Ulanzi umeingia kwenye mfumo, gongo nayo ipate nafasi ya kurasimishwa

Ulanzi umeingia kwenye mfumo, gongo nayo ipate nafasi ya kurasimishwa

@yoda
123FB1E9-F574-42FB-9347-AC9CE6341374.jpeg

EECC0138-B1F8-4991-823A-4D64DE980955.jpeg

Hiyo ni pombe ya nyanya, mwishowe mtasema mnazi ni coconut wine
 
Mh ni gujamaa gumejaa manyama ya mikono maana gulituma picha yake gunauliza utaweza kupigana na Mimi kwa hivi unavyoniona au uachane Mara moja huyo dada .

Masikini Mimi na vile pombe ishanikongoroa nitaweza wapi kupigana na vijana wa gym ,nikasema basi yaishe bwana mdogo
Pole sana..kama unanipenda tujiibe iwe sir yet s et eeh
 
Twiny
Ulanzi na pombe maarufu ya ndizi kama "banana wine" nazo ni wine?
Ninavyofahamu wine inatengenezwa kwa zabibu tu.
Hongera kwa huyu mzee kupaki ULANZI katika hali ya kisasa. Watengeneza gongo nao wapate fursa kama hii.
View attachment 3064554
Twinywa twivilegela kuvagalashida
 
Mh ni gujamaa gumejaa manyama ya mikono maana gulituma picha yake gunauliza utaweza kupigana na Mimi kwa hivi unavyoniona au uachane Mara moja huyo dada .

Masikini Mimi na vile pombe ishanikongoroa nitaweza wapi kupigana na vijana wa gym ,nikasema basi yaishe bwana mdogo
Nimecheka kwa sauti kwenye daladala 🤣🤣🤣🤣
 
Kuna wakati huko nyuma kiwanda cha Konyagi kilikuwa kinanunua gongo kutoka kwa raia ikawa inakuwa malighafi yao.

Sijui kwa nini walisitisha ununuaji huo!
Hicho ni chanzo kizuri Cha ajira!kama plastic la lita 20 laki moja hasta graduates wangetengeneza viwanda vya mchongo!
 
Wanywa Ulanzi tumefikiwaa sasa!!
Wine tunayo na tunatambaa nayoooo!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom