SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Mwenyewe atakuambia sembe na yule mnyama mtamu.


Akienda jisaidia anatoa black nuts
 
Wewe kama hupendi Ugali ni juu yako, Ugali ni chakula kizuri sana mradi kuwe na Mboga nzuri.
 
Umesema kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo walikuwa wanakula nini?
Pili walikuwa na akili wakazifanyia nini?
Halafu mwenye akili lakini wakarubuniwa na wazungu wachache tu waliokuja huku.
 
DR Mambo Jambo ....

.kama ndio hivyo bora tule Mchele wa virutubisho kutoka Marekani

imhotep
 
Wazee wetu wangekuwa timamu kama unavyowanadi wangewatawala wakoloni au wangeukataa ugali.
Chips yai zinawasahaulisha sana mpaka mmeanza kujiona mna aleji na UGALI
This is exactly what I tell people.. Mwafrika undezi wake ni endelevu mpaka Leo... Wazungu wachache tu waliokuja Afrika wakatawala halafu anambie walikuwa na akili na bla blah kibao
 
Umeongea kinyume na mambo na kupotosha mambo kabisa! Ugali ni mzuri sana hasa kama hauja kobolewa, wali ndio hatari ukila mwingi.
 
Tatizo ni umasikini na kulelewa kwenye umasikini
 
Hapo wanaongelea ugali wa mahindi.
Ugali wa ngano ni sawa
 
Kwa ushahidi upi wa kisayansi(weka hapa tuuone)?Hivi unaelewa maana/definition/ugali hupikwa kwa kutumia nini?Ngoja nikupe tips wewe mwehu;-
-Ugali unaweza kupikwa kutokana na unga wa mahindi,mtama,uwele,ulezi,viazi vitamu,viazi mviringo,ngano,mihogo,ndizi nk(kwa ufupi ni karibu nafaka aina zote).
  • Sasa unapodai ugali ni chakula duni na hakifai,wewe hapo umesifia ngano na ndizi ambazo nazo unaweza kupikia ugali unajielewa kweli?
  • Tatizo lako na si changamoto yako ni kutopenda "mahindi"!Be specific and to the points,chap!Hilo si shauri la wengi.Ni shauri lako.Una mengi ya kujifunza wewe "mua'ya"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…