Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
ntarudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kisa kimoja cha mwalimu wangu juu ya ulaji wa panya..
nimesoma kusini mkoa wa Lindi shule moja inaitwa mahiwa high school
Mwalimu wangu wa geography aliitwa Mr mwazembe jitu la miraba minne kutoka mbeya alibahatika kupata binti wa pale kijijini,.Ruti za shuleni kwenda kijijini Kwa mchumba wake zilikuwa nyingi sn.
Km unavyojua mikoa ya Lindi na Mtwara ulaji wa panya ni kitu cha kawaida sn,Kwa hiyo mke wa ticha alikuwa mlaji mzuri sn wa panya.Km ilivyo kawaida ya wabongo,ticha alidharau sn watu wanokula panya,lkn Yule dada (demu wake) alikuwa mlaji wa panya..siku moja ticha akaamua kujaribu kuonja..asee Radha aliyokutana nayo,kuanzia siku hiyo akageuka kuwa ndiyo kinara wa walaji panya
Ticha akaenda mbali zaidi,akawa na mtu wake maalumu anachukua panya kwa bili,kisha analipia mwisho wa mwezi mshahara ukitoka..
Watamuu sanaaa
Sema watani zangu mnakula vitu vya kushangaza! Ngedere,nyani, viwavi (chavi chavi) nyie mnatupia tu! Mradi kaumba Mungushukrani, umeongea vizuri, we ni kweli umefanya uchunguzi mwenyewe hujakaririshwa.
kuna watu waliokaririshwa basi wao huishia kuiaminisha dunia kuwa panya hawa wa majumbani ndiyo wanaoliwa huko kusini wakati siyo kweli kabisa. pia huaminisha dunia kuwa watu wote wa kusini (lindi na mtwara) wanakula panya, wote! nimefurahi kuona hata wewe umejiridhisha kuwa si kweli, nikienda ndani zaidi ni kuwa ukweli ni kwamba maeneo yenye waumini wengi wasio waislamu km masasi ndiyo yanaongoza kwa ulaji huo wa panya. aina hii ya panya, pia huliwa maeneo fulani ya morogoro
ila nitajaribu kuweka sawa kidogo kama hautojali, ni kuwa si kila eneo la kusini utaona uuzaji wa panya. ni maeneo yale tu wanayopendelea hiyo kitu kama huko masasi. sehemu kama kilwa kamwe huwezi kukuta kitu kama hicho.
Panya wa njombe tofauti, wanaitwa ndezi na kupa ni wakubwa kama sungura wengine wanazidi hata kwa sungura,siyo jamii ya panya kama wa mtwara na lindi.Hata baadhi ya watu wa njombe wanakula panya hao wa shambani.
Kwa mikoa ya kusini Masasi ndio business centre, pale kuna wakinga na wabena wengi wanapiga kazi hatari,ukiwa serious unatoboaMkuu vipi mzunguko wa pesa Lindi na Mtwara upo? Kuna fursa gani zinapatikana huko?
Wanazaliana balaaaSimbilisi..enzi najua nilizoea kumwita tembo mtoto..Ni kibonge sn
Tukale kitimoto kule kwa masista kunaitwaje nimesahauDuuu aisee wewe jamaa wa Nyumbani kabisaaa!!!
Mwezi wa Tisa nakuja Masasi Kwenye msimu wa korosho naomba uniandalie panya kadhaa nitawapokea hapo ndanda
Usisahau pale MwenaMie naishi Masasi na ninalima Tunduru kwahiyo naelewa zaidi ya unavyofikiria. Ukanda wote wa kusini kuanzia Namtumbo, Lusewa, Tunduru, Mtambaswala, Mangaka, Masasi, Ndanda, Mtama, Newala, Lindi hadi Kilwa wanakula hao viumbe. Pia na chatu analiwa vizuri sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umetisha Sana MkuuUsisahau pale Mwena
kuna wamakonde chale (wamawia) nasikia, wana asili ya msumbiji.........hao ni kama wachina linapokuja suala la malaji. hata wachache waliopo huku tz upande wa kusini huwa kama wanatengwa flani hv au wanajitenga maana ni kawaida kukuta mtaa wao kabisa au kijiji chao. hao balaa, mkigombana na wakahisi kuna hatari kwao basi kijiji kizima huweza kuhama ndani ya dakika tu.Sema watani zangu mnakula vitu vya kushangaza! Ngedere,nyani, viwavi (chavi chavi) nyie mnatupia tu! Mradi kaumba Mungu
Asee nimeishi Sana kilwa hasa maeneo ya kipatimo masoko pande nakiu nanjirinji kiranjeranje kinjumbi chumo kibata sijawah ona watu wakila chatu au panya si kweliMie naishi Masasi na ninalima Tunduru kwahiyo naelewa zaidi ya unavyofikiria. Ukanda wote wa kusini kuanzia Namtumbo, Lusewa, Tunduru, Mtambaswala, Mangaka, Masasi, Ndanda, Mtama, Newala, Lindi hadi Kilwa wanakula hao viumbe. Pia na chatu analiwa vizuri sana
Hahahaha 😂😂😆Ndanda mkorosho haramu,kitambo sana kwenda kununua panya wa mafungu
Sio kweli!! Ni Masasi peke yake ndiko panya wanakoliwa kwa wingi! Hakuna sehemu yoyote Lindi unakoweza kuta panya wanaliwa kwa wingi, na ukiona watu wanakula panya basi huyo ni mwenyeji wa Masasi! Ni kama Zanzibar ukute mtu au baadhi ya watu wanakula kitimoto halafu u-conclude kwamba ni jambo la kawaida sana Zanzibar kuona watu wanakula kitimoto!Km unavyojua mikoa ya Lindi na Mtwara ulaji wa panya ni kitu cha kawaida sana
Huyo jamaa muongo!!Asee nimeishi Sana kilwa hasa maeneo ya kipatimo masoko pande nakiu nanjirinji kiranjeranje kinjumbi chumo kibata sijawah ona watu wakila chatu au panya si kweli
Panya wanaliwa maeneo ya masasi mangaka Tena mangaka au nanyumbu n maeneo machache Sana
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tukale kitimoto kule kwa masista kunaitwaje nimesahau
Acha bas🤪Napenda kujaribu kula kitu kinacholiwa na jamii ya watu wa eneo husika ni huluka tu,ndoo maana miaka ile waliniita Mchina.
Ushakula funza wakubwa wakwny magogo na magome ya miti mikavu.
Acha kbsa..
Ni mboga hyo ilikuja na mmisionar alieenda kongo baada ya miezi akaja na madude hayo.
Wewe muongo!!! Ukitoa wilaya ya Masasi (ambayo ndiyo inachanganya na Namtumbo), maeneo mengine uliyotaja yote sio kweli. Mahali kama Newala ukikuta panya basi ni kwa uchache, na watakuwa wanaliwa na wenyeji wa Masasi, au labda watu wa Msumbiji ambao wao ndio ula hadi Chatu, lakini Mmakonde wa kawaida, ambao wengi ni Waislamu, huwezi kukuta wanakula panya au chatu!Mie naishi Masasi na ninalima Tunduru kwahiyo naelewa zaidi ya unavyofikiria. Ukanda wote wa kusini kuanzia Namtumbo, Lusewa, Tunduru, Mtambaswala, Mangaka, Masasi, Ndanda, Mtama, Newala, Lindi hadi Kilwa wanakula hao viumbe. Pia na chatu analiwa vizuri sana