SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Vipindi vya Math huwa asubuhi kabla ya uji
 
Mahindi yametokea Ulaya ila wenzetu huko wanalishia ng'ombe. Hawali ugali ndo maana hata msamiati wa ugali ama makande kwa lugha zao hawana. Huku tulioletewa mahindi tumegeuza ndio chakula Kikuu, inamaana kabla hayajaja mahindi chakula Kikuu kilikua ni kipi na nini madhara ya kula ugali? Hapa inahitajika wataalamu wafanye utafiti
 
Nilishagundua hata wanyama wengi hawahufagilii kabisa ugali,ila kuna wakati wanakula tu bas kupoza njaa

Kuku,mbwa,nyau na nguruwe pamoja na kuwa huyu bwana hakosagi apetitte na anakula chochote lakin ugali huwa haupend kabisa
 
Nsipokula ugali nahisi ubongo unaskzi, haya ma vyakula ambayo mnahisi ni bora binafai nayachukulia kama takataka sometimes.
 
Ugali wenyewe tunaukoboa na kutupa protini yote, tunakula wanga mtupu.

Lile dona ndo lina virutubisho vya protini, ugali mweupe ni wanga mtupu, energy tu, hauna virutubisho.
 
Acha ujingaujinga. Kama huna cha kuandika utulie.Ndiyo nini sasa hicho ulichokiandika?Rudia ukisome upya.
 
Ndio maana tumedumaa kiakili na kimwili, ukizunguka Africa nzima wabongo ndio wafupi na underweight na tuna low IQ zaidi ya watu wote duniani hamna tunachoweza sio michezo wala maarifa tupo mwisho kabisa!
 
Aidha, kiini cha njano cha punje au mbegu za mahindi hutoa mafuta; na baadhi ya mashina ya mahindi mabichi ni miwa mitamu kabla ya kukomaa kuwa mabua. Tuyape heshima mahindi!📌💪🏿❤
 
Na wali bila mboga unalika !!!
 
Aisee
 
Kwa mbali ugali wa unga uliokobolewa unapunguza madhara, unakutana na mtu anakula DONA !! unga ambao haujakobolewa umechanganywa na PUMkws

Kwa mbali ugali wa unga uliokobolewa unapunguza madhara, unakutana na mtu anakula DONA !! unga ambao haujakobolewa umechanganywa na PUMBA.
Huu ni upotoshaji unaoufanya tena makusudi kabisa. Iweje upate lishe bora kwenye mahindi yaliyokobolewa na kuondolewa virutubisho vya maana. Najua unafanya makusudi au umeamua kujifyatua akili. Nenda clinic watakuambia mnyweshe mtoto uji wa nafaka yoyote isiyokobolewa, wewe unanapotosha watu upate faida gani ?
 
Ukiona kitu mtoto mdogo anakikwepa/hakipendi basi ujue hicho kitu kinaenda kinyume na nature.
 
Kweli ugali una punguza uwezo wa kufikiri ndo maana hata ww mleta mada uliyekula ugali umeleta mada ambayo hujaifanyia Tafiti. Wamarekani kutumia mahindi kuzalisha chakula cha wanyama haifanyi mahindi yanapoliwa na binadamu kushusha uwezo wa kufikiri. Labda uje na data za kukusapoti.

Lakini pia hata ukienda supermarket za wazungu mbona mahindi mabichi yako packed na yanaliwa vizuri Sana kwenye salads na matumizi mengine??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…