo baadaye.
Mavuno makubwa ya korosho yatafanyika mwezi huu wa November, ambapo ndipo wakulima wengi watauza korosho zao.
Kwa inavyoelekea bei ya korosho itakuwa TSh 2000/= (bei isiyofaa na inayomuumiza mkulima).
Kwahiyo bei ya TSh 4150/= ilikuwa ni danganya toto iliyovalishwa boksa ya kiki za kisiasa iliyolenga kuisaidia ccm kupiga kampeni kwenye chaguzi za serikali za mitaa.
Makato?una kibunda sasa walau mil 9
Alafu Leo mnada umepanda kutoka 3440 ya wiki iliyopita hadi 3570 , kwahiyo hiyo ndio biasharaMakato?
Ndio, gharama za usafirishaji korosho kutoka maghala ya Amcos kwenda maghala ya union. Pamoja na mchango wa maendeleo ya elimuMakato?
Mkuu kinachozungumzwa humu ndani na kilichopo mtaani ni tofauti sana nakuambia hivyo kwasababu mimi nipo kijijijini na ninalima mazao mchanganyiko na pia ninanunua ,Na mazao ninayolima kwaajili ya kupata pesa ni kunde,korosho,njugu,karanga na ufuta na amini nakuambia kuwa hayo mazao yote nikiuza huwa napata sio chini ya milion 15 na huu ni mwaka wa 5 napata wastani wa hicho kiasi.....na hizo kilo nilizopima sio kwamba korosho zimekwisha shambani kwasababu nategemea kupata mara 2 ya hizo kilo nilizopima awali,,,nawashauri vijana humu ndani tusipotoshane nakumbuka kuna mtu alileta mada ya kuhusu kilimo cha mpunga chakushangaza humu ndani waliponda sana mara oooh kilimo cha kutegemea mvua hakilipi kabisa mara blahblah kibao wakati ukienda majimoto kule unakuta watu wanatajirika kwa kilimo cha mpunga chakutegemea hizihizi mvua