Ulanzi umeingia kwenye mfumo, gongo nayo ipate nafasi ya kurasimishwa

Ulanzi umeingia kwenye mfumo, gongo nayo ipate nafasi ya kurasimishwa

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Ulanzi na pombe maarufu ya ndizi kama "banana wine" nazo ni wine?
Ninavyofahamu wine inatengenezwa kwa zabibu tu.
Hongera kwa huyu mzee kupaki ULANZI katika hali ya kisasa. Watengeneza gongo nao wapate fursa kama hii.
20240808_133245.jpg
 
Stimu za beer haziniingii mpaka nipate shiiii na KACHASU

KACHASU,CHANG'AA,GONGO.
 
Habari nzuri kama hiiii
iambatane na za simulator
 
Back
Top Bottom