wakunyonya
JF-Expert Member
- Feb 5, 2024
- 520
- 1,414
Wazee wa mkangafuu wamefikiwaWanywa ulanzi huwa wanajidai sana.Hawajali kitu.Wagaya sida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa mkangafuu wamefikiwaWanywa ulanzi huwa wanajidai sana.Hawajali kitu.Wagaya sida.
Aombe ladhi aise maana kile kitu kinatester zuri zaid ya Serengeti lagerYaani unataka kufananisha gongo na ulanzi ao?🤔
Unaweza kuwa sumu🤣Ni wapi naweza kupata ulanzi kwa mwanza?
Gongo:-wakati wa distillation ule mrija ukienda deep zaidi tunapata methanol ambayo ni hatari kiafya!!Gongo - sio pombe ya kawaida mkuu ni bora tuangalie both side effects
You can't make money for destroy someone's health. There's debt Will be paid
Wine sio zabibu pekeeUlanzi na pombe maarufu ya ndizi kama "banana wine" nazo ni wine?
Ninavyofahamu wine inatengenezwa kwa zabibu tu.
Hongera kwa huyu mzee kupaki ULANZI katika hali ya kisasa. Watengeneza gongo nao wapate fursa kama hii.
View attachment 3064554
Hapana ulanzi ni mtamu niliwahi kuunywa iringa,nautaka tenaUnaweza kuwa sumu[emoji1787]
Mh ni gujamaa gumejaa manyama ya mikono maana gulituma picha yake gunauliza utaweza kupigana na Mimi kwa hivi unavyoniona au uachane Mara moja huyo dada .Hahahaha..muoe huyo alokutisha m ntakuwa side chick ..
Kuna wakati huko nyuma kiwanda cha Konyagi kilikuwa kinanunua gongo kutoka kwa raia ikawa inakuwa malighafi yao.Gongo:-wakati wa distillation ule mrija ukienda deep zaidi tunapata methanol ambayo ni hatari kiafya!!
Mrija ukiwa low depth tunapata ethanol sawa na hizi nyingine!
Kampuni za vinywaji ziruhusiwe kununua gongo toka kwa local producers,halafu wafanye distillation upya wapate pure zaidi iuzwe kama ilivyo konyagi!
Yaani wahusika wanapeleka viwandanj Moja kwa Moja au kwa wakala husika!
Itasaidia hiyo kuliko kamata kamata na rushwa za kutosha!!